tarehe 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    GE2025 Kwako wewe ambae hutatoka kupigania nchi tarehe 29, soma hapa

    Tarehe 29 Si kila shujaa huvaa viatu vya kupiga hatua barabarani. Wengine wanapigana ndani ya mioyo yao, wakijitahidi kuamini kuwa nchi hii bado inaweza kubadilika. Kama wewe ni mmoja wao yule ambaye hatatoka tarehe 29 basi soma haya kwa moyo wote. Tunaishi nchi ambayo ofisi zimekuwa masoko ya...
  2. MamaSamia2025

    Fanya maamuzi sahihi kuhusu upande utakaokuwa tarehe 29

    Pande ni mbili tu. Uwe mpiga kura au mwandamanaji haramu. Uamuzi ni wako. Ukiwa mpiga kura utaenda kituoni na kupiga kura kisha kurudi kwako kwa amani. Ila ukiwa mwandamanaji haramu utakutana na polisi wakiwa tayari kukuzuia kufanya huo upuuzi. Waandamanaji haramu wenye bahati wanaweza rudi...
  3. S

    Kutakuwa na surprise usiku wa kuamkia tarehe 29; Mabakabaka part 2

    Endeleeni kushupaza shingo. Ukombozi huoooooo! Hatutoi codes (mwisho wa thread).
  4. Sir John Deere

    GE2025 Tarehe 29 inawezekana wakakamatwa wanaokwenda kupiga kura badala ya waandamanaji

    Inawezekana nikaonekana nauliza swali la kijinga lakini litakua na athari kubwa sana hiyo siku ya uchaguzi. Kila anaetoka barabarani Hana alama kwamba anakwenda kupiga kura au kuandamana. Bado sijajua mamlaka hasa vyombo vya Ulinzi vitatumia mbinu gani kuepuka huu mchanganyiko. Tusishangae...
  5. M

    Faida za Kuandamana tarehe 29

    1. Hakuna Polisi wakusimamia uchaguzi na kuzuia kwa wakati mmoja, hakuna na hakuna. 2. Watu tukiandamana, kwa hofu ya kuanguka CCM itasema wafuasi wake nao watoke barabarani waandamane kuiunga mkono. 3. Watu wakijaa Barabarani kwa pande zote, Jeshi officially linabeba nchi. No reform no...
  6. M

    Tuache unafki, humu ndani tarehe 29 zaidi ya asilimia 95% tutajifungia ndani, ujasiri wetu upo mitandaoni tu, ila ni waoga sana

    😂😂😂 Kwani nadanganya wakuu ? Wengi wameplan kununua nyama washinde ndani siku nzima, kununua bando la kutosha siku iishe, kwenda vacation, kuangalia series, n.k.
  7. Beira Boy

    GE2025 Aliyepanga maandamano alipanga iwe Tarehe 28 ila akabadilisha kuwa Tarehe 29. Kwanini ilibadilishwa?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Toka mwanzo maandamano walitangazwa kuwa yatakuwa tarehe 28 siku moja kabla ya uchaguzi lakin bahati nzuri kabisa wazee wa suti nyeusi wakabadilisha hiyo tarehe kwa kumwambia huyo muundaa maandamano kuwa lazima yawe siku ya uchaguzi wenyewe...
  8. M

    Polisi Mtajigawa sana, tarehe 29, Ni heri mkae nyumbani au chukueni likizo maandamano yawe Huru

    Polisi watachagua wakazuie Ghasia au walinde haya maeneo, Maeneo yote ya Kimkakati yatakuwa hayana usimamizi kama Polisi mtajitoa kupiga watu, pia watu wenye Drones waanze kuzimodify ziweze kubeba Molotov cocktail Na kuna data za haya maeneo nchi nzima. This time haki itapiganiwa kwa njia...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    GE2025 Mbinu za kuandamana na kuzuia maandamano tarehe 29 zinaingiliana kama ifuatavyo

    Hamjambo! 1. Wanajukwaa Ladies and gentlemen. Upande huu kulia ni waandamanaji wanajipanga. Na kushoto kwa ni Wazuia maandamano. Wote leo wataonyesha mpango kazi wao kukamilisha zoezi la tarehe 29. 2. Kwa kweli haijulikani nani ataibuka kidedea kwani mbinu ni zilezile zinaingiliana. 3. Wote...
  10. GenuineMan

    GE2025 Wangapi Tarehe 29 October 2025, Tutaandamana Mtandaoni au Moyoni

    Wale ambao tunaona mambo hayaendi sawa. Tunatamani kuandamana ila bado hatuko tayari kutoka barabarani, tunaogopa kupingwa na polisi, tunaogopa familia zetu tutaziachaje. Tunaogopa kuumizw au kufa. Uwanja ni wetu, tujuane keyboards warriors, tusione haya kukiri kuwa sisi ni waandamanaji wa...
  11. The Supreme Conqueror

    Tarehe 29 Oktoba ni kumbukizi ya kuzaliwa Hayati JPM na ndiyo siku ya uchaguzi mwaka huu huku wananchi wakidai kuandama kupinga uchaguzi huo

    Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru. Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya 1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani. 2. Kumbukizi ya...
  12. Lord Denning

    Tarehe 29 ni mwendo wa Nepal. Watachagua walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au barabara za kwenda Ofisi za CCM

    Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025 Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma. Enough is Enough Lazima turudishe...
  13. Jidu La Mabambasi

    Tarehe 29 Oktoba, piga kura yako mapema na nenda nyumbani

    Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga. Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani. Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba. Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo...
  14. Scared

    Video: Kwa Hali niliyoiona Leo kwenye page ya sativa tarehe 29 kila mtu atalala ndani

    Nimeona video fupi jamaa anatekwa na anapiga kelele kabisa kuomba msaada mchana kweupe hapo Iringa jirani na nyumba ya Asas. Midume imekaa inashangaa mmoja linasema si awe mpole tu hii inadhohirisha kila mmoja wetu Oktoba 29 atakaa ndani aangalie wenzie wanavyopigwa. Hvyo hizi za Sasa ni...
  15. Lord Denning

    GE2025 It's Do or Die. Tuchukue hatua kukomesha utawala huu wa kidhalimu tarehe 29 Oktoba au tupotee mazima na vizazi vyetu

    Uwe askari polisi , uwe daktari, uwe mwalimu, uwe mwanajeshi, uwe hakimu au jaji, uwe mkulima, uwe mfanyakazi, uwe bodaboda uwe Mama ntilie, uwe machinga au uwe jobless usipochukua hatua hiya Oktoba 29 ndo umeweka muhuri kwenye kunyanyaswa kwako na kuibiwa rasilimali zako huku wewe, familia...
  16. Mashamba Makubwa Nalima

    GE2025 MKOLONI HANA RANGI Episode 2: Miaka 4 Ya Samia vs Miaka 4 Ya Richard Turnbull

    RICHARD TURNBULL UWEKEZAJI KWENYE MATUMIZI YA AKILI UINUAJI WA HAKI NA SIASA ZA KUJITEGEMEA KUHAKIKISHA RASILIMALI ZINANUFAISHA NCHI PIA KUIMALISHA MFUMO BORA WA ELIMU NA AFYA KUIMALISHA NA UTUNZAJI MZURI WA RELI WA BARABARA BANDARI YA TANGA NA DAR ES SALAAM ZILIBORESHWA ZAIDI KWA KUJALI UKUAJI...
  17. Genius Man

    Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia machawa wengine wa kuwaongoza

    Tukatane barabarani tarehe 29 kwa wingi sana ili watuuwe wakatafute raia wengine wa kuwaongoza. Hatuwezi kufanya amani kwenye utekaji na mauwaji na ufisadi na kutubambikia kesi za uongo. No reforms no ELECTION
  18. Mi mi

    Kabla hamjaandamana Tarehe 29 Oktoba waulizeni Zanzibar na Waislam kwanza

    Kabla hamjaandamana hiyo tarehe 29 Oktoba waulizeni kwanza wananchi wa Zanzibar 2001 kilitokea nini kwao ? Pia waulizeni waislam wa mwembechai kilicho watokea. Hivyo kama unatokea kwenye maandamano ya tarehe 29 Oktoba nakuambia mapema kabisa kuwa tayari kwa matokeo yoyote. Usiandamane kwa...
  19. Mashamba Makubwa Nalima

    Naona umuhimu wa kumpeleka shule mtoto wa kike, wanawake wamekuwa na muamko mkubwa sana wa haki na misimamo imara. Binti zangu watapata elimu pia

    Nimekuwa nikipitia mitandaoni nimeona umuhimu wa mabinti zetu katika kupambania haki na usawa. Wakati kwa miaka mingi ilikuwa inaonekana hii empowerment imekuja kumuondolea nafasi yamwanaume kwenye jamii lakini imekuwa na matunda mazuri. Nimepita vijiweni, sokoni na mitandaoni kama nilivyosema...
  20. Mashamba Makubwa Nalima

    Kumbe TikTok sio ya kinyonge, sikutegemea itakuwa ya kiharakati namna ile

    wamenishangaza, sikutegemea, nilijua content zao ni za SOFT life na udaku pekee, wamenifurahisha. Kumbe vijana mnapenda HAKI, kumbe vijana unapenda DEMOKRASIA, basi mmetisha. Hakuna ubaya kuwa na mizuka na mambo mengine, ila kupotezea kabisa mambo ya nchi na maisha yako ni upumbavu zaidi na...
Back
Top Bottom