Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Chama cha Madaktari wa Tanzania kinatoa shukrani za dhati kwa madaktari na wahudumu wote wa afya kwa kujitolea kwao bila kuchoka katika kuokoa maisha, hata wanapokabiliwa na changamoto kubwa.
Ujasiri, huruma na weledi wenu ni wa kipekee, mnafanya zaidi ya kile kinachotarajiwa, mkitupa wote...
Tanzania
Hakuna wa kuja kutusaidia kuondoa huu utawala wa kikatili, tulimpika wenyewe ni jukumu letu kuhakikisha tunamwondoa wenyewe
Tusitegemee Mmarekani au Mwafrika akaja kutuondolea huyu.
The last couple of days, tumeshuhudia ndugu, marafiki, na jamaa zetu, wakubwa kwa wadogo wakiuwawa bila huruma yoyote. 💔
MAY THEY REST WELL!
Tunayopitia ni magumu, ila kwa neema ya Mungu na kwakufarijiana, tutafika.😔
Kila nikiingia online nakutana na videos mpya za watu waliouwawa, ama...
I saw this earl story from outside the country media reports about our issues.
Niliona na kusoma humu mkililia mahakama hiyo iingilie kati suala hili, basi hali ndo kama hivi...
Hizo ni sehemu ya chapisho nililoliona...
Wakati Uchaguzi Mkuu wa Tanzania ulipofanyika tarehe 29 Oktoba 2025, huku Huduma za Mtandao wa Intaneti zikiwa zimezimwa, Vyombo vya Habari vikuu (Mainstream Media) kama televisheni na redio, pamoja na Vyombo vya Habari vya Mtandaoni, vilitarajiwa kutoa taarifa sahihi na zenye uwiano kuhusu yale...
Kundi la maseneta wa chama cha Democratic katika Kamati ya Mambo ya Nje ya Seneti ya Marekani, likiongozwa na Seneta Jeanne Shaheen, limeitaka serikali ya Marekani kufanya mapitio ya kina ya uhusiano wake na Tanzania kufuatia uchaguzi wenye utata uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Rais Samia Suluhu...
Nchi yetu imefika hapa kwa sababu ya uongozi mbovu,ufisadi,rushwa,utekaji,uchaguzi wa kishetani,maisha mabovu. watu wanachuki na serikali na CCM. CCM sio chama tena cha mkulima na mfanyakazi...
Media za Tanzania zinapaswa kulaumiwa sanaa kwa kilichotokea na kinachoendelea kutokea haiwezekani media za nje ndiyo zitoe ripoti kuhusu maovu na mauaji yaliyotokea kwa vijana wetu, uchafu unaofanywa na serikali ya huyu mama lakini media za ndani zipo kimya kazi kupaka mafuta
Kwa hali hii...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Kwa siku tano mfulilizo watanzania wakiuwawa kwa kupigwa risasi na Abdul na mama yake Samia lakin hakuna hata radio station moja iliyosema wala kutangaza
Nchi ilikuwa gizani zaid ya Burundi
Mtangazaji mwenzao kafariki kwa kupigwa risasi...
Kwa mujibu wa taarifa za NetBlocks, takwimu za moja kwa moja zinaonyesha kuwepo kwa vikwazo vikubwa kwenye mitandao ya kijamii na programu za ujumbe nchini Tanzania, hata baada ya huduma za intaneti kuanza kurejea taratibu kufuatia kukatikwa kwa mtandao kwa zaidi ya siku tano tangu Oktoba 29...
Kwa Image tuliyokuwa nayo tuliaminishwa Tanzania ni nchi ya Democrasia nchi ya vyama vingi uhuru wa kuchagua viongozi tunaowataka. Lakini kwa Uchaguzi wa Oktoba 29.
Tanzania haina toafuti na Burundi, Rwanda, Uganda, kuingia madarakani lazima utokee Msituni sio kwenye box la kura ni Uongo
Zipo taarifa kuwa huenda kanisa katoliki nchini likajitenga mbali na shughuli zozote za kiserikali katika taarifa nilizopewa ni kwamba kanisa hilo kupitia Bazara lake la maaskofu wako mbioni kutoa tamko rasmi kabla Damu za watanzania zilozamwagwa na CCM hazijapoa.
Ukimya wa kushangaza umeikumba Afrika kufuatia uchaguzi wenye utata uliomrejesha Samia Suluhu Hassan kuwa Rais wa Tanzania, baada ya kutangazwa mshindi kwa karibu asilimia 98 ya kura.
Kwa kawaida, ushindi mkubwa kama huu huambatana na salamu nyingi za pongezi kutoka kwa viongozi wa mataifa...
Mmoja wa watetezi wakubwa wa demokrasia barani Afrika na bilionea, Dkt. Mo Ibrahim, amekosoa vikali jinsi uchaguzi wa 2025 nchini Tanzania ulivyofanyika, akisema kuwa ni “kitendo kisichofaa na kisichokubalika” kuzuia vyama vya upinzani kushiriki.
“Nadhani ni kosa kubwa na jambo lisilokubalika...
Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC) imesema kuwa uchaguzi uliohitimishwa hivi karibuni nchini Tanzania haukutimiza viwango vinavyohitajika ili kutangazwa kuwa huru na wa haki.
Katika ripoti yake ya awali, Ujumbe wa Waangalizi wa SADC (SEOM) umebainisha kuwepo kwa vitisho...
Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Saba wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Shwrehe za kuapishwa kwake zimefanyia Dodoma hii leo 03/Nov/2025
amani
awamu
dodoma
fursa
hii
kishindo
kumpongeza
mtukufu
raia
rais
saba
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
uapisho wa viongozi
upendo
ushindi
utulivu
wenye
Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
TAARIFA YA AWALI KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA TAREHE 29 OKTOBA 2025 KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Leo, tarehe 31 Oktoba 2025 - Sambamba na dhamira yake ya kukuza chaguzi za kuaminika, amani, huru, na haki kupitia uangalizi wa kikanda usio na upendeleo na uchambuzi kote Afrika Mashariki na...
afrika
afrika mashariki
amri
huduma
huduma za intaneti
intaneti
kurejesha
kutotoka nje
mashariki
mtandao
nje
serikali
serikali ya tanzaniatanzania
uchaguzi
waangalizi