tehama

  1. JamiiForums Tanzania Information Technology(IT-TEHAMA)-08

    PROGRAMMING Nilikueleza kwamba tutajifunza zaidi kuhusu teknolojia ya kompyuta katika Tehama ndio lengo na madhumuni ukiwa mdau wa Jiku Tech Tips. Tujikumbushe maana ya kompyuta ..... Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa...
  2. JamiiForums Tanzania Information Technology(IT-TEHAMA)-07

    UFAHAMU KUHUSIANA NA SOFTWARE NA HARDWARE (KOMPYUTA SYSTEMS). Unapo zungumzia kompyuta kuachana na tafsiri yake halisi ina mifumo miwili mifumo ambayo ni software na hardware mifumo ambayo inawezesha utendaji wa kompyuta kwa ufanisi Vifaa vyote vya kushikika kwenye Kompyuta (physical...
  3. JamiiForums Tanzania Information Technology(IT-TEHAMA)-06

    AINA ZA KOMPYUTA Aina za kompyuta zinaweza kuelezewa kwa namna mbili kulingana na ukubwa pamoja na uwezo wa kuchakata taarifa kama ifuatavyo Aina Za Kompyuta Kulingana Na Uchakataji Wa Data Analogue Kompyuta Digital Kompyuta Hybrid Kompyuta Analogue Kompyuta Hizi ni kompyuta ambazo utendaji...
  4. JamiiForums Tanzania Information Technology(IT-TEHAMA)-05

    AINA ZA UJUZI WA KOMPYUTA Ujuzi wa kompyuta kwa upana unaweza kusemwa kwa namna mbili Moja ujuzi wa kimsingi Pili Ujuzi wa kitaalamu Ujuzi wa kimsingi: Ujuzi huu anahitaji mtu yoyote anaye taka kutumia Kompyuta kwa matumizi madogo madogo kama vile kutuma barua pepe, kutumia mitandao ya...
  5. JamiiForums Tanzania Information Technology(IT-TEHAMA)-03

    NINI MAANA YA KOMPYUTA Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa / maagizo hayo chini ya udhibiti wa mipangilio ya maelezo maalum (inayoitwa programu) na kutoa matokeo (pato) na kutunza matokeo hayo kwa matumizi ya siku zijazo...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kamati ya usalama barabarani Arusha yakabidhi vifaa vya tehama polisi Arusha

    Katibu Mtendaji wa Kamati hiyo SSP. Zauda Mohamed (wa kwanza kushoto) akiwa pamoja na Maafisa, Wakaguzi na Askari kutoka kikosini wakipokea vifaa vya TEHAMA kwa Mjumbe wa Kamati hiyo Bi. Veronica Ignatus mapema wiki hii jijini Arusha. Na Mwandishi Wetu. Kamati ya Usalama barabarani Mkoa wa...
  7. JamiiForums Tanzania LEVEL ZA TEHAMA

    Nimekuja na Hoja hii nahitaji msaada kwenye comment hapo, mimi nimeishia hapo, kama kuna mtu anaweza kuweka vizuri kwa ajili ya mtu ambaye ni mgeni kabisa kuelewa ni nini hasa namaanisha anisadie kuongeza,kurekebisha na namna yoyote nzuri ya kwake. Karibu: TEHAMA kirefu cha maneno Teknolojia ya...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM washtuka, Rais Samia asema, kwenye Uchaguzi Mkuu, CCM itajiimarisha na matumizi ya TEHAMA kuongeza mawasiliano na kuwafikia Wanachama

    "Tuapoelekea katika uchaguzi mkuu, tutaendelea kujiimarisha zaidi ndani ya Chama, tumekiwezesha chama nyezo muhimu za usafiri, tunataka kuona viongozi wa CCM wanawafikia Wananchi kuwasikiliza na kutatua changamoto zao, lakini katika hatua nyingine kichama tumejipanga na matumizi ya Tehama ili...
  9. JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa Mawasiliano ya DIT-ICT, VETA TEHAMA

    Hello wakuu Nina program ya mafunzo ya kutengeneza vitu mbalimbali vya umeme (Repair and Maintenance) Simu, Kompyuta kwa vijana waliokosa njia mbadala ya kujipatia kipato. Ninaomba kama kichwa cha habari kinavyojieleza msaada wa mtu yoyote mwenye mawasiliano ya wahusika wa Kitengo cha TEHAMA...
  10. JamiiForums Tanzania Taasisi Mbalimbali zatoa vifaa vya Tehama Kukabiliana na uhalifu Arusha

    Taasisi na Idara mbalimbali Mkoani Arusha zimeendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoani humo katika kupambana na uhalifu ambapo Idara ya maji na Benki ya Crdb wametoa vifaa vya Tehama katika kituo kikuu cha Polisi Arusha. Akiongea mara baada ya kukabidhi vifaa hivyo Mkurungenzi wa mamlaka...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania na Comoro zaangazia ushirikiano katika TEHAMA

    Balozi wa Tanzania nchini Comoro Mhe. Saidi Yakubu amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Maendeleo ya Kidijitali ya Comoro, Muinou Ahamada. Katika mazungumzo yao, Mhe. Balozi Yakubu alimueleza Mtendaji Mkuu Bwana Ahamada kuhusu hatua kubwa ambazo Tanzania imepiga katika...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri: Silaa Tunaendelea kuwekeza kwenye TEHAMA

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema Serikali imeendelea kuwekeza kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), na kufanya maboresho ya kisera, kisheria na kitaasisi pamoja na kujenga uwezo kwa watanzania, lengo likiwa ni kuifanyia...
  13. JamiiForums Tanzania Jerry Silaa: Walimu 300 wa Sekondari nchini kupatiwa mafunzo ya TEHAMA

    Serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia inaendelea kuhakikisha inaziba pengo la kidijitali kwa kuwapatia walimu wa shule za Sekondari mafunzo ya TEHAMA kutoka maeneo mbalimbali ya nchi, hususan shule za vijijini ili kuboresha elimu kupitia teknolojia. Waziri wa Habari, Mawasiliano...
  14. JamiiForums Tanzania Mhasibu, Afisa TEHAMA wa Kanisa la SDA wapandishwa kizimbani kwa Wizi wa Tsh. Milioni 717

    Watu watatu wakiwemo Mhasibu na Ofisa Tehama wa Kanisa la Waadventista Wasabato Tanzania (SDA), wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, wakikabiliwa na mashitaka manane, likiwamo la kutakatisha fedha na wizi wa Sh717 milioni mali ya kanisa hilo. Washitakiwa hao ni ofisa Tehema...
  15. JamiiForums Tanzania Helios Towers, kwa Ushirikiano na Camara, Yakabidhi Maabara ya Tehama Shule ya Sekondari ya Jamii ya Wafugaji ya Endevesi, Oljoro, Arusha.

    Kampuni ya Helios Towers, Yakabidhi Darasa la Maabara ya Tehama na Compyuta 26 kwa Shule ya Sekondari ya Endevesi, ambayo ni ya watoto wa wafugaji, Eneo la Oljoro Arusha. Kampuni ya Helios Towers, inayoongoza kwa miundombinu ya mawasiliano kwa njia ya minara, kwa ushirikiano na taasisi ya...
  16. JamiiForums Tanzania Ni kipengele katika safari ya kujifunza TEHAMA ya Juu

  17. JamiiForums Tanzania Ndoto za kuwa mtu flani kwenye Tehama Tanzania

    NDOTO ZA KUWA MTU FLANI KWENYE TEHAMA Kirefu Cha neno Hilo ni Teknolojia ya habari na mawasiliano, taaluma AMBAYO Hadi mwaka huu 2024 hazija waingia watu wengi na waliyo nayo wengi nchini Tanzania ni wa binafsi wa maarifa na wenye kukatisha tamaa wale wanao taka kujifunza. Na hii ni sifa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo kubwa la kiteknolojia Duniani lakini Waziri wetu wa TEHAMA Nape hajatueleza chochote hadi sasa!

    Nape Nnauye Huko duniani Huduma mbalimbali zikiwemo za Usafiri wa Ndege na Treni, Huduma za kibenki, Upasuaji hospitalini, nk zimesimama kutokana na matatizo ya teknolojia. Kwa sababu Tanzania siyo Kisiwa ni vema Waziri husika akatueleza kinachoendelea duniani kwa sasa. Nawatakia Sabato Njema...
  19. JamiiForums Tanzania Duniani nzima imetetereka leo kutokana na hitilafu ya mtandao kwenye kampuni ya Microsoft, Tanzania tumejifunza nini?

    Wakuu, Tunategemea mambe mengi toka kwa Wazungu, leo mifumo ya Microsoft imesumbua mambo mengi yamesimama, wote wanaotumia products za Microsoft wametikiswa na suala hili, swali ni je, sisi wategema wa Wazungu tumejifunza nini? Tunafanyaje kupata ujuzi huo na kuanzisha vya kwetu? Tuna program...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…