team

  1. JamiiForums Tanzania Takwimu. Wafungaji bora wa Team ya Taifa

    Tuweke hapa idadi ya wachezaji ambao wameifungia team ya Taifa mabao mengi waliopo timuni mpaka sasa. 1. Simon Msuva 2. Mbwana Samatta 3. Feisal Toto Na makipa ambao wameibeba sana team ya Taifa mpaka sasa 1. Aishi Manula 2. Yule kipa wetu Yanga alisemwa Bwabwa Soma Pia: Full Time Tanzania 1...
  2. JamiiForums Tanzania Emergency response team ya Dar es Salaam imekua kulinganisha na zamani

    Ukweli usemwe. Hakika naiona coordination ya hali ya juu namna Team ya kukabiliana na Majanga Dar es Salaam inavyoweza kupambana na majanga ya kipekee na ya aina tofauti tofauti. Tuendelee kutambua mapungufu ili wayaboreshe siku hadi siku. Mungu awape nguvu frontliners wote na wananchi kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Mashairi wimbo "Komaa Nao" by East Coast Team

    Naamini mtakufa nyinyi Kupona nitapona mimi Kama biashara ya madini Mgodi na umiliki mimi Siwezi kuanzisha zaga wakati mwisho wake siuoni Ni kama kumtusi Baba tena kwa matusi ya nguoni 'Pumbavu'... Hawanipendi wanaomba nikatike ulimi Na kwenye 'MV Bokoba' ningekuwepo pia mimi Na wanapenda kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Azam kashakubali kichapo. Haina mjadala hiyo. Anacheza na Team ya Taifa. Ahadi yangu

    Huu ni Mwembe wa uani. Sisi tunajichumia tu tunakula maembe. Kifupi Yanga hatuna mshindani katika ligi ninyi wenyewe mmeona. Ikitokea hata Azam kutoa draw mi najisaidia hadharani pale mnara wa askari. Muone mashine gun yangu ikitema risasi za moto. Azam ni team rahisi sana kwetu. Wanatupa...
  5. JamiiForums Tanzania Simba ikimfunga Yanga narusha humu picha bila nguo. Kuonesha ni aibu na impossible

    Simba ni kikundi cha wahuni wamekusanywa wakaamua wawe wanacheza pamoja. Hamna kitu kabisa pale. Haiwezekani wakamfunga Yanga. Nitapost picha bila nguo kabisa muone kuwa nimedhalilika sana kufungwa na wahuni wa Simba.
  6. JamiiForums Tanzania Tuache utani Wanayanga Simba ni team hatari sana, naogopa

    I salute you kinsmen. Kwa kweli Simba ya sasa ni hatari sana mpaka wanayanga tunaogopa sana hata match yenyewe. Yaani mimi naona wazi kabisa siku hiyo matokeo hayatakuwa upande wetu kama mzunguko uliopita walipokula 5. Mzunguko simba wamekuwa hatari sana uwanjani kuliko yanga tujipange sana...
  7. JamiiForums Tanzania Yanga imepata wachezaji imepoteza team

    Hii ndio sentence pekee naweza kuitumia kuelezea kile nachokiona kwa team ya Yanga Kwa Sasa Kuna wachezaji lakini hakuna team Kila mmoja anataka kufanya kile anachotaka kufanya sio kwa ajili ya team Bali kwa ajili yake Naamini Kuna hata wachezaji husikia uchungu pale mmoja wao anapofunga...
  8. JamiiForums Tanzania Tigo na makampuni mengine ya simu njooni mjibu tuhuma hizi kabla hatujawakimbia

    Kuna madai yaliyo tolewa huko London mahakamani kwamba Tigo muliwapa watu fulani data za kumfuatilia Tundu Lissu. Mbona mmekaa fofofo hadi sasa hamseki kitu? Mpaka sasa hamja kanusha kwamba ni ya uongo- kama ilivyo lipotiwa: Firm disclosed phone data of shot Tanzanian politician, UK tribunal...
  9. JamiiForums Tanzania Kuna team huko Saudia Pro league inaitwa Al Hilal

    Hii team inashinda Kila mechi halafu inashinda kirahisi sana na ukijichanganya unakula hata nne au Tano
  10. JamiiForums Tanzania TANESCO- Simiyu yatuma Wataalam kufuatilia changamoto ya umeme Kata ya Muamatondo - Bariadi

    Mwanachama wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa ni Mkazi wa Bariadi katika Kata ya Muamatondo amedai kunachangamoto kubwa ya kukatikakatika kwa umeme hasa katika Kijiji cha Mwasinasi. Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Kata ya Muamatondo wilaya ya Bariadi suala la umeme kukatika limekuwa kero sana...
  11. JamiiForums Tanzania Job kurudishwa national team Unafki wa kocha hemed moroco umejidhihirisha?

    Wakuu. Sote tulilaumu sana kwa kipindi kile kocha moroco kutomuita the big brain defender na hata tukapuuzwa kwa chuki zake za kijinga za kocha huyu, leo sasa mwenyewe kajirudi mwenyewe Hemed.🗣 Dickson Job ni mchezaji wa timu ya taifa na amerudi kwenye timu ya taifa na hii ni baada ya...
  12. JamiiForums Tanzania Huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwatapeli baadhi ya Watanzania

    Mnaona wana jamvi, Na team ya JamiiForum hebu angalieni hili swala la huyu bwana Toka 2010 amekuwa akiwapiga za uso baadhi ya Tanzania kwa kuwapiga na uhuni wa utaperi wa uwekezaji hali anaacha familia nyingi za Kitanzania zikiumia na hakuna mtu wa kufichua hili swala. Jamiiforum kimnya TBS...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza Vijana walioenda Kongamanoni leo Dodoma walienda kwa Utashi wao au ni kwa Utashi wa Chakula na Hela kutoka kwa Team Chawa?

    Halafu inakuwaje wengi Wao niliwaona kama vile Nyuso zao zilikuwawa na hofu na pia kukosa Kujiamini kama Vijana?
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Team “Kataa ndoa” wapuuzwe, hawana maadili, ndoa iheshimiwe na watu wote

    Kumekuwepo na wimbi kubwa la "Vijana wa ovyo " wakiendesha kampeni yao maarufu Kama Kataa ndoa! Wengi wanaopinga ni kuonyesha kiasi gani jamii yetu inakosa maadili! Mwanaume anaogopa na hawezi kuiongoza familia ,anaishia kuandika KATAA NDOA? hebu tukumbushane! Umewahi kuona mgombea urais asiye...
  15. JamiiForums Tanzania Hii basketball team ya USA imekusudia Nini mbona imesheheni mastar tupu!

    Na sio team TU hadi mashabiki ni mastar maana naona kina queen latipha n.k in da house baby
  16. JamiiForums Tanzania Mimi ni TEAM Hamas,Russia,Iran,Hizbullah,Houth Kama ndiyo na wewe njoo hapa tujuane

    Wana jamii kama kichwa cha habari kınavyosema hapa ni team hiyo hapo juu,kama una habari nzuri kuwahusu tafadhali tuletee hapa pia Tijuane!
  17. D

    JamiiForums Tanzania Feisal salum team ya taifa ni useless. Tutafute mchezaji mwingine

    Performance ya jana was shameful. He provide no help to the team. Ni mzigo bora hata wakina Barua au tutafute number 10 mwingine. Tunashidwa kumpa boost kwenda mbele. Maana tuna wasiwasi na kiwango chake.
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kombe Muungano 2024/25 liwe kama MTN 8. Yaani team 8 za zanzibar na team 8 za bara

    Ni simple advice, Hii nimeiyona South africa. phone company imeweka hela kila msimu kuna MTN 8. Team 8 za juu zina compete for MTN Championship na jezi sponsors kabisa Note: Tigo, Vodacom, Airtel wanaweza chukua tigo 8, voda8, Airtel 8. wapige kampeni na jezi zao kabisa. Good day Thank you.
  19. JamiiForums Tanzania Operations Assistant – Team Leader (Field Support) at IOM

    GENERIC POST DESCRIPTION SECTION 1 Position Information Vacancy Number IOM/MKR/032/2024 Position Title Operations Assistant – Team Leader (Field Support) Position Grade G5 Duration 1 year with a possibility of extension Duty Station Makere, Tanzania United Republic Of Position...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya ligi ifanye reform next season kila team kuwa media team kutoa content

    We miss out alot of contents from other lower teams. my thoughts is less information is shared about these teams leading to fewer fans, and unknown good players. My advice to Tanzania league board is to make mandatory, to have a media team which functions and give out daily content, ie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…