The Tegeta escrow account scandal is a 2014 multi million-dollar corruption scheme in the government of Tanzania. Reports and documents show that between US $250 million and $800 million were transferred from the Bank of Tanzania, the country's central bank, and distributed illegally among government officials.
Katika harakati zangu za kutembelea ndugu jamaa na marafiki leo Mwaka mpya nimekutana na hii chamber ya maji ya Dawasa inavujisha maji kama mto maji mengi yanapotea hapa.
Nilipouliza wenyeji wakaniambia eneo ni Tegeta A, Kwa matope
Ni asubuhi leo desemba 9, 2025 katika maeneo ya Tegeta Kibao jijini Dar es salaam, Askari Polisi wakifanya ukaguzi wa kila gari yakiwemo mabasi yanayotokea Kaskazini (Arusha, Moshi na Tanga).
Watu wanaosadikiwa kuwa ni wezi wameiba mali na fedha kwenye maduka matatu tofauti katika eneo la Tegeta kwa Ndevu jijini Dar es Salaam.
Soma pia: Kimewaka wananchi Tegeta A wamvamia mwenyekiti kisa ubovu wa barabara, wasema wamechoka
Wezi hao walifumua bati la juu na kufanikiwa kutoboa...
A Level na O Level, masomo yote.
Kutana na walimu wabobevu kwa kila somo.
Pia tunafundisha mbinu za kufanya solving ya maswali kwa kila topic,, pamoja solving ya past papers...
Hostel pia zipo.
Tupo Tegeta- Nyuki
KARIBU.
Likizo time tution.
Mapambanio centre- tegeta nyuki.
A level na o level masomo yote..
Walimu wabobevu kwenye kila somo.
Solving ya maswali kwa kila topic na maswali ya necta inafanyika kwa kina.
Karibu (0625012562)
Whatsap; 0782044028
A LEVEL NA O LEVEL MASOMO YOTE. WALIMU WALIOBOBEA KWENYE UFUNDISHAJI. SOLVING YA MASWALI MBALIMBALI NA MASWALI YA NECTA INAFANYIKA KWA KINA KABISA..
MWANAFUNZI AKITOKA HAPA ANAKUA TAYARI KUFANYA VIZURI KWENYE MTIHANI WA MWISHO.
KARIBU (0625012562)
habari mtaalam wa kupau na mtaalam wa kuchomelea unaitajika uwe na ofisi bunju au tegeta uwe na kazi ambazo uliishawai kufanya naitaji fundi maiko sio kampuni na pia usiwe dalali uwe fundi mwenyewe wa bei iwe rafiki
Habari wakuu,
Kumekuwa na changamoto ya maji takriban week sasa Goba mtaa wa Tegeta A njia ya kuelekea kwa Bedui, na maeneo mengine yote ya Goba maji yamekuwa hayatoki na hata mtaani wanaouza hawapatikani kwa hali hii wananchi wa huku tunateseka sana, mwenye kujua chanzo cha hii kero atufungue.
Eneo lenye Nyumba 3 linauzwa.
Mahali: Tegeta Namanga, Mtaa wa Kibera.
Eneo liko mita chache kutoka barabara ya Old Bagamoyo.
Ukubwa wa Eneo: SQM 1204.
Bei: Tzs Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa.
Nyaraka: Hatimiliki.
Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano: 0784 829565 au 0767...
Habari,
Nlikua naomba msaada wa kufahamishwa sehemu zinazotoa huduma ya martial arts katika maeneo tajwa hapo juu na nitashukuru nikipata na msaada wa gharama.
Asante
Mimi ni mpitaji wa barabara hii kila siku.
Tokea walipojenga hiyo barabara wale jamaa zetu wa KONOIKE ya Japan, mwaka 2012, pamejitokeza tatizo kubwa la maji ya mvua kubwa kupita maeneo kadhaa.
Eneo la Makutano ya barabara ya Goba /Bagamoyo maji hujaa sana
Eneo la Interchic/Art Gallery maji...
Wananchi wa Mtaa wa Tegeta A katika Kata ya Goba wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam, wameandamana mpaka ofisi za Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Tegeta A, wakitaka ufafanuzi juu ya sababu zinazopelekewa Barabara ya Tegeta A- Goba Mpakani kubaki kuwa mbovu, licha ya ahadi walizoahiriwa mara...
Wananchi wa Mtaa wa Tegeta "A" katika Manispaa ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, wamejitokeza kwa wingi na kuelekea ofisi za Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa huo wakipaza sauti zao kupinga ongezeko la nauli kutoka shilingi 500 hadi 1,000 kwa wanaotumia usafiri wa Daladala na Bajaji za kuchangia...
Eneo linauzwa, Lina nyumba 3 ndani yake.
Mahali: Tegeta Namanga, Mtaa wa Kibera.
Eneo Liko mita chache kutoka barabara ya Bagamoyo.
Ukubwa: SQM 1204.
Nyaraka: Ina Hatimiliki.
Bei: Milioni 300. Mazungumzo yanaruhusiwa.
Gharama ya kwenda kuona Eneo itahusika.
Mawasiliano:
0784 829565
0767...
Katika eneo la Tegeta kwa Ndevu wahusika wanaosimamia suala la kuzoa taka wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe ambao wamekuwa wakiruhusu utokee kwa kubariki Wafanyabiashara wa soko lisilo rasmi lililopo pembezoni mwa Kituo cha Daladala kurundika uchafu kwenye eneo la barabara huku uchafu huo wakati...
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu.
Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili...
Narudia kuuliza mara Kwa mara, Abdul mpaka kufunga safari kwenda Tegeta kwa Lissu akitokea Ikulu akiambatana na jamaa yake Wenje. Lengo hasa la Abdul ni nini au atanufaika vipi kupigania kwa mama yake Lissu alipwe pesa zake.
Inawezekana Abdul ni mtu mwema sana kwa viongozi wa upinzani kuliko...
Kiwanja kipo karibu na kanisa la Sabato dakika 5 kutoka barabara inayoelekea Goba mpakani. Kiwanja kina mapana yafuatayo. Upande unapakana na barabara ni mita 16 na marefu yake ni mita 38. Upande wake wa nyuma ni mita 22. Bei yake kuanzia TZS26 milioni. Maongezi yapo tuwasiliane
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.