tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. 4

    JamiiForums Tanzania Tanzania haikuwai kuwa na uchaguzi wa namna hii, anayebisha aje na hoja

    Haijatokea Tanzania kuwa na uchaguzi wa aina hii , naomba wauliza wazee wetu 1. Mzee Kikwete 2. Mzee Warioba 3. Mzee Butiku 4. Mzee wasira 5. Malichela na wengine, hivi katika taifa hili kuwewahi kuwa na uchaguzi wa namna hii , kwanini sasa leo hii na mpo hamjafa ? Hapana wazee wangu, hapana...
  2. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani Tanzania vinajihujumu na kuhujumiana badala ya kushindana CCM

    Ni dhana inayoaminika kuwa, kama ukitaka suluhu ya kweli na ya kudumu kwa matatizo yako basi ujiepushe na kutafuta majubu rahisi kwa maswali magumu. Kuelekea Oktoba 29, kundi linalohamasisha maandamano linauza hoja kuwa mtesi wa wapinzani tangu 1992 tuingie kwenye vyama vingi ni CCM. Wakati huo...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa kinachoendelea kwa Mkapa, Tanzania itakombolewa kweli?

    Hii hali ya uwanja leo huku watu wanazidi kutekwa. Tundu Lissu yupo ndani watu wanacheza mchiriku. Mama iba hela mpaka unga uwe 10000 kilo. Piga hela mpaka umeme wa 10000 upate unit 5. Piga hela mpaka watu wawe tayari kuuwa polisi. https://www.youtube.com/watch?v=aimNKl6X4xQ
  4. JamiiForums Tanzania More than 6000 hadzabe's are expected to participate in 2025 Tanzania general election

    The clan representatives revealed during an interview that more than 6000 tribemen are ready to vote during the super wednesday in Tanzania 2025 election.
  5. JamiiForums Tanzania Kwa 'Dezo Dezo' ya Leo kwa Mkapa ndiyo mtaamini kuwa Wahuni na Vibaka wengi Tanzania wanashabikia Timu gani

    Kwa Mashabiki wa Simba SC mtakaoenda Uwanjani kuweni makini sana na Wallets zenu na Simu zenu za Gharama.
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania kupitia maigizo ya uchaguzi tumekuwa kichekesho cha dunia

  7. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo zinazo zinazungumzia kila shida tunayopitia kuanzia utekaji, ukandamizaji wa sauti

    Ni wakati wa kujifunza maneno na kitunga nyimbo leo nitawaletea maneno yenye nguvu kutoka kwa wenzetu waliopitia magumu na kuvunja ukimya na minyororo yao. Hizi nyimbo zinazungumzia kila shida tunayopitia kuanzia utekaji, ukandamizaji wa sauti mbadala hadi ubovu wa serikali
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania kila mtu anamlaumu mwenzake

    Nani atamfunga paka kengele, Tanzania kila mtu anamlaumu mwenzake Wanasiasa wanalaumu mabeberu Wananchi wanalaumu wanasiasa Wanaharakati wanawalaumu wanalaumu Polisi wanasema ni maelekezo kutoka juu Wananchi wanalaumu wanaharakati kwamba hawafanyii harakati zao Tanzania, wakija Tanzania...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Mpaka hapa tulipofika, Tanzania inamuhitaji zaidi Shetani

    Ili kuikomboa hii ardhi, Tanzania tunahitaji roho mbaya kama ya malaika waliochoka. Na ndio sababu hata kanisa kuu limeona bora iwe mbwai. Tunamuhitaji Shetani kuliko Mungu. Haki huinua taifa
  10. JamiiForums Tanzania Mwigulu ushukuru Suala la Tanzania kutoka kwenye nchi ambazo Uchumi unakua kwa Kasi EAST kuzidiwa na Uganda Limekutana na Uchaguzi Ulikua Umekwisha

    Tanzania kitendo cha kutoka kwenye nchi ambayo uchumi unakua kwa kasi. East Afrika Tanzania imetoka hamna GDP imeganda. Suala hili limekutana na uchaguzi watu wamepoa kwenye kulinda shilingi na dola umejitahidi Lakin jiangalie sana buana mkubwa tafuta washauri wazuri wa Uchumi kama Mpango...
  11. JamiiForums Tanzania Madhambi ya Wanasiasa wa Tanzania na Madhara ya Utawala wa Kidikteta

    Tanzania ni taifa lenye historia ndefu ya umoja na amani, lakini pia ni taifa ambalo limekumbwa na changamoto kubwa za kisiasa, hususan katika kipindi cha miaka ya karibuni. Wakati wengi wanajiunga na siasa kwa lengo la kuhudumia jamii na kuleta maendeleo, wapo baadhi ya wanasiasa ambao hutumia...
  12. JamiiForums Tanzania Sababu za Kisaikolojia na Kimuundo Zinazofanya Maandamano Kama ya Kenya, Nepal au Madagascar Yasitokee kwa Tanzania.

    Utulivu wa kisiasa wa Tanzania, ukilinganishwa na nchi nyingine za Afrika na Asia ambazo zimepitia machafuko au mapinduzi ya umma, unatokana na misingi ya kihistoria na mshikamano wa kisaikolojia uliojengeka kwa muda mrefu. Ufuatayo ni uchambuzi wa sababu tano kuu za kisaikolojia na kimuundo...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Maombi ya kushika Bendera ya Tanzania ili kuiombea taifa kuelekea MO29

    Baadhi ya picha za waumini wakiendelea kuomba Mungu kuelekea siku muhimu ya uchaguzi Oktoba 29 lakini na kile kinachotajwatajwa kama MO 29. Umetenga dakika ama saa ngapi kuliombea taifa kuelekea oktoba 29? Mao
  14. JamiiForums Tanzania Jumuiya na asasi za kimataifa zazidi kukemea hali ya kutekana Tanzania

    Amnesty international wameendelea kutoa ripoti ya kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu nchini. Hivi karibuni pia Democracy Union of Africa (DUA) imetoa kauli juu ya ukiukwaji wa haki unaendelea nchini. Hii inaonesha jumuiya za kjmataifa zinaelewa kinachoendelea.
  15. JamiiForums Tanzania Ijue Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Tanzania

    Ijue Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Tanzania Unajua? Biashara ya vifaa vya ujenzi ni fursa kubwa hapa Tanzania 🏗️ Lakini kufanikiwa kunahitaji mikakati sahihi. Hebu tuangalie mambo ya msingi: 🔹 1. Litambue soko lako Usiingie gizani! Jua wateja wako ni nani, bei za washindani wako zikoje, na...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Tanzania ya mama

    N'aaani kama Mama 🤣
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwanini ndoto za Mange za Jeshi la Tanzania kuasi haziwezi kufanikiwa?

    Jeshi la Tanzania haliwezi kuasi kwa sababu limejengwa juu ya msingi wa historia, umoja na falsafa ya kitaifa iliyopandikizwa tangu enzi za ukombozi. Wakati mataifa mengi ya Afrika yalirithi majeshi ya kikoloni yaliyokuwa vyombo vya ukandamizaji, Tanzania ilijenga Jeshi la Ulinzi la Wananchi...
  18. JamiiForums Tanzania Mtaje CDF Bora wa muda wote hapa Tanzania

    GT Haya wale wazee wa miwani myeusi ni CDF yupi alifanya jeshi liheshimike zaidi tuanzie enzi za mwalimu. Mimi naanza na huyu jamaa Davis hakuwa mwanasiasa uwepo wa mkapa ulimfanya Kikwete asikohoe
  19. JamiiForums Tanzania Hatua za Kusajili Jina La Biashara Brela Tanzania

    Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya biashara zinaaminika haraka na kupata wateja wakubwa, mikopo, au hata zabuni za serikali wakati zingine zinabaki mitaani zikihangaika? Siri kubwa ipo kwenye: kusajili jina la biashara kupitia BRELA. Bila jina lililosajiliwa, biashara yako ni sawa na...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara

    Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara na Mwandishi wa Times Oktoba 18, 2025 Wizara ya Nishati ya tanzania imethibitisha kugunduliwa kwa mashapo makubwa ya gesi asilia katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, vilivyopo mkoani Mtwara, takriban kilomita 500 kusini mwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…