tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo la Kibabage ni jina lake, atafutiwe a.k.a huwezi kuitwa Kibabage ukawa star

    Kimo chake na jina lake vinatoa confidence kwa wapinzani wake kumpita. Hawezi kuongeza hata inchi moja ya urefu wake sasa tumtafutie jina la utani. Iwela kutisha au la wachezaji wakubwa inasaidia kumtisha adui Jina kama Ninja, Messi, Spideman, Tshabalala , Mdaka mishale yanatisha
  2. JamiiForums Tanzania Mfumo wa kuomba ajira uhamiaji una tatizo gani?

    aiseeee Kila mtu mtaani kwangu huku anayehangaika kutuma maombi kwenye mfumo wa uhamiaji naona anakwama ku regester wanaandika IVALID REGSTRATION" what the hell is this???
  3. JamiiForums Tanzania Tatizo ujasiri wa jaji Warioba huonekana pale tu kwenye tawala zenye uhuru wa kujieleza

    Friends and Our Enemies, Mungu Mkubwa sana,Pia Mungu ni hakika ni Mkali Sana,Ona Mungu kamchukua Magufuli kamuacha WARIOBA,Mungu Kamchukua Ndugulile hata kabla hajafaidi matunda yake ya cheo kipya kamuacha WARIOBA,Kuna kipindi marehemu Captain John Komba alishawahi mfanyia dhihaka JAJI WARIOBA...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mnaolinganisha mafanikio ya Rais Samia na Rais Nyerere, huenda mna tatizo la afya ya akili kwa kutozingatia ukweli huu hapa

    Kuna watu wamekuwa kero kama kelele za mbu karibu na sikio. Wanalinganisha mafanikio ya Raisi Samia na yale aliyofanya Raisi Nyerere enzi za uraisi wake. Wanashindwa kabisa kutambua Nyarere kama Raisi hawakuwa na wigo wa serikali kupata mapato alionao Samia hivi sasa. Leo hii ukilinganisha hela...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la kukata umeme mara kwa mara Wilaya ya Kiteto

    Kama tunavyofahamu na kuelewa Umeme ni nishati iliyo na nguvu sana na inayorahisisha mambo mengi ktk jamii kama kusaga nafaka flani, kupooza kwenye friji bidhaa flani, kuchomelea, Masaluni n.k Ila Wilaya yetu wanakata sana umeme na kusababisha mzunguko wa pesa kudorora.
  6. JamiiForums Tanzania Aishi Manula augua ghafla Uwanja wa Ndege dakika chache kabla ya safari ya Algeria

    Wakuu Mlinda Mlango Aishi Manula sio sehemu ya kikosi kilichoelekea Algeria baada ya changamoto ya Kiafya akiwa Airport == Klabu ya Simba imetoa taatifa kuwa mlinda mlango Aishi Manula alishindwa kusafiri kuelekea Algeria baada ya kupata hitilafu ya kiafya dakika chache kabla ya kuondoka...
  7. JamiiForums Tanzania Tusimung'unye maneno, tatizo la ukosefu wa ajira hapa nchini Tanzania ni matokeo ya utawala wa Magufuli

    Hello! Najua kuna watu huwaambii kitu kuhusu Magufuli lakini ngoja niwaambie hata kwa ubabe. Tatizo la ajira ni global issue lakini kwa Tanzania halikupaswa kutokea sasa, lilipaswa lianze angalau 2030. Baada ya kuingia Magufuli Ikulu na kuwa Rais cha kwanza kabisa akaenda kupambana na...
  8. JamiiForums Tanzania Tatizo baada ya kupangiwa placement

    ...
  9. JamiiForums Tanzania Tatizo baada ya kupata placement

    ....
  10. J

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nifanyeje, Kutatua tatizo?

    Habari za Leo wanajamii forum, naombeni nisaidiwe kwa hili. Nina kazi ya kukaa muda mrefu kwenye kompyuta (Coding Developer), na katika kipindi kifupi kilichopita, nimeanza kusumbuka na maumivu ya mgongo upande wa kushoto, chini kidogo. Hali hii inanipelekea kutoshika vizuri kwa muda mrefu...
  11. JamiiForums Tanzania Responded Waziri Aweso: Tatizo la Tokeni za Maji za Prepaid, latatuliwa BUWASA

    Hivi karibuni Mdau wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Maji Bukoba - BUWASA, kushughulikia changamoto ya Wateja wa Mita za Maji za Prepaid kukosa Tokeni. Wafanyakazi wa BUWASA wakiwa wanakagua Mita za maji za Prepaid Ni kweli hii changamoto ilikuwepo na sio changamoto ya BUWASA bali...
  12. JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie yafuatayo ili kurahisisha ufafanuzi na ufumbuzi wa tatizo au taarifa husika; 1. ENEO HUSIKA...
  13. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Prince Dube aliingia uwanjani akiwa na wenge la pombe ya usiku (hanging over) Yanga kuna tatizo kubwa.

    Mpaka sasanikitizama video za marudio ya mechi ya Yanga vs Al hilal nikiangalia jinsi ambavyo prince Dube alikuwa anaanguka peke yake bila kuguswa 😆 tena yupo kwenye position ya kufunga anaanguka kama walevi wa ambiance au K vant Mpaka wqchezaji wa Al hilal wakawa wanaonyesha ishara ya...
  14. JamiiForums Tanzania Tatizo la ulimi kuchubuka linatokana na nini?

    Habari wakuu, Nina changamoto yapata mwezi sasa ulimi wangu umechubuka ulianza upande mmoja na umeenea kiasi mpk kwa mbele kabisa, nilienda hospital nikapewa cipro ya kumeza na Quadrajel ya kupakaa, hazijanisaidia kabisa, naomba ushauri wa Dr. yupi anafaa kumuona kwa tatizo hili? ni daktari wa...
  15. JamiiForums Tanzania Licha ya kuwapambania wanasiasa, polisi maisha yao ni duni sana tatizo nini?

    Moja kati ya silaha kubwa sana ya wanasiasa kuwabakiza madaraka pale mambo yao yanapoenda kombo basi huwa ni jeshi la polisi. Polisi ukiondoa yale mavazi yao na wao ni wananchi wa kawaida tu, hali ya maisha ni sawa tu na sisi raia wa kawaida. Ugumu wa maisha tuliyonayo wananchi na wao pia...
  16. JamiiForums Tanzania Tambua tatizo la "MANIA"

    Hii ni changamoto ya afya ya akili watu huita Kichaa (Mental health challenge) Mania ni changamoto ya afya ya akili ambayo mhusika huwa na dalili nyingi zikiwemo kuvaa mavazi ya kumelemeta , usafi kupita kiasi, kupenda ngono kuliko kawaida (sexual disinhibition) na hata kupenda sifa za...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya contacts wanaweka status za Palestina sijawahi kuwasumbua, leo nimewka Status za Israel nimevamiwa inbox bila salamu

    Tangu mwaka jana October 7 Palestina ilipoivamia Israel na kuua watu zaidi ya 1,200 kuna baadhi ya contacys zangu wamekuwa wakiweka status za kulipukwa na furaha Israel inaposhambuliwa na status za kuonyesha huruma Israel inapotoa dozi. Napenda sana kutazama status, lakini huwa nashangaa sana...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watoto wafundishwe ukweli kama Maombi haya solve problem bali human action ndio zinatatua matatizo. Mungu na shetani hawaleti wala kutatua tatizo

    habari wadau. natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao. mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi wanaamini sala na Mungu ndio atawanusuru. jiulize kama Mungu ana nia njema nao mbona Mungu hajazuia...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kuongea(kupoteza kauli)

    Shida ni hiyo imempata binti yangu mkubwa tu gafla hawezi zungumza kabisa hospitali wanasema hawaoni tatizo Je yawezekana kupona hii shida
  20. JamiiForums Tanzania Vijana wengi sio dhaifu (Simps) tatizo ni mitishamba

    Tukitoa changamoto zingine zinawaandama vijana wa kiume ila hili la kuwa dhaifu (simp) kwa wapenzi wao ni changamoto inayozidi kuwa kubwa. Vijana wengi wamepoteza mwelekeo na kujikuta kwenye majuto baada ya kuingia kwenye mahusiano na wanawake makatili. Huku mtandaoni kumekuwa na wanaharakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…