tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania 2014 nilirogwa kwa kununua dawa ya mvuto mtaani, sikuwa najitambua, ponea yangu ni ndugu yangu kunijua nina tatizo na kunipeleka kwa mtaalam

    Nawaasa sana watu mnaonunua hizi dawa za mvuto wa mapenzi, kusafisha nyota, n.k. muwe makini sana, hizo dawa nyingine mnazonunua huwa mnajitoa sadaka kwa wanaoziuza, wanawaibia vitu vyenu ama kuwaharibia maksudi baraka mlizopewa pengine ili wanufaike na matatizo yenu, Ridhika na ulichopewa, Tia...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo la kukatika kwa umeme

    Hadi sasa sijaona barua rasmi kutoka TANESCO ya kuomba radhi au kutoa sababu za kukosekana kwa umeme kwa muda wa siku nzima katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya UBUNGO hapo jana tarehe 20 January, 2023. TANESCO
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo ni nini hasa? Madarasa tayari Wanafunzi hawataki Shule

    Haya ni maajabu ya Tanzania ya CCM, Sasa hivi inajisifu kujenga madarasa mengi na ya kisasa kwa shule za msingi na sekondari kwa pesa nyingi sana za kukopa, tozo na kodi za kawaida. Pia sasa hivi elimu inasemekana ni bure kote huko yaani msingi na sekondari. Tunawapongeza. Ajabu ni kuwa kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa nyakati hizi kutokuwa na haiba ya kike, tatizo lipo wapi

    Tunashuhudia katika nyakati hizi Wanawake wengi kutokuwa na haiba ya kike, wengi kuota ndevu, na pia wengi kuwa na haiba za kiume, ubaunsa, ukaidi, ubishi, baadhi utemi, kuvuta bange na N. K, Nini chanzo cha tatizo hili, maana wanawake kwa jinsi ya uumbaji walipaswa kuwa tulizo kwetu akina...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kupoteza uwezo wa kunusa harufu mbalimbali

    habari wanajamvi, msaada kwa mgonjwa asieweza kunusa harufu ya kitu chochote kwa muda wa miezi sita sasa msaada wa daktari au dawa ni muhimu
  6. JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili hili ni tatizo

    Habari wana JF, Kumekuwa na tatizo kubwa Sana hasa kwenye wizara ya Mali Asili na utalii. Wizara ya Mali Asili na utalii inaonekana kama kila mtu yupo huru kuamua kuamka tu na kuweka tozo, gharama na malipo ambayo inaonekana hakuna wa kuhoji uhalali wake au umuhimu wake. Kuachilia mbali kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Mtutura: Kilio cha Uhaba wa Mbolea ya Ruzuku Nchini; Hatua za Serikali Haziondoi Tatizo

    Hali ya upatikanaji wa mbolea kwa wakulima nchini imekuwa ikilalamikiwa kwa takribani miezi minne (4) kuanzia mwezi Agosti mwaka 2022 tangu kuanza kutumika kwa mfumo wa ruzuku kwenye mbolea. Serikali ilitangaza uamuzi wa kutoa ruzuku kwenye mbolea na pembejeo kwa wakulima kufuatiwa na msukumo wa...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada: PC yangu sensor haifanyi kazi, tatizo ni nini?

    Wapendwa nimeweka Windows 10 kwenye PC yangu aina ya Acer lakini sensor imegoma kufanya kazi naomba kukujua tatizo itakuwa ni Nini na namna ya kutatua.
  9. JamiiForums Tanzania Nimefika Dar es Salaam watu wengi ninaowafahamu wamekonda, tatizo nini?

    Baada ya miezi kadhaa kukimbia Jiji na kurudi, hivi karibuni hii ndio Hali niliyoiona uswahilini kwangu. Hawajui kula kiafya? Wanaumwa? Hawana pesa, wanamawazo na hawata kurudi mikoani kujipanga upya? Wamezoea kula ubwabwa na Sasa umepanda Bei hawako flexible kula manumbu. Wakuu vipi au...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna nchi mkate ukipanda bei ni ishara kuwa nchi ipo kwenye tatizo

    Sio kwetu huku hata tuongezewe matozo, makodi na masababu ila tutaishia kumudu tukilalamika moyoni na kumuwachia mungu. Kwa sasa hakuna penye unafuhuu kuanzia kile kilicho kuwa kinaliwa na maskini nacho kinaonekana kuwa sawa bei moja na kinacho liwa na matajiri au wanaomudu. Vipato vyetu na...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali imeruhusu wasichana kucheza uchi wa mnyama kwenye kumbi za starehe? Hali inatisha!

    Serikali kama haijaliona tatizo hili basi mimi Sexless nawapeni taarifa. Hali imekuwa mbaya sana kwenye kumbi na maeneo mengi ya starehe, wasichana wanacheza wakiwa uchi wa mnyama. Kuna muda wanafika mahala wanaonesha mambo ya ngono laivu huku watu wakishangilia. Hali ni mbaya sana. Ni...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Martin Luther Jr wa Tanzania ambae ni tatizo kubwa la Rais Samia na CCM yake. Tumuunge mkono

    Huyu Bwana kwa hakika ndiye tatizo kubwa Kwa Rais Samia na CCM yake. Ametangaza kuwa, Sasa anarudi nchini kwake baada ya kukaa uhamishoni nchini Ubelgiji kwa takribani miaka karibu 6 Ssasa. Tena kaweka wazi kuwa anakuja kujiunga na wenzake CHADEMA na wengine kupambania demokrasia, uhuru na...
  13. JamiiForums Tanzania Kama Manara kaachwa kumbe tatizo sio pesa

    Kuna watu wengi wanafikiri kwamba mapenzi ni pesa tu sio kweli. Manara pamoja na kutumia pesa zaidi ya Milion 100+ kufanya show off na mademu zake lakini bado demu mpya kampiga chini!!! Hawa viumbe nashindwa Sasa kuwaelewa kumbe tatizo sio pesa kweli kama tunavyo aminishwa!! Hawa viumbe...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Kuna tatizo gani NIDA?

    Naomba mniulizie kwa mtendaji mkuu wa NIDA Kibaha mkoa wa Pwani. Kwanini inachukua zaidi ya mwezi kupata namba (sio kitambulisho) katika ofisi ya Kibaha? Tunaomba mkuu wa mkoa aingilie kati.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wana CCM wenzangu ule Uchawa mliokuwa nao wakati wa Rais Magufuli mbona siuoni wakati huu wa Rais Samia, tatizo ni nini?

    Sijaelewa ni kitu gani kimewatokea hawa jamaa. Enzi za Chuma Jpm walikuwa moto sana. Kule youtube alikuwepo Cipyrian Musiba, kule Twitter ndio usisema account kama zote. Vyama vya idara mbali mbali vya chama shamra shamra huku na kule. Pesa walikuwa wanapat wapi? Mbona mmepoa sana wakati huu?
  16. JamiiForums Tanzania Kama ukishamwambia mtu kitu hakitokei tatizo lako ni hili

    Washauri wengi ikiwemo wazazi wamekuwa wakitushauri kuwa watu wasiri. Nikimaanisha tusipende kumwambia mtu mipango yetu. Sa nyingine ni pale tu ukishamwambia mtu mipango yako ndio inavurugika. Hii inatokana na nini ? na nini kifanyike? Inatokana na kumwamini mtu pia kutokujua kuwa anaumia sana...
  17. JamiiForums Tanzania Tatizo la kutotoa shahawa au kutoka kidogo

    Kwema wakuu nasumbuliwa na tatizo la kutoa shahawa kidogo au kutotoka kabisa pindi ninapojamiiana, hali hii imeambatana na maumivu ya korodani Je, ni ipi tiba? Shukrani.
  18. C

    JamiiForums Tanzania Hili linaweza kuwa tatizo la kisaikolojia?

    Ni bahati mbaya sana inatokea, nikikutana na mwanamke/binti mnene hata barabarani tukatazamana tu, nahisi kutapika kabisa. Hivi hili laweza kuwa ni tatizo tu la kisaikolojia au nini wataalamu?
  19. JamiiForums Tanzania Kuna tatizo uongozi wa mwendokasi (BRT)

    Wakuu tunaomba mjitahidi kutoa huduma inayoeleweka. Sijui ni nani anaepanga route za magari maana imagine mtu unakaa kituoni lisaa lizima gari zinapita chache mno na zimejaa hakuna hata pa kusimama. Mtu unaamua uende hadi terminal ya kivukoni au gerezani unakuta hali ndio haifai. Jitahidi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Ndugu yangu Wa kiume ana tabia za kike, suluhisho la hili tatizo ni nini?

    Nilikuwa simfahamu huyu ndugu yangu, ni mtoto wa mama mdogo, nimemfahamu juzi kwenye family gathering event😭ni damu yangu kabisa halafu kijana, mara ya kwanza nlivomuona tabia zake, na jinsi anavotembea, Nilipata mashaka nikahisi kuna kitu kimempungukia kama mwanaume. Nlivyokuja kuongea naye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…