tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania ya sasa imekosa uzalendo! Mungu tusaidie

    Nawasalimu kwa jina la muungano! Katika vipindi vitatu vya uongozi ambao umekaribiana sana yaani kipindi cha JK,JPM na hiki cha mama yetu nimejifunza mengi kuhusu siasa na uzalendo. Nazungumzia hivi vipindi vitatu kwasababu enzi za kina nyerere na mwinyi huko nyuma uzalendo ulikuwepo na uchungu...
  2. JamiiForums Tanzania World Bank’s regional VP to visit Tanzania Monday

    Dodoma. The World Bank’s Regional Vice President for Eastern and Southern Africa, Mr. Hafez Ghanem, will visit Tanzania next week: a few days after President Samia Suluhu Hassan discussed Covid-19-related matters with the global lender’s chief. Last Tuesday, President Hassan met with the World...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa rai kwa Umoja wa Mataifa kusaidia Serikali ya Tanzania

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali ya Tanzania ingependa Umoja wa Mataifa uwasaidie ili waweze kujenga yanayotakiwa na wananchi ikiwemo Elimu, Afya, Maji, Umeme na Pembejeo za Kilimo Ameeleza hayo Septemba 24, 2021 katika Mahojiano Maalum na Habari za UN huko New York Nchini Marekani...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini vyombo vya habari/ waandishi wa habari Tanzania hawawezi wauliza viongozi maswali tunayoyatarajia?

    Kwa mfano... Rais atapo tua nchini tokea huko alikoenda na Royal Tour. Wananchi tunatarajia maswali haya toka kwa vyombo vya habari... 1. Je, Mh. Rais unafikiri safari hii (Royal Tour) uloifanya ina manufaa yeyote kwa Watanzania masikini!? 2. Je, Mh. Rais unafikiri hotuba yako imekidhi/imejibu...
  5. JamiiForums Tanzania Huu utakuwa mkutano wa injili maarufu kuliko yote Tanzania

    Is it a coincidence? Programmed by the Heavens or it was planned? Kama ilikuwa planned basi jamaa alie plan atakuwa genius wa PR, Alastair arudi shule akasome. Wameweka matangazo Dar nzima sasa hivi watanzania kwenye social networks wanafanya free publicity bila kujua kama wanasaidia...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia mwanzo mzuri anga za kimataifa

    Ilisemwa huko zamani na wahenga na wahenguzi kwamba, “It’s not how you are, but what people thinks how you are that counts”. Kwa tafsiri isiyo rasmi, hoja siyo jinsi ulivyo isipokuwa jinsi watu wanavyofikiri ulivyo ndiyo watakavyo kuchukulia. Kanuni hii inahusika na maisha yetu moja kwa moja...
  7. JamiiForums Tanzania Mtandao pekee wenye huduma nzuri zaidi za malipo kwa wafanyabiashara na wauzaji Tanzania.

    Sokokuu online ni mtandao unaouza vitu online kwa mfumo mpya na wa tofauti kabisa. Na mfumo huo upo ivo ili kumrahisishia mteja namna ya kununua vitu mtandaoni. Kwanza Sokokuu online inakupa uhuru. Wa kuweka bidhaa zako mwenyewe na kupanga bei ndani ya Dashboard yetu. Hii inakuhakikishia kuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mashauri kumi (10) juu ya Utawala Bora Tanzania

    MASHAURI KUMI (10) JUU YA UTAWALA BORA TANZANIA Nawasalimu kwa Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwangu mimi uzalendo sio kuvaa bendera, bali ni kufanya mambo anuai kwa ajili ya maendeleo ya taifa na wananchi wake kwa ujumla. Kutokana na chembechembe za Uzalendo zilizonikaa moyoni...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 The 4th Industrial Revolution-How Can Tanzania Leapfrog to the 21st Century?

    Introduction I am writing this article from a beach front in Kimbiji overlooking the indian ocean and the beautiful view of Kigamboni Beach front.Its a beautiful place to be with mild sunlight and ocean breeze.Today I want to write and bring a discussion on the 4th Industrial revolution with...
  10. JamiiForums Tanzania Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

    Wanaukumbi. Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN. Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania People's Defense force (TPDF) history

    HAVE YOU EVER READ THIS? LET'S KNOW WHERE OUR MEN STARTED FROM The history of the Tanzania Peoples Defense Force (TPDF) stretches back to when the Germans ruled the area known then as German East Africa, from 1884 to 1918. This area consisted of Tanganyika, Rwanda, and Burundi. During this time...
  12. E

    JamiiForums Tanzania Umoja wa mechanical engineers Tanzania (TME), tunaomba mashine zote za uzalishaji zisamehewe kodi

    Uzalishaji ndiyo nguzo kuu ya uchumi katika nchi yoyote na nguzo kuu za uzalishaji katika nchi ni mbili. Uzalishaji wa kilimo na uzalishaji wa bidhaa za viwandani. Mechanical engineers ndiyo nguzo ya uzalishaji wa viwandani na sisi tunaiomba serikali yetu iweke msamaha wa kodi katika mashine...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM na TvE kasoma Chuo gani cha Uandishi wa Habari Tanzania au nje ya Tanzania?

    Natamani sana nikijue hicho Chuo ili nianze Kukidharau kwani Kimezalisha a very bogus Candidate katika Tasnia ya Uandishi wa Habari na Utangazaji nchini Tanzania. Maulid Kitenge muda si mrefu akiwa katika Kipindi cha Sports Headquarters cha EFM katoka Kumuuliza Mchambuzi Jeff Leah Maoni yake...
  14. JamiiForums Tanzania PICHA: Jeshi la polisi la Tanzania lina mengi ya kujifunza kupitia picha hii

    Habari wadau..! Kilichonivutia kwenye picha hii sio ujumbe kwenye haya mabango, bali hii picha ya hawa mapolisi waliopiga picha na waandamanaji hapa kwetu Buza kwa Lulenge nadhani baada ya picha hii kusambaa IJP atawasimamisha kazi maafisa hawa kwa kushiriki maandamano badala ya kuzuia 😂😂😂
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Samia Suluhu kwenye Umoja wa Mataifa yaleta matumaini mapya kwa diplomasia na diaspora ya Tanzania

    Hivi karibuni Rais Samia Suluhu wa Tanzania alifanya ziara nchini Marekani, ambako alikwenda kuhudhuria mkutano wa 76 wa baraza kuu la umoja wa mataifa nchini Marekani. Ziara hii ambayo ni ya kwanza kwa Rais wa Tanzania nje ya Afrika katika kipindi cha zaidi ya miaka sita, imepokelewa kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania na Mipaka ya Uhuru wa Kujieleza

    Ni kiwango kipi cha Uhuru kinakubalika na watawala kisiwe Uchochezi? Kama Taifa tumetoa Uhuru (Demokrasia) pana sana kwenye sekta ya uchumi hasa Ubinafsishaji wa bei ya kutupwa ya mali na mashirika ya umma. Lakini tumebana sana na kwa kiwango cha kutisha Uhuru na Demokrasia ya mawazo kisiasa...
  17. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu kwenye Baraza la Umoja wa Mataifa (UN) - Septemba 23, 2021

    VIDEO: Hotuba ya Rais Samia Suluhu Umoja wa Mataifa (UN) Rais Samia: Tanzania itaendelea kuwa mwanachama kindakindaki wa Umoja wa Mataifa. Tuko tayari kushirikiana na wanaotaka kushirikiana nasi, tutendelea kuwa Tanzania iliyokuwa ikishirikiana na nchi zote Rais Samia: Virusi vya Corona...
  18. JamiiForums Tanzania Mahakama yatupilia mbali Kesi ya Mbowe ya Kikatiba dhidi ya IGP, DPP na Mwanasheria Mkuu wa Serikali

    Leo Sept. 23, 2021 saa nane kamili mchana, Mahakama Kuu Kanda ya Dar es salaam itatoa uamuzi mdogo juu ya mapingamizi ya Serikali katika Kesi ya Kikatiba namba 21/2021 iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chasema Freeman Mbowe dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, DPP na IGP. Wakati anakabiliwa na...
  19. JamiiForums Tanzania Machinga wasilete siasa waondolewe haraka miji yote Tanzania

    Fremu leo zimedoda mikoa yote, ina maana Machinga wanashindwa kujiunga hata watatu watatu wakachukua fremu wakaripa Kodi? Nchi imekuwa ya kipuuzi sana mama ntilie wanashindwa kujiunga wakatengeneza taasisi inayolipa Kodi na wakafanya derivali ya chakula kwenye maofisi mida ya mchana? Mpaka...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Simbachawene; Tanzania Hakuna shida ya katiba

    Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, amesema uimara wa Katiba ya Tanzania umeleta amani, kupendana, kushirikiana na kuwepo kwa maendeleo hivyo hakuna umuhimu wa kuwepo kwa mchakato wa katiba mpya kwa sasa na vyama vya upinzani wanaitaka kwa manufaa yao na si wananchi. "Shida ya katiba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…