Naomben msaada hapa wakuu, ninatamani kununua router ambayo portable inaweza kaa hata mfukoni kwa matumizi ambayo ni makubwa kiasi, ni mtandao upi kati ya tigo, halotel, airtel na voda wana mifi ambayo ni reliable nzuri na haisumbui hata kama uko nje ya mji mana naona hiyo ndo only...
HABARI BOSS! 🌟
Leo kuna ofa maalum kwa ajili yako
~13,000/=~
LIPIA LEO 6,500/= TU!
UPATE:
GB 40 za intaneti isiyo na kikomo! 🌐
DAKIKA 3,100 za kupiga simu mitandao yote!
SMS BILA KIKOMO kwa marafiki na familia! 💬
MIEZI 2 ya huduma bora na ya uhakika!
MTANDAO WOWOTE nakunganisha...
Jana baada ya kupatwa na safari ya ghafla kuelekea mkoani, nikafika stendi wakati hela yangu ipo kwenye simu.
Nikaenda kutoa hela kwa bahati mbaya mawakala hawakuwa na fedha taslimu, nikaingia duka moja nikakuta ana Azam pesa. Nikahamisha hela yangu kutoka Yas / Tigo kwenda Azam.
La haula...
Nimepitia vyombo karibia viwili vya habari vilivyoripoti hukumu ya Mahakama ya Rufaa katika kesi inayomuhusu Mwana FA na AY dhidi ya kampuni ya TIGO.
Kwa jinsi maamuzi hayo yalivyoripotiwa ni kuwa Mwana FA na AY wameshinda kesi hiyo. Ukisoma vizuri mtiririko wa kesi zenyewe, utagundua uamuzi...
Mahakama Kuu haikua sahihi kutengua uamuzi wa Mahakama ya Wilaya ya Ilala uliowapa ushindi wasanii wa muziki Hamisi Mwinyijuma maarufu Mwana FA na mwenzake Ambwene Yesaya au AY dhidi ya kampuni ya simu ya MIC Tanzania Public Limited Company, sasa Honora Tanzania Public Limited Company.
Hii ni...
Mwaka 2004 Safaricom waliingia mikataba na Huawei wawatengenezee system ya kuwawezesha kuwa na billing system walioiita M-Pesa. Huawei waliwazungusha hadi CEO akaenda China akasitisha mkataba. Alivyorudi akawa anapokea simu kutoka kwa wabunge na mawaziri wakimtaka arudishe mkataba. Waziri wa...
Ilikua siku ya Jumapili tarehe 06/07/.2025 asubuhi, niliamka nikawa na kazi ya kufanya, tena siku hio sikwenda hata ibadani ili niweze kufanya BIDDING kufanya submission on time. Bila hata kuangalia balance ya bando nikajiunga tena kwa 1.4GB then sikuingia hata online, nikaendelea kufanya...
Habr wanajukwaa, napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa kampuni ya TiGo sasa yas by Mix. Nimekuwa mteja wa kampuni hii since 2006, sijawahi kupata usumbufu kama huu nilioupata jana baada ya kutuma hela kwenda airtel. Muamala mpaka sasa hivi haujamfikia mlengwa na ni mtu ana shida ya...
Wengi wetu ni wapenzi wa Movies na Series. Streaming services zililetwa kupambana na hali ya watu kutotaka kulipia cable services na pia watu kutumia piracy.
Mwanzoni ilikuwa idea nzuri, lakini baada ya streaming companies kuongezeka na bei zao kupanda, inakuwa ngumu sana (haswa kwa sisi wa 3rd...
Na imani mnaendelea poa.
Jana nilikuwa kijijini ndani ndani na kwa bahati mbaya katika hicho Kijiji mtandao wa HALOTEL, VODACOM kasi ya internet ipo chini sana.
Sasa nikapata ushauri kwa Wadau kwamba mtandao wa Yas upo vizuri hapo kijijini niujaribu, Okay nikafanya nilivyoshauriwa na...
Leo nikiwa natumia whatsapp nimekuta picha ya namba yangu ya Tigo kuna mtu mwengine kajipiga selfie
Naenda kuangalia usajili wa majina kwa njia ya kutuma pesa nakuta majina tofauti.
Hili jambo limenishangaza sana juu ya privacy ya namba zangu, kwa bahati nzuri haikuwa namba nayotumia sana...
Wakuu namtanguliza salamu nadhani mko salama kabsa,
katika shughuli zangu na kutokana na mazingira ninayo ishi huduma zangu za kimawasiliano na kimtandao hua matumia mtandao wa Tigo (yas) sasa nimekumbana kadhia ya kukatwa salio kila nikifanya miamala na kila nikinunua vifurushi kupitia mtandao...
Hawa Nyash sorry YAS
Yaani ikifika saa 1 usiku basi sio Lipa kwa mix by YAs sio wakala kukuwekea pesa mtandao unakua shida...
Ila asubuhi na mchana inakuwa fresh tu!
Na ukipiga huduma kwa wateja wanajibu simple tu wanashughulikia..
Lakini tatizo ndio liwe kila siku??
Nipo njiani naelekea Kampala. Ninatamani niweze kuwa na uwezo wa kutumia Internet hata nikiwa huko, lakini kwa kutumia line yangu ya simu.
Nimejaribu kutafuta huduma ya ROAMING (ZURU KIMATIAFA) kwenye line ya TIGO lakini sijaiona. Kwa nini hivyo?
1. Tigo hawana hiyo huduma?
2. Sijaitafuta kwa...
Wakuu,
Binafsi naona hizo Brand nilizotaja hapo zimefail kubadilisha majina na itachukua miaka mingi watu kuendelea kutumia old names yaani Twitter na Tigo instead of X or Yas.
Ni brand gani nyingine zimefail kubadilisha majina yake?
Good Morning my dear brothers and sisters out there.
(1) Kwanini mitandao ya simu (mfano Tigo Yas) wanatumia codes mbili yaani 0717****** pamoja na 0654******?? Kwanini ilishindikana kubaki na ili ili code yao ya zamani??
(2) Je, numbers za simu kuwa na 10 digits badala ya 11 (0654527779) ni...
Hadithi ya YACUB ni simulizi linalotokana na mafundisho ya Nation of Islam (NOI), harakati ya kidini na kisiasa iliyoanzishwa nchini Marekani katika miaka ya 1930. Hadithi hii inachukuliwa kama mithali au simulizi ya mfano na siyo rekodi ya kihistoria au kisayansi. Hapa kuna muhtasari wa hadithi...
Unawapa taarifa ya mtandao kusuasua wanalazimisha kukuelekeza settings za simu usipokuwa makini wanajidai wameshasolve tatizo na wanakukatia simu
Kwa yule ambaye yupo makini anawabananisha wanakosa hoja basi wanaanza kuuliza maswali kibao yasiyo na kichwa. Eti mteja anaulizwa kama tatizo hilo...
N:B: Ni muhimu kupima Network kwenye eneo lako kabla ya kununua kuzuia hasara.
Haya mambo ya kununua vifurushi vya buku buku unaweza kujikuta unaunga mara 3 na zaidi kwa siku, haba na haba hujaza kibaba mwisho wa mwezi umechoma 80k hadi laki kwenye bando
Suluhisho ni huduma ya unlimited...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.