tehama

  1. opondo

    Je ni kweli hapa Tanzania soko la teknolojia na tehama ni kwenye kutengeneza na sio kuunda?

    Ninaona madogo wengi wanamaliza course ya computer au ICT, au course yoyote Ile ambayo iko related na mambo ya computer lakini kichwani hakuna kitu kabisa, ata wachache wanaojua ambao Wana uwezo wakutengeneza website, (wanaitwa madeveloper) wanakuta kazi zao hazipo, kampuni zikitaka website au...
  2. W

    Dkt. Mwasaga (ICTC): Maandamano yanaletwa na Habari Potofu

    Mkurugenzi wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Moses Mwasaga wakati akifanya mahojiano na kituo cha redio cha Mjini FM ameeleza kuwa moja ya hasara kubwa za habari potofu kwenye taifa ni kusababisha maandamano na taharuki katika jamii. Sasa najiuliza kwa nchi nyingine ambazo zimefanya maandamano na...
  3. jikuTech

    TEHAMA | Angalia Hoja Hizi Kisha Toa Maoni

    Jacob Mfadhili Sio kama sifahamu iyo C , lakini chai ya mtoto(mpya) haiwezi kuwa ya moto kama mkubwa (expert)kaka ,, Mimi nakuelewa unapo mwambia mtu ajifunze low level ama assembly ama C, mueleze pia gharama za matumizi yake, mtu Hana hata uwezo wa kununua PC mfano, alafu ajifunze C kuna muda...
  4. jikuTech

    Mindset kabla ya kujifunza Tehama ya programming

    Watu wengi huchukizwa na ratiba za kushtukiza, hutaka kuandaliwa ili wajiandae kuhusu tukio lenyewe.(Mindset) Nafikili na wewe ni miongoni hupendi mtu akuambie latiba ambayo haukuwa nayo kabla, Ghafla tu. TEHAMA ya programming unaweza kujifunza kwa njia nyingi ila labda mbili hizi maarufu...
  5. Common Folk

    GE2025 INEC: Mfumo wa TEHAMA wa INEC umeunganishwa (Interphase) na Mfumo wa NIDA ili kuboresha utendaji

    Mwezi March 2025 wakati wa mkutano wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau, Mkurugenzi wa TEHAMA-INEC (Stanslaus Mwita) alinukuliwa akisema " Tumefanya maboresho kwa kufanya maunganisho ya kimfumo kati ya mfumo wa kupiga kura wa INEC na Mfumo wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)."
  6. DuaZaMama

    Rais samia alipotaka mifumo yote ya Tehama serikalini isomane ili kujua nani ni nani katika nchi hii

    Agosti 10, 2023, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alimtaka Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuhakikisha kuwa mifumo yote ya Tehama serikalini inasomana ili kufahamu vyema raia na wageni wa nchi. Kauli hiyo aliitoa jijini Dar es Salaam, wakati wa hafla ya uzinduzi wa...
  7. jikuTech

    Jiku Tech Tips | Mambo ya SIRI ya TEHAMA

    Kuna Siri nyingi katika Dunia na ulimwengu wote, zilifichwa muda mrefu sana na mataifa machache, lakini muda mrefu ni mrefu kwetu sisi kutokana na ukomo wetu wa muda wa kuishi duniani ila kwa nature (universe ) ni kama usiku na mchana. Siku hizi kuna AI Inakupa hata mambo ya sirini, inakutolea...
  8. Roving Journalist

    PSSSF: Kwa TEHAMA yetu ofisi zetu nchini pote zinaweza kumhudumia mteja bila kulazimika kwenda Makao Makuu

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kutoa ushauri kwa Mkurugenzi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) kufuatilia utendaji wa baadhi ya Watendaji wake wa Tawi la Dodoma akidai hawana huduma nzuri na wamekuwa wakimzungusha muda mrefu anapofuatilia stahiki zake, ufafanuzi...
  9. M

    PreGE2025 Vita ya CHADEMA hamishieni pia kwenye Tehama na propoganda ndani na nje ya nchi. Msililie. Hii ni vita ya kiubunifu

    Nimemsikia Heche analalamika kuhusu jitihada za kuiua CHADEMA kuweni proactive badala ya kuwa reactive lakini pia wekeni mpango mkakati wa kuivusha CHADEMA kwenye mawimbi na kubaki na nguvu yake. Fanyeni SWOT anlaysis. TEHAMA na TEAM WORK ni silaha KUBWA sana
  10. jikuTech

    TEHAMA TANZANIA (IT)

    Nianze na Pale Mjini YouTube Uki search " Jinsi ya kutengeneza Software " saaana inakuja Youtube Channel Ya NK -- NK- Computer Training,, kwa wingi sana, na Uki Muuliza ROBOT yoyote au wengine wanasema AI , wengine ChartGPT,, Majibu unayo yapata huko mjini youtube na kwa ROBOT ni tofauti...
  11. H

    Nimeitwa kwenye usaili wa afisa tehama (Network administrator) -utumishi

    .
  12. jikuTech

    Information Technology(IT-TEHAMA)-12 end

    MALENGO YA AU MAFANIKIO YA UJUZI WA PROGRAMMING Miongoni mwa malengo au mafanikio anayotarajia mtu anayejihusisha na programming ni kutengeneza programu za kompyuta kwa matakwa yake mbalimbali. Na ili utengeneze programu ya kompyuta lazima ujifunze lugha za programu kulingana na malengo yako...
  13. jikuTech

    Information Technology(IT-TEHAMA)-11

    COMPILER NI NINI ?? Kwa lugha rahisi , compiler ni kama mtafsiri ambaye hubadilisha maelezo yaliyoandikwa katika lugha za programu ambazo sisi binadamu tunaelewa kam vile python, java, C++ na kubadilisha maelezo hayo kuwa lugha ambayo lugha inaweza kuelewa moja kwa moja (mashine language) ambayo...
  14. jikuTech

    Information Technology(IT-TEHAMA)-10

    LUGHA ZA PROGRAMU Programu hizi zimeandikwa kwa kutumia lugha za programu. Hapa kuna baadhi ya lugha za programu. Python Java C++ JavaScript Ruby C# n.k Kwa kutumia lugha hizi programmer wanaweza kuwasiliana na kompyuta na kuipa maelekezo wanayotaka kompyuta ifanye , na kwa njia hii ya lugha...
  15. jikuTech

    Information Technology(IT-TEHAMA)-09

    PROGRAMMING NI NINI? Programming ni mchakato wa kuunda program za kompyuta kwa kutumia lugha za kompyuta. Programu hizo ni maagizo ambayo kompyuta inafuata ili kutekeleza kazi flani. Mfano: unaweza kutumia lugha ya kompyuta kama vile java kuunda programu ambayo itafanya mahesabu ya kujumlisha...
  16. jikuTech

    Information Technology(IT-TEHAMA)-08

    PROGRAMMING Nilikueleza kwamba tutajifunza zaidi kuhusu teknolojia ya kompyuta katika Tehama ndio lengo na madhumuni ukiwa mdau wa Jiku Tech Tips. Tujikumbushe maana ya kompyuta ..... Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa...
  17. jikuTech

    Information Technology(IT-TEHAMA)-07

    UFAHAMU KUHUSIANA NA SOFTWARE NA HARDWARE (KOMPYUTA SYSTEMS). Unapo zungumzia kompyuta kuachana na tafsiri yake halisi ina mifumo miwili mifumo ambayo ni software na hardware mifumo ambayo inawezesha utendaji wa kompyuta kwa ufanisi Vifaa vyote vya kushikika kwenye Kompyuta (physical...
  18. jikuTech

    Information Technology(IT-TEHAMA)-06

    AINA ZA KOMPYUTA Aina za kompyuta zinaweza kuelezewa kwa namna mbili kulingana na ukubwa pamoja na uwezo wa kuchakata taarifa kama ifuatavyo Aina Za Kompyuta Kulingana Na Uchakataji Wa Data Analogue Kompyuta Digital Kompyuta Hybrid Kompyuta Analogue Kompyuta Hizi ni kompyuta ambazo utendaji...
  19. jikuTech

    Information Technology(IT-TEHAMA)-05

    AINA ZA UJUZI WA KOMPYUTA Ujuzi wa kompyuta kwa upana unaweza kusemwa kwa namna mbili Moja ujuzi wa kimsingi Pili Ujuzi wa kitaalamu Ujuzi wa kimsingi: Ujuzi huu anahitaji mtu yoyote anaye taka kutumia Kompyuta kwa matumizi madogo madogo kama vile kutuma barua pepe, kutumia mitandao ya...
  20. jikuTech

    Information Technology(IT-TEHAMA)-03

    NINI MAANA YA KOMPYUTA Kompyuta ni kifaa cha kielektroniki ambacho huchukua taarifa/maagizo kutoka kwa mtumiaji na kuchakata taarifa / maagizo hayo chini ya udhibiti wa mipangilio ya maelezo maalum (inayoitwa programu) na kutoa matokeo (pato) na kutunza matokeo hayo kwa matumizi ya siku zijazo...
Back
Top Bottom