technology

  1. JamiiForums Tanzania Itel a200 simu ya bei nyepesi yenye uwezo wa Samsung

    Ikiwa Unatafuta simu yenye screen kubwa, Uwezo wa Ajabu, Skrini yenye 120Hz refresh rate, battery ya 5,000mAh na body yenye uimara wa IP65? ๐Ÿ‘€๐Ÿ”ฅ Basi itel A200 imekuja ikiwa na Unisoc T7250, USB-C yenye 15W charging, Android 15 Go Edition na 4G LTE โ€” ikilenga kutoa experience nzuri bila kuvunja...
  2. JamiiForums Tanzania Software Developer natafuta fursa ya kazi, projects au washirika wa biashara - nina mifumo 6 niliyoiendeleza

    SOFTWARE DEVELOPER NATAFUTA FURSA ZA KAZI, PROJECTS AU WASHIRIKA WA BIASHARA โ€“ NINA MIFUMO 6 NILIYOENDELEZA Habari wana JamiiForums, Mimi ni Software Developer mwenye uzoefu wa kutengeneza mifumo ya kisasa ya Web Applications kwa ajili ya biashara na taasisi mbalimbali. Kwa sasa ninatafuta...
  3. JamiiForums Tanzania ๐Ÿ“ฑ๐—จ๐˜€๐—ถ๐—ฑ๐—ฎ๐—ป๐—ด๐—ฎ๐—ป๐˜†๐—ถ๐—ธ๐—ฒ ๐—ง๐—ฒ๐—ป๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ฐ๐—ผ๐—ฑ๐—ฒ *#*#๐Ÿฐ๐Ÿฒ๐Ÿฏ๐Ÿฒ#*#*!

    ๐Ÿ”ฅ Umeona watu wakisema ukibonyeza ##4636## unapata internet ya bure? โŒ Huo ni UONGO! #4636 ni Testing Menu ya Android inayokusaidia kuangalia taarifa za mtandao, signal, 4G/5G, Wi-Fi na matumizi ya simu. ๐Ÿ“ถ โš ๏ธ Haikupi MB za bure, haiondoi gharama za internet, wala haikuruhusu kutumia data...
  4. JamiiForums Tanzania YouTube kwisha Habari yake imepata mpinzani balaa

    Ebhana Wachina wameamua kuleta upinzani na Wamarekani bhana wameleta mpinzani wa YouTube ๐Ÿ˜ƒ. China sasa inaongeza nguvu kwenye vita vya majukwaa ya video! ๐ŸŽฅ๐Ÿ”ฅ Bilibili, platform maarufu nchini China inayojulikana sana kwa anime, gaming, livestreaming na maudhui ya vijana, inaanza kupanua uwepo...
  5. JamiiForums Tanzania Google imeleta matangazo kwenye simu za Google Pixel

    Google imeanza kuonyesha promotional ads/offers kwenye baadhi ya simu za Google pixel kupitia app ya My Pixel. ๐Ÿ˜ณ. Badala ya app hiyo kutumika kwa tips na taarifa za Pixel pekee, sasa inaweza pia kukuonyesha bidhaa mpya, offers na matangazo ya vifaa vya Google. ๐ŸŒ Lakini kuna jambo muhimu: Hii...
  6. JamiiForums Tanzania Google Pixel imeweka Mfumo wa App lock baada ya kusubiriwa kwa miaka mingi

    Hatimaye Google inaongeza kipengele ambacho watumiaji wengi wa Pixel wamekuwa wakikisubiri kwa muda mrefu! ๐Ÿ˜๐Ÿ“ฑ Kupitia Android 17 QPR2 Beta 3, simu za Pixel zinaanza kupata uwezo wa kufunga apps moja kwa moja kwa kutumia Fingerprint, PIN au Pattern. Sasa unaweza kulinda WhatsApp, Gallery...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba Serikali ichunguze kwa kina kiwanda cha Lindi graphite technology.

    Baadhi ya kero hizo ni kama ifuatavyo: 1. Wafanyakazi kubebwa na roli kwenda na kutoka kazini. 2. Mfanyakazi akilalamika juu ya kutotemdewa haki anatishiwa kufukuzwa kazi. 3. Mazingira ya eneo la kulia chakula ni mabovu na chakula hakina ubora wa kutosha na hawana wataalamu wa upishi wala bwana...
  8. JamiiForums Tanzania ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐˜€๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ถ๐—ฝ๐˜„๐—ฎ ๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜‚๐—ฎ ๐—ก๐—ด๐˜‚๐—บ๐˜‚ ๐—น๐—ฎ๐˜‡๐—ถ๐—บ๐—ฎ ๐˜‚๐—ท๐—ถ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ ๐—ต๐—ฎ๐˜€๐˜„๐—ฎ

    Wanasema pesa ngumu ๐Ÿ˜ƒ hakuna Kuonga Aiseeh!!! YouTube imeongeza kiwango cha watch hours kutoka 4,000 hadi 8,000 kwa creators wapya wanaotaka kufuzu na Kuanza kulipwa kupitia mapato ya matangazo. ๐Ÿ“ˆ Na kwa wale wanaotegemea Shorts Video, kiwango chao pia kimepanda kutoka 10M hadi 20M views...
  9. JamiiForums Tanzania Mwisho wa Google assistant inaondolewa kwenye simu za Android

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. ๐Ÿค– Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  10. JamiiForums Tanzania WAITโ€ฆ What?! Redmi amefanya hivi?!

    Kwa hii Redmi hapa Wamepitiliza Aiseeh ๐Ÿ‘‹ Kuna simu mpya ya Redmi inakuja lakini uwezo wake sasa ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ, inaweza kuifanya iwe moja ya simu zenye battery kubwa zaidi kwenye flagship za mwaka huu. Redmi K100 Pro Max 9,070mAh ๐Ÿ”‹ + 185Hz โšก kwenye simu moja?! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ“ฑ inakuja ikiwa na battery kubwa sana...
  11. JamiiForums Tanzania Compressed Natural Gas (CNG) Operations Engineer / Station Manager Job Vacancy at Lindi Graphite Technology Ltd

    Compressed Natural Gas (CNG) Operations Engineer / Station Manager Job Vacancy at Lindi Graphite Technology Ltd Location: Lindi Region, Tanzania Employment Type: Full-Time Hands-on experience in: Compressed Natural Gas (CNG) compressors and high-pressure gas systems. Compressed Natural Gas...
  12. JamiiForums Tanzania ๐—›๐—ถ๐—ถ ๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐—ถ๐—ฏ๐—ผ๐—ธ๐—ผ ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐—น๐—ฎ ๐—ธ๐—ถ๐˜๐˜‚ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ผ

    Tunajua simu zetu zinakuja na apps ambazo haziwezi kufutika sio ๐Ÿ˜‚, Sasa 2026 bhana hakuna kinachoshindikana aiseeh. Leo nakupa app inayofuta kila kitu kwenye simu yako haijalishi hiyo app imekuja na simu au umeikuta tu hata zile ambazo ume download zinakataa kufutika ila kupitia hii apps...
  13. JamiiForums Tanzania ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ฐ๐—น๐—ผ๐˜‚๐—ฑ ๐˜€๐˜๐—ผ๐—ฟ๐—ฎ๐—ด๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ๐—ธ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ต๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฑ๐—ต๐—ถ ๐—ฑ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ๐—ธ๐—ผ ๐˜‡๐—ถ๐˜€๐—ถ๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ผ๐˜๐—ฒ๐—ฎ

    Wengi tumezoea ukitaka kuhifadhi data zako zilizopo kwenye Whatsapp lazima uwe na Google Drive au icloud sio ๐Ÿซข. Jambo linalopelekea ukipoteza email ndo basi Tena huwezi kuzipata data zako kirahisi, Sasa jambo ilo linakwenda kufa. Kwani watumiaji wengi wa Android wanatumia Google drive kuweza...
  14. JamiiForums Tanzania Smartphones On The Rise As More Kenyans Embrace Newer Technology and Coverage

    Kenya had 78.3 million mobile phones linked to its networks as of the end of December 2025. Of those, 29,620,022 were feature phones and 48,726,982 were smartphones. There are already about 20 million more smartphones than feature phones, and the difference is growing every quarter. A year...
  15. JamiiForums Tanzania Bongo tuna matapeli wengi kwenye issue za technology; hii inatufanya kuja na solution chache mno

    Kama umeweza kusoma mchezo wa hapa bongo kwenye designing ya hardware au software products kumejaa utapeli. Kwasasa kuna low quality work mno hasa kwenye kazi za mobile application, websites yaaani app au web ya mbongo utaijua tu nyingi zipo hovyo mno ingawa wahandisi wazuri wapo lakini...
  16. JamiiForums Tanzania Nahitaji connection au links za magroup ya WhatsApp yanayohusu technology kuhusu simu, PC na mengineyo kama hayo

    Habari wakuu Kiukweli nahitaji kuongeza uelewa kuhusu mambo mifumo ya sim na mambo ya computer like androids, OS, Linux, bypassing and other like that. Hivo nilipendelea sasa kisaidiwa kupata connection hasa za whatsapp ili kukutana na wataalamu mbalimbali katika group hizo. ASANTENI SANA.๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
  17. JamiiForums Tanzania EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa?

    EPOXY FLOOR TECHNOLOGY: Kwa Nini Inakuwa Trend Kubwa Kwenye Ujenzi wa Kisasa? Utangulizi Kwa kipindi cha hivi karibuni, teknolojia ya Epoxy Floor imekuwa ikizungumzwa sana kwenye sekta ya ujenzi, hasa mtandaoni. Wauzaji wa kemikali za ujenzi, wakandarasi, mafundi pamoja na wamiliki wa majengo...
  18. JamiiForums Tanzania Badilisha PC yako ya zamani kuwa Powerful MIKROTIK ROUTER

    Router zenye uwezo mkubwa bei yake ipo juu sana. Sasa nikaanza kufanya research ya kama PC ikiwa na Windows OS ya kawaida kama inaweza kufanya kazi kama Router. Nilihangaika mpaka kuja kupata majibu kuwa kama unataka kutumia PC yako kama Router basi inabidi usasishe (install) OS ambayo ni...
  19. JamiiForums Tanzania ๐—ฌ๐—ผ๐˜‚๐—ง๐˜‚๐—ฏ๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐˜‡๐—ผ ๐˜„๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ป๐—ฎ ๐— ๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—ท๐—ถ ๐—ฃ๐—ฟ๐—ถ๐˜ƒ๐—ฎ๐˜๐—ฒ

    YouTube inafanya majaribio ya feature mpya inaitwa "Direct Message" Kwa watumiaji wake kupitia channel zao ambazo wana share video Kwa wengine kuweza kuchati nao Private. Feature hiyo itawapa watu uwezo wa kuweza kuchati kupitia app ya YouTube mobile Kwa kuweza kutumiana Meseji ndani ya hiyo...
  20. JamiiForums Tanzania ๐—•๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐—ฑ๐—ฎ๐—บ๐˜‚ ๐—ฏ๐—ฎ๐˜€๐—ถ ๐—ง๐—ฒ๐—ป๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐˜„๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—ฎ๐—ถ๐˜€๐—ฒ๐—ฒ๐—ต!!

    Walichokifanya China hii ni zaidi ya Mapinduzi ya Teknolojia kwenye huu Ulimwengu wa Dunia, Kampuni ya kutengeneza Maroboti Toka China XPENG Robotics imeunda roboti mwenye vinasaba vya binadamu. Angalia video yake sio poa ๐Ÿ‘‡
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ