To be announced (TBA), to be confirmed or continued (TBC), to be determined or decided or declared (TBD), and other variations, are placeholder terms used very broadly in event planning to indicate that although something is scheduled or expected to happen, a particular aspect of that remains to be arranged or confirmed.
Ulitumia TBC kukandamiza upinzani hasa Chadema, ambao walikuwa wanatekeleza haki ya kikatiba ya kitoa na kupata habari kupitià TBC. Ukawanyima fursa hiyo na kuwa CHAWA No. 1 wa CCM.
Leo umeondoka na Mungu anakusubiri akupe hukumu stahiki!
All in all kwa vile ulifanya ikamndamizaji wa...
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC), Dk Ayub Rioba amestaafu baada ya muda wake kwisha.
Ameandika katika ukurasa wake wa Facebook:
Tarehe 19 Machi Rais Dkt. JPM aliniteua kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TBC. Alivyofariki JPM, nilipitia vita ngumu sana ya wale walioamini...
Ajira Mpya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hatujalipwa hela ya kujikimu, tukiuliza wanatuamia watatulipa, lakini kwa experience iliyopo posho ya kujikimu Watu hawalipwi hadi Mwaka unapita.
Pia, posho za watumishi hazilipwi kwa wakati mabosi wakiulizwa wanasema posho ni hisani. Wakati watu...
Muda huu tumewekewa Mubashara katika hii Television ya TAIFA mashindano ya kusoma Quaran yanafanyika Kondoa Dodoma, wakati Kuna tukio kubwa la KITAIFA NA KIKANDA kinaendelea pale AICC - ARUSHA hatupati kujua kinachoendelea tena EAC SUMMIT.
HUU NI UJINGA SANA, MAMBO YA IMANI WAACHIE TV ZA DINI...
Viongozi wetu walijisahau sana watu walikuwa wanatekwa Kila baada ya muda mfupi Yani utadhani mfuga kuku anachagua kuku wa kuchinja bandani kwake. Na viongozi hawakuonyesha kushtushwa hata kidogo. Waliona sawa.
Sasa Leo wametindinganya mambo TBC inakuja na vipindi vya kujikomba Kwa vijana...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayub Rioba Chacha kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa Facebook amesema yupo tayari kuomba silaha kwaajili ya kuilinda Tanzania dhidi ya tishio lolote la usalama na amani kwani aliwahi kufanya hivyo mwaka 1990.
"Mwaka 1990 nikiwa...
Jana Waziri Mkuu Feki anatoka anatoa takwimu za uharibifu wa mali uliofanyika kipindi cha uchaguzi.
Ametaja magari ya serikali, magari binafsi, vituo vya polisi, nk. Tuache kwanza hoja ya usahihi wa hizo takwimu ambazo zinatia shaka.
Cha kushangaza wakati yote hayo yanatokea, kituo cha taifa...
Mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kupitia ukurasa wake wa Facebook ameweka wazi maono ambayo amedai kuoneshwa na Mwenyezi Mungu.
"Mwenyezi Mungu amenifunulia kwamba njama zote za kuivuruga Tanzania hazitafanikiwa! Amenionesha kuwa ameyafunga maandamano yoyote yale Tanzania na...
Hiv TBC ni chombo cha Taifa au chombo cha siasa za mrengo 1 wa CCM au ni dodoki la kuosha na kusambaza propaganda za serikali, nao wachukue basi usajili kwenye Baraza la vyama vya siasa maana hawaripoti habari za wananchi zaidi ni mapambio kuanzia asubuhi mpaka asubuhi.
Mnajidanganya sana...
Anayaandika haya mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania TBC kwenye ukurasa wake wa Facebook;
Ndugu zangu Watanzania, kwa wale wanaopinga mazungumzo au maridhiano mnajua mbadala wake? Hebu tuweke pembeni mihemuko ya kibinadamu.
Tujadili kama ndugu. Ni kweli, sote tumeishakoseana. Hivi...
Kupitia ukurasa wake wa Facebook mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) Dkt. Ayoub Rioba Chacha ameandika:
Nataka niingie kwenye rekodi. Ili hata siku mtakapokuja kuniua, ibaki kwenye kumbukumbu. Naona sasa ni kama vile 'narrative' inabadilishwa kwa sababu ya propaganda! Ni hivi...
Wakati Shirika la Habari la China, CGTN (China Global Television Network), linaendelea kuonesha umahiri wake katika kukuza utamaduni, sanaa, na fikra za kitaifa kupitia filamu kama “The Legend of the Monkey King” na “Nezha”, Shirika la Utangazaji la Taifa Tanzania (TBC) linaendelea kutumia...
Azam TV na TBC wanatumika kuhalalisha uchafuzi wa jana tulioukataa Wananchi.
Wanajifanya kutangaza matokeo ya Uchaguzi eti walioshinda uchaguzi. Wanatumiwa na Mafisadi na Wauaji kuhalalisha upuuzi wao.
Wananchi twendeni tukavichome hivi vituo muda huu
Katika pitapita zangu huku london nkaweka online radio za TZ, nipate kumbukumbu zake kwa siku ya leo, ila naona nyimbo za komba zimetamalaki, kuliko nukuu za nyerere, maana nyerere hana nukuu alio paka rangi zote kaongelea uhuru wa kweli , true sovereignty.
MGOMBEA wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atatumia mbinu ya kipekee katika mapambano dhidi ya rushwa.
Doyo amesema watu wote watakaokamatwa na kuthibitika wamejihusisha na vitendo vya rushwa, watachapwa viboko 12...
Ndugu zangu CCM kipindi hiki cha kampeni ili tuwezi kushinda kwa kishindo basi tuombe tuwe tunawekewe hotuba za Magufuli ikiwezekana kwenye redio zote za Tanzania hizi hotuba ziendane kama tunavyomsifia Mama ili tuwapiga wapinzani kweli kweli
Kila baada ya miaka 5 Katiba ya JMT inaeleza kufanyika kwa uchaguzi mkuu hapa nchini ambapo wananchi huchagua Rais, wabunge na Madiwani. Katiba hiyohiyo pia imeelekeza uchaguzi mdogo kufanyika ndani ya kipindi kitachotangazwa na tume ya uchaguzi mara baada ya nafasi ya ugombea kuwa wazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.