team

  1. Da Dona

    CAF yakanusha madai ya kutofanyika AFCON ya mwaka 2027

    --- Kujiamini na matarajio vinaendelea kuongezeka kuelekea Kombe la Mataifa ya Afrika 2027 (AFCON), huku Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) likijaribu kuzima tetesi zinazoongezeka kuhusu utayari wa mashindano hayo. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Rais wa CAF, Patrice...
  2. Troll JF

    If the Hon. Mr AG nominates me, I will form a team to represent our lovely madam President in any Court of justice

    If the AG nominates me, I will form a team to defend our lovely madam President. In any court of justice should she face any charges I solemnly affirm and states as follows I’m well acquainted with the matters/current events happening in the United Republic of Tanzania.” 🇹🇿 That I exhibit...
  3. Lord Denning

    Wakristo, na hasa Wakatoliki kaeni chonjo. Anawamaliza wote!

    Makamu wa Rais hajulikani yupo wapi na yupo kwenye hali gani. Siku chache zilizopita Masheikh waliotumwa walimsema wazi mbele ya Camera na kumuhusisha na TEC. Haikuwa bahati mbaya Waziri Mstaafu Godfrey Mwambe yupo kizuizini kuhusishwa na Ukatoliki wake na ukaribu wake na Nchimbi. Leo Jenista...
  4. B

    Ni kweli kwamba Diamond na team yake ya Wasafi wamenyimwa visa kuingia USA?

    Taarifa zilizopo ni kuwa msanii Diamond na team yake wamezuiliwa kuingia USA, kuna ukweli wowote? na sababu inaweza kuwa ni nini?
  5. Its Pancho

    Mapato ya tickets mechi ya jana ya simba ni shilingi 3000/..! Kweli mashabiki wa simba wanaipenda sana team yao

    Wakuu I salute you kinsmen Kuna team ilikuwa inasifiwa sana wanajisifia sana kuwa wao watalipa ticket na uwanja watajaza mapema tu saa 8 mchana unakuwa full Na semaji Lao likawajaza upepo kuwa ticket zimeshauzwa ni full house. Lakini jana kilichotokea ni bora wangefanya watu waingie bure tu...
  6. afrogbedu10

    JISOO and ZAYN Team Up for Emotional New Single “EYES CLOSED”

    JISOO and ZAYN Team Up for Emotional New Single “EYES CLOSED” K-pop and pop music fans have a reason to celebrate: JISOO and ZAYN have finally teamed up for their first-ever collaboration, “EYES CLOSED.” Both stars share a few things in common. JISOO became a global sensation as part of...
  7. Mtu Asiyejulikana

    Jinsi ambavyo watu wanajaribu Kuibagaza Yanga. Serikali iingilie kati suala hili. Hii ni Team ya Chama

    Huu ujinga serikali ikemee. Yanga ni team ya Taifa. Kwa nini watu watumike kuibagaza na kuibananga namna hii? Hili shoga limevaa jersey ya Yanga linfurahia kama ambavyo huwa yanavaa za CCM.
  8. Chizi Maarifa

    Siku hazirudi Nyuma : Kile Kizazi cha Dhahabu cha Team ya Taifa ya Cameroon

    Mfululizo wa Makala zangu za SIKU HAZIRUDI NYUMA. Hapa namaanisha kile kikosi Shababy kabisa cha Cameroon. Mguu wa shingo mguu wa Roho. “golden generation” ya Cameroon iliyotikisa dunia kwenye Kombe la Dunia 1990 (Italia) wakati wa Roger Milla na wenzake. Hicho ndicho kikosi kinachokumbukwa...
  9. N'yadikwa

    Kuanzishwa kwa "Sports Infrastructure Management Agency (SIMA)" ni Wazo zuri, heko Msigwa na Team yako

    Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Bw. Gerson Msigwa, amebainisha kuwa Serikali ipo katika hatua za kuanzisha Sports Infrastructure Management Agency (SIMA). Akizungumza katika kipindi cha Morning Trumpet cha Azam TV leo, Bw. Msigwa...
  10. M

    GE2025 Team Kalemani wahamia kwa Lutandula. Hawamuungi mkono Cornel Magembe

    Inashangaza sana. Hii inaitwa hasira za mkizi. Wapambe wote wa Kalemani wamehamia kumuunga mkono Lutandula wa Chato kusini Wamemtenga kabisa Cornel Magembe CCM chato watu wanachuki sana. Nipo hapa stendi ya Zamani Chato nakunywa kahawa
  11. Jamii Opportunities

    Assistant Team Lead – IT (Network and System Security) – (Re-advertised) at School of St Jude August 2025

    We’re looking for qualified and passionate Assistant Team Lead – IT (Network and System Security) – (Re-advertised) Want to work for one of the largest charities of its kind in Africa? Are you a tech-savvy individual with a passion for making a difference? Are you eager to bring your IT...
  12. U

    Kama kuna mtu Team Wazalendo Mnatakiwa Kumlilia ni B.W. Mkapa

    .
  13. Komeo Lachuma

    Burkinafaso, Ni wabovu sana. Hawana team kwa kweli

    Hawa walitakiwa wawe wamechapwa hata 5 mpaka sasa. Hawana team kabisa. Ni kama wamekusanywa kusanywa mtaani wakaletwa waje wacheze. Very disorganized hawajielewi kabisa. Hamna team hapo.
  14. DELETED ACCOUNT

    Yanga inaandaa mechi ya Netball kati ya Team Kouma na Team Mwamnyeto

    Inaonyesha Yanga msimu huu imeamua kuenzi michezo yote iliyopo katika nembo yao. Baada ya pambano la ndondi la kukata na shoka kati ya Kibwana Shomari na Denis Nkane, sasa hivi klabu hiyo inaandaa mechi ya netball itakayowahusisha wachezaji wake. Inasemekana wachezaji wamegawanywa pande mbili...
  15. Youbettersleep

    Story : Jamaa wa pool table alivyowaingiza 18 wadau team jobless

    Kuna mahali alikuja kijana mmoja mgeni akakuta wenyeji akauliza hakuna mchezaji tucheze bukubuku mwenyeji mmoja akasema labda buku mbili mbili jamaa akasema sawa Wanacheza mgeni akaliwa game 5 mgeni akasema twende ten ten mgeni akaliwa game 3 ikawa jumla kaliwa 40000 mgeni akasema twende laki...
  16. S

    Jambo nina uhakika nalo ni kwamba kuna team imeundwa iko busy kutafuta namna ya kumchafua Polepole, usishangae ukisikia kaiba fedha za ubalozi Cuba!

    Hawa CCM na serikali yao siku hizi wamekuwa predictable sana. Baada ya hii barua ya Polepole ya kujiuzulu na kuukosoa uongozi wa Raisi Samia hadharani, utakuta kuna team maalum imewekwa kutafuta namna ya kumchafua. Sasa hivi utaona statements zikianza kutolewa kuhusu maovu aliyofanya...
  17. THE FIRST BORN

    Kwa tunaotaka Mabadiliko Nchi hii tunaombea Simba Agome serious asilete Team uwanjani

    Habari Nisikuchoshe sana msomaji ila niseme hivi watanzania tunaotaka Mabadiliko katika hii Nchi tunaombea leo simba asilete Team uwanjani. WHY? Hii itamvuruga Mama yenu wa kilemba itatuma ujumbe mkubwa sana na atapata kiwewe na ukizingatia ni mwaka huu anahitaji Kura nyingi so atakua na...
  18. Damaso

    The only amateur team at the Club World Cup Auckland City FC managed to draw 1-1 vs. South American giants Boca Juniors

    The only amateur team at the Club World Cup Auckland City FC managed to draw 1-1 vs. South American giants Boca Juniors. The side from New Zealand is mostly comprised of players that have full time jobs outside of football 😮👏
  19. W

    Nchi yangu, mambo yenye tija wananchi wengi wapo kimya ila kwenye Simba na Yanga kila mtu anaongea tena kwa uchungu

    Tangu jana Yanga watoe matangazo ya kuendelea na msimamo kila mtu anapaza sauti hadi wakina mama tena kwenye hizi public transport imagine. Ila mijadala yenye afya kuhusu mustakabali wa taifa, yanayofanywa na CCM, watu kutekwa, kupotea wala hawajadili kwa sauti tena wanafanya kama hawahusu eti...
Back
Top Bottom