tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Kikwete: Itakapofika Oktoba (siku ya kupiga kura), akili za kuambiwa changanya na zako

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema, licha ya vyama mbalimbali vya siasa kuwa na kauli mbiu zake zikiwamo za "Piga kura linda kura (ACT Wazalendo, "Oktoba tunatiki ya CCM na No Reforms No Election ya Chadema, itakapofika siku ya kupiga kura, " akili za kuambiwa changanya na zako." Ameyasema...
  2. 5Imba mnajifanya mna mgomo wa kutocheza tarehe 25 June, kumbuka hata Ikulu hatuwaita kwa kucheza fainali Shirikisho

    Naona simba wameanza kunenepa kwa kumfunga Kengold leo ila wakumbuke June 25 lazima amalize ligi na Yanga,Na akijichetua haitwi Ikulu kupongezwa kucheza fainali Shirikisho. GENTAMYCINE Mshana Jr
  3. Huyo ataachiwa rasmi Novemba 2025 baada ya Zoezi muhimu Malawi ya Kaskazini kumalizika na hizo Danadana za tarehe zitaendelea mno tu

    Kuna vitu vingine wala havihitaji Akili kubwa au Mtu kusumbuka au kuhangaika navyo kuvielewa. Uhuru wake Novemba.
  4. Somo la 6: tarehe muhimu unazopaswa kuzielewa wakati wa gawio

    🔁 Katika somo letu lililopita, tulijifunza kuhusu faida ya gawio — sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa. 📍 Leo, tunachambua tarehe muhimu zinazotajwa kampuni inapokuwa imetangaza gawio, ambazo mara nyingi huwachanganya wawekezaji wapya. 1️⃣ Dividend Declaration Date – Tarehe ya...
  5. M

    Nawaonya Simba, Serikali imeshapanga mechi ya derby ni tarehe 25.06.25 , Ole wake atokee mtu aongee kitu au kupinga Atashughulikiwa Ipasavyo.

    Ndio nimeona timu ya Simba Sports Club , almaarufu Makolo FC wameweka Mgomo Baridi na hii nimejua kupitia mambo mawili, la kwanza Simba hawajapost wala kutoa taarifa kwa Umma kuwa Derby imesogezwa mpaka tarehe 25.06.2025. Pia nimeona kupitia Comments za mashabiki mbalimbali wa Simba wakiwa na...
  6. M

    Baada ya mechi ya tarehe 25 Tff itawarejesha Almas Kasongo na M/kiti

    Hii ya Mwenyekiti wa Bodi ya ligi kuwasilisha barua ya kujiuzulu na kusimamishwa kazi kwa Almas Kasongo ni geresha tu kwa Yanga ili waone hoja zao zimezingatiwa. Ninaamini baada ya game mbili za Yanga Vs Simba na Yanga Vs Singida hao jamaa watarejea kwenye majukumu yao tu. Nimekaa paleeee
  7. F

    Mashabiki wa Simba hawajaumia mechi ya tarehe 15 kusogezwa mbele. Wameumia kuondolewa kazini viongozi wa bodi ya ligi

    Huo ndio ukweli mchungu
  8. Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya

    Gazeti la "The Wall Street Journal " la New York la tarehe 11/06/2025 limesema Rais Samia anatumia Madaraka yake vibaya. Britanicca
  9. Maadhimisho ya Wiki ya Famasi Kitaifa Tarehe 10 - 16 Juni, 2025

    Kauli Mbiu: “Famasia, Kiini cha Afya kwa Wote: Ubunifu, Uwekezaji, na Afya Jumuishi kwa Wote Chini ya Uongozi wa Mabadiliko”
  10. Simba anaichora tu Yanga, TFF na Bodi ya ligi. Wasipoleta Timu Tarehe 15 Basi Simba lazima adai point 3 mezani au agome endapo kanuni hazitafuatwa

    Baada ya Yanga kutoa tamko lao la hawatacheza mechi mpaka matakwa yao yatakapofanyiwa kazi, Simba nao ni kama wanasubiri Yanga isilete Timu tarehe 15, ili adai point 3 za mezani... na hasipopewa point 3 za mezani nae anagoma mpaka haki itendeke. Ikumbukwe tayari mamlaka za mpira Nchini...
  11. PreGE2025 Familia yathibitisha kutekwa kwa Sheikh Nkokoo, suala la kupaza sauti juu ya utekaji sio hoja ya udini ndugu Waislamu

    Yoyote yule kwa dini yake, iwe mkristo au muislamu atakumbwa na matatizo ya utekaji, na ndiyo maana hili suala ni la kitaifa , sio la wakristo pekee. Inashangaza sana, kuona watu wanatekwa, arafu wale wanaopaza sauti wanaambiwa wanahubiri udini kwa kuwa Rais wetu ni muislamu na hakwepi lawama...
  12. Vodacom imetimiza miaka 25 siku ya leo tarehe 9 mwezi 6 kuwepo kwake.

    Kongore kwa vodacom kutimiza miaka 25 tokea kuwepo kwenu kwa mawasiliano yenu.
  13. Yanga yashikilia msimamo wake wa kutocheza derby ya Kariakoo 15/6/2025

    TAARIFA KWA UMΜΑ JUNI 09, 2025 Uongozi wa Young Africans Sports Club, unapenda kuutarifu umma kuwa, tarehe 7 Juni, 2025 tulipokea barua kutoka Bodi ya Ligi Kuu Tanzania kwa ajili ya kuhudhuria kikao maalum cha kujadili masuala yahusuyo mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC, YANGA dhidi ya Simba...
  14. Waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili?

    Wakuu, kwa kada ya Maendeleo ya jamii (grade II) waliochaguliwa kwenda Oral itakayofanyika tarehe 10, watajuaje vituo vyao vya usaili? Maana Hadi Sasa hawajaweka na vituo vya oral tuliambiwa ni tofauti na vya written
  15. Tarehe 15, Pwenti 15. Embu ngoja kwanza n'cheke!

    Kuna watu baada ya kununua mechi fulani walikuwa wanazodoa wenzao kwa kusema tarehe 5 goli 5. Ghafla bila kutarajia, Ubaya Ubwela umefanya kazi yake, na karma imewarudia. Tarehe 15 wanaenda kupokwa pwenti 15 na Mwalimu wangu wa Math alinifundisha 15 ni kubwa kuliko 5.
  16. Nasubiri Tarehe 8 Kwa Shauku... Je, Gwajima Atasema Nini?

    Napenda kusema kwa sauti ya ndani: Ninasubiri kwa hamu siku baada ya tarehe 8 Juni. Kwa ajili ya kumalizika kwa mfungo wa maombi ya siku 7 yaliyoitishwa na Askofu Josephat Gwajima. Siku ya kwanza ya mfungo huo (tarehe 2 Juni), usiku, ilisikika video yake akisema: Tangu hapo: Hakujulikana tena...
  17. A

    Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  18. A

    Epuka faini ya TZS 300,000 kila mwezi toka TRA kwa kutuma taarifa ya mapato ya biashara yako kabla ya tarehe 30/6/2025.

    Kampuni nyingi zimekuwa zikitaabika sababu ya malimbikizo ya kodi toka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), malimbikizo ya madeni hayo yanatokana na faini zitokanazo na kushindwa kuwasilisha taarifa ya mapato ya biashara zao kwa wakati. Ili kufahamu nini unatakiwa kufanya …Basi soma mpaka mwisho…...
  19. Mbichi kabisa: Bodi ya Ligi yasema Mechi ya Yanga na Simba tarehe 15 June, 2025 ni kwa Mkapa na wale waliokata Tiketi zao wataingia nazo

    Kama ulikata Tiketi yako ya Kielektroniki ile Mechi ya Awali itunze kwani hiyo hiyo utaingia nayo Mechi ya tarehe 15 June.
  20. S

    Simba wataenda uwanja gani kupata point 3 hiyo tarehe 15?

    Kama YANGA hawatoandaa Mchezo wa Tarehe 15 Ina maana Simba watakuwa hawajui waende Uwanja Upi ili wapate hizo point tatu, Kwasababu mwenyeji hajasema Venue..!! Hii movie ni Kali sana 🙌🏻🙌🏻
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…