tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. S

    JamiiForums Tanzania Matukio 3 yaliyofanywa na Samia, yanayoidhalilisha taasisi ya urais ya Tanzania

    1. Kukumbatiwa kama Mwajuma wa Tandale na mhuni Wicknell Chivayo ndani ya ikulu ya Tanzania. This is abomination. 2. Kunyweshwa kinywaji kilichonywewa (na kuachwa) na Philipe Nyusi kama ishara ya kufurahia hafla. That was extremely damning. 3. Tulianza kuziona dalili za mama kupenda...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mungu anaonyesha Hapendi Wahuni waongoze Tanzania

    Registered Trustees of Alliance for Change and Transparency [ACT Wazalendo] and Luhaga Joelson Mpina vs Registrar of Political Parties and Attorney General (Miscellaneous Civil Cause No. 23617 of 2025) [2025] TZHC 5816 (26 September 2025 Citation Registered Trustees of Alliance for Change and...
  3. JamiiForums Tanzania TANZANIA inakutegemea wewe mzalendo wa kweli

    Watumishi wote mnao husika na Serikali moja kwa moja TAKUKURU Tujitafakali Polisi Tujitafakal JWTZ Tujitafakali Magereza Tujitafakali Usalama wa Taifa Tujitafakali Watanzania TUJITAfakari! wote kwa ujumla wetu watanzania Leo mali za nchi zinaporwa kwa dharau na ujasiri wa hali ya juu. Ufisadi...
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Cecilia Paresso: Wagombea wa CCM ndiyo wanatambua thamani ya utu na maendeleo ya Tanzania

    Kampeni kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025 zimezidi kupamba moto huku makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiendelea kufanya mikutano maeneo mbalimbali kusaka kura kwa wagombea. Cecilia Paresso, ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa...
  5. JamiiForums Tanzania GE2025 Peter Msigwa: Tanzania ipo salama kwenye mikono ya CCM

    Mchungaji Peter Msigwa akiongea na wananchi wa jimbo la Ismani katika uzinduzi wa kampeni za chama cha Mapinduzi zilizo fanyika katika viwanja vya Nanenane, Kata ya Itunundu, mkoani Iringa 25 Septemba 2025 amesema Tanzania ipo salama chini ya Chama Cha Mapinduzi. Pia Soma: GE2025 - Peter...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo)

    Majibu ya Maswali 14 ya Kompyuta Ambayo Watu Wengi Tanzania Huogopa Kuuliza (Lakini Wanauliza Sana Kimoyomoyo) Kama wewe ni mfanyabiashara mdogo au mwanafunzi, unatumia kompyuta kila siku lakini unakutana na changamoto ndogo ndogo ambazo hujui pa kuanzia. Na mbaya zaidi, huwezi kuuliza kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Afrika hasa Tanzania tuna uongozi au uongo?

    Ukiwasikia na kuwasiliza kwa makini, watawala wanavyowahadaa na kuwadanganya watawaliwa unashangaa na kujiuliza. Je tuna uongozi au uongo? Nafikiri na kuwaza kimya kimya baba yenu nyote.
  8. JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, Tanzania hakuna usafiri wa mwendokasi ila daladala za kawaida zinaweza kugeuzwa mwendokasi

    Kinachotakiwa ni kuweka dalala katika madaraja mawili ya nauli kama ilivyo katika vivuko ferry(Azam na cha serikali). Mfano Makumbusho mpaka posta zinawekwa daladala ambazo nauli ni shillingi 2,000 na inakuwa hakuna kupakiza abiria njiani itakapotoka stendi mpaka itakaposhusha abiria wote posta...
  9. JamiiForums Tanzania Kipimo halali kinachokubalika Tanzania kujipima mwenyewe HIV ni kipi?

    Habari Ni kipimo gani ambacho kinakubalika na serikali ya Tanzania kujipima mwenyewe(self test) virusi vya Ukimwi(HIV) Ukienda kuuliza kwenye maduka ya dawa (pharmacy) hivi vipimo vya kupima kwa kutoa damu wengi wanauza kwa kificho kwa maana hairuhusiwi kumuuzia mtu binafsi. Kuna kipimo cha...
  10. JamiiForums Tanzania Siku yaja Ibrahim Traore wa Tanzania atakua madarakani

    Mambo ni moto . ..nilisema Kuna siku isiyo na Jina TRAORE wa Tanzania ataingia madarakani . .. Na siku hio itakapokuja, hakika kuna watu watafungwa... Wengine watakimbia nchi, wengine watanyongwa, wengine watafilisiwa, Tanzania mpya itazaliwa yenye kusimikwa ufalme na Mungu na sio shetani...
  11. JamiiForums Tanzania Berlin Marathon Leo Tarehe 21/10 Live Updates Tanzania Ina wakikishwa Na Gabriel Geay

    Wakuu muda huu Berlin marathon inafanyika huko Germany na Tanzania ikiwakilishwa na Gabriel Geay Mwenye rekodi Bora ya masaa 2:03:00 katika 42km full marathon.. Tutegemee medali!! Naona Kwa Tanzania hakuna tv station inayoonyesha ila wenye dstv wanaonesha.. Kenya wenzetu kupitia Ntv
  12. JamiiForums Tanzania Polisi Tanzania, siyo watu wa kujenga ukaribu nao

    Ni mhimu kujifunza hili ; POLISI SIO JAMAA YAKO kama umewahi kuambiwa polisi ni mtanzania mwenzako nadhani afya yako ya akili haipo sawa nenda kapimwe mkojo. Ipo hivi, Polisi kabla ya kuwa POLISI lazima abadilishwe akili yake na kuwa kama Mbwa yani kule wanapopata mafunzo hubadilishiwa ubongo...
  13. JamiiForums Tanzania Tucheke kidogo, mbona wapalestina wa Tanzania hawawasaidii wenzao wa Gaza?

    Japo ni utani, bado nashangaa kwanini wapalestiina wa Tanzania aka wamachame hawawasaidii wenzao wa Gaza?
  14. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chief Justice George Masaju's Speech Towards the 2025 General Election in Tanzania

    Lushoto, Tanzania Alhamisi, 18 Septemba 2025 MAFUNZO YA UENDESHAJI MASHAURI YA UCHAGUZI KWA MAJAJI, MAHAKIMU YAHITIMISHWA https://m.youtube.com/watch?v=WAAaVOMqZkM · Jaji Mkuu asema ipo haja ya kufanya marekebisho ya Kanuni za uchaguzi · Jaji Mkuu Mstaafu, Mhe. Mohamed Chande Othman ashiriki...
  15. JamiiForums Tanzania Orodha ya sehemu zenye joto kali sana hapa Tanzania.

    1.Dar 2.Pwani 3.Tanga mjini 4.Ruaha mbuyuni 5.Ifakara 6.Mpanda 7.Dodoma yote 8.Tunduma 9.Himo 10.Bomang'ombe 11.Kia 12.Same 13.Singida yote 14.Shinyanga 15.moshi mjini 16.kyela
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mtwara ilipaswa kuwa Business Center nchi hii na je kilichomfanya ndugu Nyerere aiondoe Reli ya Mtwara ni nini?

    Naamini hilo bila shaka Mtwara ndiyo ilipaswa kuwa makao makuu ya nchi hii na business center kwa nchi hii ila tu uroho,ubinafsi na chuki ya viongozi wa nchii hii kutokana na ukanda wao tu hivi kitu gani ambacho kwenye nchii hii Mtwara hakuna madini mtwara yapo,eneo la Bahari lenye kina kirefu...
  17. JamiiForums Tanzania Mfumuko wa Bei Nchini Tanzania Unaongezeka Mara Dufu Kufuatia Kupanda kwa Bei za Vyakula

    Kiwango cha mfumuko wa bei nchini Tanzania kwa mwezi wa Agosti kiliongezeka, kikiwa kimesukumwa na kupanda kidogo kwa bei za vyakula na bidhaa zisizo za chakula, na kuakisi mabadiliko ya haraka ya bei kwa bidhaa muhimu katika masoko ya ndani. Kiwango cha mfumuko wa bei cha jumla kiliongezeka...
  18. JamiiForums Tanzania Jeshi la Akiba Tanzania (Mgambo) watumike kwa Ulinzi kwenye maeneo ya Umma

    Habari Tanzania ! Salaam kwako Mtanzania; wewe ni mwema sana. Ninaombi ambalo limekaa kama pendekezo; Naomba kuuliza Je, ni kwanini hawa wataalamu wa Ulinzi ambao ni Jeshi la Akiba wasitumike moja kwa moja kwenye maeneo ya Umma kama sehemu ya kutoa huduma ya Ulinzi na kuimarisha Usalama kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Miamala ya fedha za kigeni Tanzania kwa njia ya Kadi za simu (Foreign Exchange Mobile Transaction)

    Habari Tanzania ! Naomba kuwapa changamoto Bank of Tanzania (BOT), Commercial Banks; Taasisi zote ndogo za fedha na Mitandao ya simu inayofanya miamala ya kifedha nchini. Kwanini pasiwepo na huduma ya kufanya miamala ya fedha za kigeni kwa njia ya mtandao ya simu, ili iwe fursa kwa Mtu au...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Wicknell Chivayo 'Mwizi wa Uchaguzi’ na ‘Kipenzi' cha wanasiasa Barani Afrika, ameshatia mkono na kwetu?

    Salam Wakuu, Huyu jamaa ana mpaka rekodi ya kufungwa kutokana na utapeli! Huwa anapewa tenda ya vifaa vya uchaguzi na huko ndio anapata na mwanya wa kutoa michoro ya kuharibu uchaguzi kwa kuhonga watumishi na viongozi kuhakikisha kura zinaibwa bila kuleta kelele na shida yoyote. Jamaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…