tarehe 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kuna tatizo gani kwa Lissu kusema "watakinukisha" CHADEMA tarehe 29 Oktoba ili kitoe harufu yake nzuri Watanzania wote waisikie?

    Mie nashindwa kuwaelewa watu. Wanasema eti Lissu alisema "tutakinukisha" Sasa tatizo liko wapi? Je wanajua Lissu alisema watakinukisha kitu gani? Kukinukisha kitu ni kukifanya kitoe harufu nzuri au mbaya. Sasa hawa watu wanashindwaje kuelewa kwamba Lissu alimaanisha watakinukisha Chadema ili...
  2. M

    Yaliyotokea Oktoba 29 hayawezi kusahulika kiurahisi, sawa na kusema tusahau biashara ya utumwa

    Hawa Viongozi wa CCM siyo wa kuwasikiliza wala kuwaamini wote lao ni moja na ndiyo walioiba kura katika uchaguzi wa Oktoba 29 na wakawaua watanganyika ambao hawakuwa na silaha. Hivi unamwambia mtu asahau aliyeuliwa ndugu yake mkashindwa kumpa maiti yake inaingia akilini kweli?Tena waliouliwa na...
  3. Roving Journalist

    Wazee wanatoa maazimio yao juu ya kilichotokea tarehe 29 Oktoba

    https://www.youtube.com/live/EJPutwDEwWI MAAZIMIO YA MAZUNGUMZO YAWAZEE KUHUSU UJENZI WA AMANI, UMOJA NA HAKI NCHINI TAREHE: 22 JANUARI 2026 MAHALI: DARES ES SALAAM, UKUMBI WA MWALIMU NYERERE FOUNDATION Imewasilishwa na: Mzee Joseph W. Butiku, M/Kiti Bodi ya Wadhamini,Mwalimu Nyerere...
  4. passioner255

    PostGE2025 Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29

    Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29.Habari njema ni kwamba Mungu amesikia sauti ya vilio vya watanzania waliouawa pamoja na vilio vya ndugu zao.Hukumu ipo tayari kwa wauaji wote kuanzia juu.
  5. K

    ITV: Waliopigwa risasi na kuuwawa mnamo tarehe 29 Oktoba 2025 hawakuwa waandamaji - Tume ya Jaji Chande

    Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
  6. passioner255

    Mungu amesikia vilio vya damu zilizomwagwa tarehe 29

    Kama ambavyo Abel alivyomlilia Mungu damu yake ilivyomwagwa na Cain, ndivyo hivyo damu za watanzania zaidi ya elfu 10 waliokuwa wanadai Tanzania bora vilimlilia Mungu. Kama ambavyo Mungu alivyosikia kilio cha Abel vivyo hivyo kwa watanzania. God'sJustice is inevitable and it is comming.
  7. M

    Tukio la tarehe 29 0ctobar limehamishia Siasa majumbani na kwenye familia

    Zamani magroup ya uko tulikuwa tunazungumzia mambo ya kifamilia,kama misiba,harusi na mengineyo, lakini sasa hivi mjadala mkubwa ni Siasa na wengi hawampendi Mama
  8. LIKUD

    Nini kilitokea Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025? Huu hapa mtazamo binafsi wa Likud.

    Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa. Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period. Kwa vilaza 👇👇👇 Tanzania ilikumbwa na UPEPO MBAYA hiyo tarehe 29 OKTOBA 2025. Upepo huo mbaya ukawa reflected kwenye...
  9. Ghayo El Yehudi

    PostGE2025 Mange alituaminisha kuwa Oktoba 29 kuwa Jeshi na polisi wote wapo kwetu sisi tutoke tu kisha wao wamalize

    Mzuka wana Jamvi ? Nakumbuka siku karibia na October 29 Mange alituhakikishia kuwa tusiliangushe Jeshi na kwamba vyombo vya usalama Jeshi na polisi hawapo pamoja na Rais Samia na wanatumia message maofisa wengi na Askari wakimtaka awaaambie Watanzania watoke kwa wingi wasipoteze hii nafasi wao...
  10. President of China

    PostGE2025 Nakuuliza Kitima, Oktoba 29 kulikuwa na maandamano au vandalism? Namna ya kukabiliana na vandalism ni ipi kwa mujibu wa imani yako?

    Naona hoja ya msingi inakwepwa na Kitima anaenda kuongelea output. Swali kama hili analiogopa kama ukoma. Hakuna mwandishi yeyote wa habari amewahi kumuuliza na akalijibu kwa usahihi. Nataka nimuulize anijibu kule aliko. Je, hiyo tarehe kulikuwa na maandamano au vandalism? Je, kwanini...
  11. Prof_Adventure_guide

    Tarehe 29 Oktoba: Watanzania Walikufa, Haki Itarudi!

    Tarehe 29 Oktoba, shit hit the fan, na Watanzania walikufa! Serikali inacheka tu, inadhani maisha ya watu ni joke. What the fck? Hawa watu walikuwa na familia, walikuwa na ndoto, lakini leo wamebaki kuwa ghosts kwenye mtaa huu wa dunia. Na serikali? Wamefunga macho kama hawaoni. Sasa, what’s...
  12. President of China

    PostGE2025 Askofu Ikongo: TEC wamehusika kwa asilimia 90 kuratibu vurugu za tarehe 29 Oktoba

    https://youtu.be/B5pHrjsXXDM?si=YrhU152Q9lyY-CLR
  13. The Father of All

    Tangu tarehe 29 Oktoba, najihisi Mtanganyika na kuchukia Utanzania wangu

    Kama kichwa cha habari kilivyo, kuanzia tarehe tajwa, najihisi Mtanganyika. Napanga kuuzika utanzania wangu. Je Watanganyika wenzangu mnapitia ninachopitia?
  14. M

    PostGE2025 Aliyetoa wazo la kuua watu tarehe 29 Oktoba kauharibia sana utawala huu

    Inawezekana kwa 2001 kule visiwani hili wazo lilifanya kazi kwa sababu mbalimbali na sababu kuu ni kutokuwa na maendeleo makubwa ya teknolojia kwa wakati huo. Inasemwa kwamba visiwani kulikuwa na mauaji ya kutisha na kikatili mno. Wasimuliaji wanadai hata waliokuwa wakikimbilia nchi jirani wengi...
  15. Samia atosha tukutane2030

    Mimi ninachojua ni kwamba PANYA ROAD ndio walioandamana tarehe 29 -31 OCT. 2025

    Hawa panya road wapo waliokosa kabisa elimu na wapo wenye elimu ingawa ni wachache sana. Hawa panya road wengi wao wanafanya kazi zisizo rasmi na wengine hawana kazi kabisa. Ni vijana waliolelewa mazingira kama ya watoto wa bata. Lake Oils pekee wamechomewa vituo vya mafuta 38, zipo kampuni...
  16. President of China

    The secret behind Kenya’s role in influencing unrest in Tanzania under the guise of fighting for democracy

    THE SECRET BEHIND KENYA’S ROLE IN FUELING UNREST IN TANZANIA UNDER THE GUISE OF FIGHTING FOR DEMOCRACY. By Dr. Geus Mbadika Nyaisanga Dar es Salaam, Tanzania The General Election of the United Republic of Tanzania, held on October 29, 2025, marked another historic chapter in the country’s...
  17. Genius Man

    Oktoba 29 inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini

    Tarehe 29 October inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini. Mimi nipo mstari wa mbele kupigania mabadiliko na kusimama na watanzania kwa hali zote, nime mwaga machozi kwa kutambua kuwa watanzania walikufa kwa kunipigania mimi na wewe...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    GE2025 My side: Hali jinsi ilivyokuwa tarehe 29. Maandamano, usaliti, uhalifu na mauaji

    MY SIDE: HALI JINSI ILIVYOKUWA TAREHE 29. MAANDAMANO, USALITI, UHALIFU NA MAUAJI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kulikucha vizuri. Hali ya hewa ya jiji la Dar ilikuwa tulivu. 2. Saa moja unusu nilikuwa nje kijiwe ninapokaaga siku ya jumapili(offday) lakini siku hiyo ya jumatano...
  19. W

    GE2025 Baadhi ya vyombo vya usafiri wa umma kusitisha safari zake kwa tarehe 29/10. Je, ni maagizo ama hofu?

    Wakuu, Huu uchaguzi wa mwaka huu ni mbona kama una heka heka sana? Nimeona baadhi ya vyombo vya usafiri vya umma ikiwemo mabasi na boti vinasitisha safari zake kwa siku ya tarehe 29/10/2025. Je, haya ni maagizo kutoka juu? Ama ndiyo kujiongeza kupita kiasi ama tension ya maandamano imekuwa...
  20. Nyani Ngabu

    Bado mpo mnaolitegemea jeshi kuchukua nchi tarehe 29? 😂

    Hayawi hayawi yanakuja kuwa. Zimebaki siku tatu tu siku ya siku kuwadia. Wachache wetu tuliwaambia kuwa mnajipa matumaini hewa tu. JWTZ kamwe haliwezi kuipindua serikali ya CCM kwa sababu: 1. JWTZ ni majuha. Hakuna lolote wanalolielewa kuhusu mambo yanayoendelea nchini. Hawajui chochote...
Back
Top Bottom