technology

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba Serikali ichunguze kwa kina kiwanda cha Lindi graphite technology.

    Baadhi ya kero hizo ni kama ifuatavyo: 1. Wafanyakazi kubebwa na roli kwenda na kutoka kazini. 2. Mfanyakazi akilalamika juu ya kutotemdewa haki anatishiwa kufukuzwa kazi. 3. Mazingira ya eneo la kulia chakula ni mabovu na chakula hakina ubora wa kutosha na hawana wataalamu wa upishi wala bwana...
  2. JamiiForums Tanzania ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐˜„๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ก๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—น๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜€๐˜„๐—ฎ

    Wanasema pesa ngumu ๐Ÿ˜ƒ hakuna Kuonga Aiseeh!!! YouTube imeongeza kiwango cha watch hours kutoka 4,000 hadi 8,000 kwa creators wapya wanaotaka kufuzu na Kuanza kulipwa kupitia mapato ya matangazo. ๐Ÿ“ˆ Na kwa wale wanaotegemea Shorts Video, kiwango chao pia kimepanda kutoka 10M hadi 20M views...
  3. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Google assistant inaondolewa kwenye simu za Android

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. ๐Ÿค– Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  4. JamiiForums Tanzania WAITโ€ฆ What?! Redmi amefanya hivi?!

    Kwa hii Redmi hapa Wamepitiliza Aiseeh ๐Ÿ‘‹ Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu. Redmi K100 Pro Max 9,070mAh ๐Ÿ”‹ + 185Hz โšก kwenye simu moja?! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“ฑ inakuja ikiwa na battery kubwa sana...
  5. JamiiForums Tanzania Compressed Natural Gas (CNG) Operations Engineer / Station Manager Job Vacancy at Lindi Graphite Technology Ltd

    Compressed Natural Gas (CNG) Operations Engineer / Station Manager Job Vacancy at Lindi Graphite Technology Ltd Location: Lindi Region, Tanzania Employment Type: Full-Time Hands-on experience in: Compressed Natural Gas (CNG) compressors and high-pressure gas systems. Compressed Natural Gas...
  6. JamiiForums Tanzania ๐—›๐—ถ๐—ถ ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜๐˜‚ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

    Tunajua simu zetu zinakuja na apps ambazo haziwezi kufutika sio ๐Ÿ˜‚, Sasa 2026 bhana hakuna kinachoshindikana aiseeh. Leo nakupa app inayofuta kila kitu kwenye simu yako haijalishi hiyo app imekuja na simu au umeikuta tu hata zile ambazo ume download zinakataa kufutika ila kupitia hii apps...
  7. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ฐ๐—น๐—ผ๐˜‚๐—ฑ ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ๐—ด๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐˜‡๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐—ฎ

    Wengi tumezoea ukitaka kuhifadhi data zako zilizopo kwenye Whatsapp lazima uwe na Google Drive au icloud sio ๐Ÿซข. Jambo linalopelekea ukipoteza email ndo basi Tena huwezi kuzipata data zako kirahisi, Sasa jambo ilo linakwenda kufa. Kwani watumiaji wengi wa Android wanatumia Google drive kuweza...
  8. JamiiForums Tanzania Smartphones On The Rise As More Kenyans Embrace Newer Technology and Coverage

    Kenya had 78.3 million mobile phones linked to its networks as of the end of December 2025. Of those, 29,620,022 were feature phones and 48,726,982 were smartphones. There are already about 20 million more smartphones than feature phones, and the difference is growing every quarter. A year...
  9. JamiiForums Tanzania Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

    Kama umeweza kusoma mchezo wa hapa bongo kwenye designing ya hardware au software products kumejaa utapeli. Kwasasa kuna low quality work mno hasa kwenye kazi za mobile application, websites yaaani app au web ya mbongo utaijua tu nyingi zipo hovyo mno ingawa wahandisi wazuri wapo lakini...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji connection au links za magroup ya WhatsApp yanayohusu technology kuhusu simu, PC na mengineyo kama hayo

    Habari wakuu Kiukweli nahitaji kuongeza uelewa kuhusu mambo mifumo ya sim na mambo ya computer like androids, OS, Linux, bypassing and other like that. Hivo nilipendelea sasa kisaidiwa kupata connection hasa za whatsapp ili kukutana na wataalamu mbalimbali katika group hizo. ASANTENI SANA.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
  11. JamiiForums Tanzania EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa?

    EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa? Utangulizi Kwa kipindi cha hivi karibuni, teknolojia ya Epoxy Floor imekuwa ikizungumzwa sana kwenye sekta ya ujenzi, hasa mtandaoni. Wauzaji wa kemikali za ujenzi, wakandarasi, mafundi pamoja na wamiliki wa majengo...
  12. JamiiForums Tanzania Badilisha PC yako ya zamani kuwa Powerful MIKROTIK ROUTER

    Router zenye uwezo mkubwa bei yake ipo juu sana. Sasa nikaanza kufanya research ya kama PC ikiwa na Windows OS ya kawaida kama inaweza kufanya kazi kama Router. Nilihangaika mpaka kuja kupata majibu kuwa kama unataka kutumia PC yako kama Router basi inabidi usasishe (install) OS ambayo ni...
  13. JamiiForums Tanzania ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐— ๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—ท๐—ถ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐˜๐—ฒ

    YouTube inafanya majaribio ya feature mpya inaitwa "Direct Message" Kwa watumiaji wake kupitia channel zao ambazo wana share video Kwa wengine kuweza kuchati nao Private. Feature hiyo itawapa watu uwezo wa kuweza kuchati kupitia app ya YouTube mobile Kwa kuweza kutumiana Meseji ndani ya hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania ๐—•๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ฎ๐˜€๐—ถ ๐—ง๐—ฒ๐—ป๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜„๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ฒ๐—ฒ๐—ต!!

    Walichokifanya China hii ni zaidi ya Mapinduzi ya Teknolojia kwenye huu Ulimwengu wa Dunia, Kampuni ya kutengeneza Maroboti Toka China XPENG Robotics imeunda roboti mwenye vinasaba vya binadamu. Angalia video yake sio poa ๐Ÿ‘‡
  15. P

    JamiiForums Tanzania Computer engineering vs Computer science

    Je,course ya computer engineering ina dili nchini au Africa kama ilivyokuwa computer science?
  16. JamiiForums Tanzania Suala la ajira kwa wenye Diploma ya food science and technology limefikia wapi?

    Hivi ndugu zangu suala la ajira kwa upande wa Diploma ya food science and technology limefikia wap maana ni mda umepita tunaomba serikali iliangalie
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mati Technology yapanua wigo wa Kilimo kwa Teknolojia ya Drone

    Na Mwandishi Wetu. KAMPUNI ya Mati Super Brands Ltd kupitia tawi lake la Mati Technology imezindua teknolojia mpya ya ndege nyuki (drone) zinazotengenezwa nchini, zenye uwezo wa kuboresha sekta ya kilimo na huduma nyingine za kijamii. Mkurugenzi Mtendaji wa Mati Group of Companies, David...
  18. JamiiForums Tanzania Technology

    Has technology improved the overall quality of life in the 21st century?
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania kutumia satellite badala ya minara ya simu kufanya mawasiliano

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (Tcra) imetoa mwongozo mpya itakayoweza kubadilisha namna ambavyo Watanzania wanavyopata huduma za simu. ๐Ÿ—ฏ๏ธ Mwongozo mpya utoaji wa mawasiliano ya moja kwa moja toka kwenye simu kwenda kwenye satellite, iliyotolewa julai 2025, huruhusu simu za mkononi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Tangazo la nafasi za kazi โ€“ gpmsc technology & banking company

    ๐Ÿ”ท TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI โ€“ GPMSC TECHNOLOGY & BANKING COMPANY ๐Ÿ”ท --- GPMSC TECHNOLOGY & BANKING COMPANY, taasisi inayoongoza kwa huduma za kibunifu za kiteknolojia na kifedha, ikiwa ni kampuni na benki ya kisasa yenye makao makuu Bugarika, Mwanza โ€“ Tanzania, inatangaza nafasi za kazi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ