tendo la ndoa

  1. Mkalukungone Mwamba

    Mbunge Jesca Msavatavangu ang'aka Bungeni wanandoa kunyimana tendo la ndoa

    My Take, Jamani wanandoa si vizuri kunyima utamu wa tendo la ndoa :rolleyes::) ======= Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msavatavangu amelitaka Bunge kuanzisha sheria ya kuwashughulikia watu waliozaa na kuwatelekeza watoto bila kuwapa msaada wa kiuangalizi. Msavatavangu ameyasema hayo leo Agosti...
  2. Pdidy

    Dawa ya hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke....

    Habari Na gfriend wangu tumetokea kupendana sana kusex sanaaa Baadae akafanikiwa pata mtoto Sasa n mwaka wa 3 Ila ile hamu ya tendoo la ndoaa sijui kaenda nayo mtoto ama lah Mkikutanaaaa yaaan inaweza chukua dk 15 kumchezea weee ndio unaona hamu inamuingia Kama kuna dawa ya hamu ya tendo la...
  3. Tlaatlaah

    Muda gani sahihi zaidi kurudia tendo la ndoa baada ya awamu au raundi ya kwanza kumalizika?

    Na kuunganisha tendo juu kwa juu mfululizo hata raundi tatu ina hatari yoyote labda kiafya miongini mwa wenza husika? Nani ananyanyasika au anaathirika zaidi mathalani kwa uchovu au michubuko, kati ya Me na Ke katika hali hiyo ya tendo?
  4. John kirua

    Msaada: Mke wangu anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa

    Habari wakuu poleni na majukumu. Mke wangu ni muda sasa analalamika maumivu anasikia wakati wa tendo la ndoa kupelekea hata mimi sifurahi tendo lenyewe. Je, tatizo nini itakuwa?
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Jinsi ya kumfanya mkeo afike mshindo wakati tendo la ndoa

    JINSI YA KUMFIKISHA MKEO MSHINDO WAKATI WA TENDO LA NDOA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwanamke ni kiumbe anayehitaji Sanaa yàani ufundi ili uweze kuishi naye Kwa Amani. Tunapozungumzia Sanaa au ufundi tunazungumzia yale maagizo ya kuishi nao Kwa AKILI Kwa sababu Huwezi kuwa Fundi pasipo...
  6. mbuyake

    Nikiwa na mchepuko naweza kujifunga goli kwa kumkumbatia tu. Je, hii ni hali ya kawaida?

    Mwenzenu mimi ni mtu mzima kidogo maana kwenye 40 napeleza mitatu, kwenye mechi sina shida tangu nianze kuyajua mambo miaka ya 2001 nipo la tano huko. Hizi tatu bila kwa mechi za ugenini ni masaa kadhaa wala si kukesha, mechi za ndani mbili bila kwa usiku mmoja tunaenda. Kusudio la maada...
  7. F

    Hii wiki sasa inatimia mke wangu ananinyima tendo la ndoa!

    Hii wiki inatimia sasa mke wangu ananinyima tendo la ndoa na nikumuuliza sababu ananipiga na kuniongelea maneno makali as if mimi ni mtoto wake wa kumzaa sasa sijui nini kimemsibu mpaka najuta kwanini nimeoa hili kabila ni wababe wababe na majeuri sana aisee Kila nikirudi kwenye mishe mishe...
  8. OCC Doctors

    Stamina ya mwanaume katika tendo la ndoa kabla ya mshindo

    Kumwaga mbegu kabla ya wakati (Prеmаturе ejaculation) ndio dalili kikuu ya upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume. Ni hali ya mwanaume kushindwa kuchelewesha msimamo wa tendo la ndoa ili kufaidisha na upande wa pili kwa mwenza wake. Nguvu za kiume hutofautiana kwa mtu mmoja hadi mwingine...
  9. L

    Mgonjwa wa moyo anaweza kushiriki tendo la ndoa?

    Naweza nisiwe katika jukwaa maalum ila nina maswali ninataka nipate majibu yake. Kwa mgonjwa wa moyo, anaweza kufanya mapenzi na mkewe? Kama ndiyo, ni kwa utaratibu upi? Kama sio, jawabu ni nini ili iwe ndio? Je, pia kuna hatari zozote zile, kama ameshaoa? Anyways, changamoto zao ni zipi...
  10. GENTAMYCINE

    Hakuna mwanamke anayetaka ustaarabu kwenye tendo la ndoa. Je, kuna ukweli wowote?

    "Hakuna Mwanamke anayetaka Ustaarabu katika Tendo la Ndoa bali wengi wanataka Vurugu na Kuchoshwa", kasema Mtaalam wa Saikolojia. Kwa maana nyingine Wanawake wanapenda Kucheza Ligi Kuu ya Bundesliga na kamwe siyo ya Primera la Liga sawa?
  11. M

    Je, ni sahihi kwa wanandoa kuanza tendo la ndoa kwa Sala?

    Hello wakuu, Greetings, Kama kichwa kinavojieleza Niko kujifunza na Kwa faida ya wengine pia...naombeni kufahamishwa kama ni sahihi kuombea tendo kabla hamjaanza....Na shuhuda Kwa ambao walishawahi omba Nawakaribisha.
  12. Baba jayaron

    Msaada: Nimepoteza Ladha ya tendo la ndoa

    Habari zenyu wataalam, Nakuja kwenu kuomba ushauri na msaada wa changamoto inayonikabili miezi karibu sita sasa. Nimekua nikishiriki tendo la ndoa na mademu tofauti tofauti, katika utofauti huo nimekutana na viji mambo mambo ya hovyo hovyo pamoja ya hayo nimechukulia ni tofauti za kimaumbile...
  13. Ghost MVP

    Wadada Chukueni Hii: Kuwa wa kwanza katika Game Humdatishwa mwanaume

    Unajua Mhusiano bado ni Mada pana Sana lakini tugusie leo kitu kidogo tu kwenye swala la Game. Mwanaume always akiwa na mtu lazima awe na hisia naye hivyo basi yeye hawezi chukia tendo, Lakini kuna Ingredients kidoncho vikiongezeka basi hata kama huyo mtu alikuja Kuchapa Ilale basi atabaki...
  14. M

    Wanawake wengi huwa hawafiki kilelei wakati wa kufanya tendo la ndoa

    Karibia asilimia 85 ya wanawake huwa hawawezi kufika kileleni wakati wa tendo la ndoa. Kumfikisha mwanamke kileleni ni art ambayo ni wanaume wachache sana wanayo. Wengi wa wanawake hata kama hafiki huwa wanaona aibu kumwambia mpenzi wake kuwa hafiki kileleni, wanawake ni wanafiki sana kwenye...
  15. Mr Kipara

    Wanaume tunashauriwa tuwe tunatoa miguno

    Kuna Kungwi mmoja ametushauri wanaume eti tunapo gegenda tuwe tunatoa japo miguno, kwasababu inawaamsha sana wadada. Sasa kwenye hizi Nyumba za kupanga itakuwaje? Akina dada hebu watuambie nafasi ya miguno ya kiume kwenye 18.
  16. Dr Matola PhD

    Kama unataka wife material kwa maana ya tendo la ndoa basi oweni Wazaramo mtafurahia ndoa zenu

    Licha ya kwamba tumekuwa tukiwaponda sana Wazaramo kwa tabia za kupenda ngoma na shughuli na mafiga matatu lakini leo wacha niwaeleze sifa za wanawake wa Kizaramo. Hawa mademu wa Kizaramo wana sifa kuu mbili ambazo mwanaume yeyote anazihitaji, kwanza wanajua mapishi hasa ya nazi na pili kubwa...
  17. Braza Kede

    Tendo la ndoa chanzo cha kuua ndoa nyingi

    Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo. Ukweli wenyewe wanandoa wengi hawapati tendo kama walivyokuwa wanafikiria kabla ya kuingia kwenye ndoa. Lakini ni...
  18. BabuKijiko

    Raha ya tendo la ndoa wote mfurahie si, kukaa kama gogo kitandani

    Raha ya tendo la ndoa wote mfurahie si kukaa kama gogo kitandani. Kufanya tendo la ndoa walikuwa kwenye mahusiano lazima kila mtu afurahie utamu wa tendo la kufanya mapenzi sio kukaa kama gogo kitandani ni aibu sana na hii ndiyo inapelekea walio kwenye mahusiano kuchepuka.
  19. E

    Muda wa kawaida wa tendo la ndoa ni dakika 3 mpaka 7, fantasy zinaua mahusiano na ndoa za watu

    Tuwekane sawa #Kwanza kabisa zaidi ya 90% ya wanaume wenye shida ya nguvu za kiume ni just psychological / shida ya kisaikolojia tu. #Pili kwa wanawake Kiuhalisia hakuna mwanaume atakuoa akamaintain huo muda wa tendo la ndoa kama mkiwa kwenye relationship au ukichepuka. Kuna mambo mengi nyuma...
  20. Tlaatlaah

    Nguvu za kijinsia katika tendo la ndoa

    Ni jumla ya utimamu wa kimwili, kiasaikolojia, kiakili na kiroho katika kushiriki kikamilifu kwenye tendo ndoa. Concentration ya kimwili, kiakili, kiasaikolojia na kiroho yafaa kua kwenye tendo husika. Kukiwa na setback yeyote miongoni mwa hayo tatizo la nguvu kupungua huanzia hapo. Na...
Back
Top Bottom