tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Uwekezaji Tanzania mradi wa Liquefied natural gas (lng) unahitaji "Amani" ya kiwango cha juu

    Bi. Jesca Kishoa, Mbunge. Kielelezo cha Amani Ulimwenguni mwa Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kufikia mwaka 2020 kiliorodhesha Tanzania 52 katika nchi 163, na alama 1.85, chini ya Senegal, Botswana, Ghana na Zambia. Mauritius ilikuwa nchi yenye amani iliyoshika nafasi ya 23 kwa alama 1.54...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nchi kumi za Kiafrika zenye Gdp kubwa. Gap kati ya Kenya na Tanzania inazidi kuongezeka.

    1. Nigeria 2. South Africa 3. Egypt 4. Algeria 5. Morocco 6. Kenya 7. Angola 8. Ethiopia 9. Ghana 10. Tanzania
  3. JamiiForums Tanzania Tony Blair amefuata nini Tanzania?

    Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza Tony Blair ameonekana kwenye Ikulu ya Tanzania akizungumza na Rais Samia Suluhu, tunashukuru sana kwa Mkubwa huyu kutukumbuka. Swali ni hili, Amefuata nini?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan amkumbuka Ridhiwani Kikwete baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu

    Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye amkumbuka Ridhiwani Kikwete, hii ikiwa ni baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu | Viva Tanzania Viva " Hakuna kama Samia " Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan ametimiza ahadi yake kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya...
  5. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan ni Rais halali kabisa wa Tanzania, tusimdharau ila tumuombee afya, amani na azidishiwe hekima ya kutuongoza watanzania

    Watanzania hakuna utawala unaoweza kuinuka kwenye taifa kwa bahati mbaya. Mungu ana uwezo wa kuruhusu au kuzuia jambo lolote kwa sifa na utukufu wa jina lake. Kuna watu walilalamika tangu kwa Nyerere hadi sasa wanalalamika kwamba Rais hafai. Walilalamika na kushukururu kuondoka kwa Hayati...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Ni kwa nini upinzani Tanzania Wana rasilimali watu wachache sana kuliko CCM!?

    Ni wazi kwamba ili ushike dola na kuongoza bila wasiwasi unahitaji kuwa na rasilimali watu ya kutosha. Ila kwa upande wa wapinzani naona Wana watu wachache wenye uwezo wa kiuongozi kuliko CCM kwenye hazina yao. Nadhani ndiyo sababu hata inawawia ngumu kubadilisha viongozi wao hasa wakuu...
  7. JamiiForums Tanzania Video ya Watanzania waliotekwa Malawi yavuja, waomba msaada

    Hii ni video ya Madereva waliotekwa na kufichwa sehemu kusiko julikana huko malawi Iko hivi Madereva wa malori wa Malawi (sio wa Tanzania) wana mgomo wa kutaka kuongezewa mishahara. Katika hali hiyo, hayatakiwi malori yaonekane yakipita barabarani. Kwa hivyo wameteka malori yanayopita yote...
  8. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Why cancer education to all people in Tanzania

    IMPORTANCE OF CANCER EDUCATION IN TANZANIA. Introduction Cancer is a generic term for a large group of diseases that can affect any part of the body. Other terms used are malignant tumours and neoplasms. One defining feature of cancer is the rapid creation of abnormal cells that grow beyond...
  9. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Thinking, social evolution, and our curriculum

    Twenty years ago, I started a journey—a journey of searching for truth. I had to. I’d graduated from the university a couple of years earlier and had a “good” job, but I was by no means contented. I was rather shocked to find that my education was laughable and my prospects dire. Then...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za kikanda: Malori 150 ya Tanzania Madereva wake wazuiwa nchini Zambia

    30 September 2021 Kasumbalesa Mpakani mwa DR Congo na Zambia na Nakonde Zambia Zaidi wa malori 150 ya Tanzania pamoja na madereva wake wazuiwa kuendelea na safari yao baada ya kuvuka mpaka na makontena ya magogo toka nchini DR Congo. Tayari siku thelathini zimepita bila kupatikana ruhusa ya...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia awa mgeni rasmi katika Mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO) Dodoma

    Rais Samia: Nakushukuru Waziri wa Maendeleo ya Afya, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na Uongozi wa baraza la Mashirika yasiyo ya kiserikali kwa kunialika kwenye mkutano huu wa mwaka wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali nataka nikiri kuwa nimefurahi sana kushiriki katika mkutano huu. Rais Samia...
  12. JamiiForums Tanzania IT Business Manager – VAS & Products at Airtel Tanzania

    About us Airtel Tanzania PLC is one of the leading providers of telecommunications and mobile money services with operations across Tanzania. Headquartered in Dar es Salaam, Airtel Tanzania ranks amongst the top 3 mobile services providers in Tanzania in terms of subscribers. Airtel Tanzania...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya CCTV camera Tanzania na uvunjifu wa haki ya faragha

    Kumeibuka tabia ya kila mtu anafunga CCTV camera kwenye maeneo ya biashara au nyumba ya kuisha mfano mtu anafunga CCTV camera kwenye eneo la baa au nyumba ya kulala wageni na Hakuna sheria au muongozo ambao umewekwa na serikali kusimamia matumizi ya hizo camera mwisho siku unakuta haki za...
  14. JamiiForums Tanzania Kupotea kwa Dkt. Cyrilo na ukimya wa media za Tanzania

    Nimesikitika sana kuona @dr_chriscyrilo yupo ndani siku 3 lakini hakuna main stream media iliyojishughulisha kuripoti zaidi ya @bbcswahili. Yani media za Ulaya zinaumizwa na matukio ya uonevu na zinaonesha kujali zaidi utu wetu kuliko media zetu? Seriously? Mnataka nani "akamatwe" ndio mripoti...
  15. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Rai yangu kwa Serikali ya Tanzania

    Uchumi na Biashara Serikali imekua haitoi kipaumbele kwa biashara za matandaonu lakini biashara za mtandaoni zinaweaza kuwa chanzo kikubwa cha mapato ya nchi na ajira kwa vijana. Mfano biashara ya kubadilisha fedha mtandaoni (FOREX) biashara hii haifaamiki na haijapewa idhini na serikali...
  16. JamiiForums Tanzania SoC01 Hii ndio mbinu pekee ya kuokoa Mfumo wa Elimu Tanzania

    Shule ya msingi niliyosoma zaidi ya miaka kumi na tano iliyopita inajipambanua kwa kaulimbiu isemayo “ELIMU NI UFUNGUO WA MAISHA”. Nakumbuka vyema jinsi ambavyo kaulimbiu hii ilifanywa kuwa sehemu ya maisha ya kila mwanafunzi pale shuleni. Mwalimu alikuwa akiingia darasani kufundisha wanafunzi...
  17. JamiiForums Tanzania Field Sales Executive at DHL (Tanzania) Limited

    Manage a portfolio of customers and potential customers via personal sales visits, using face-to-face contact to provide a ‘personal service’ Develop an implement an Annual customer call cycle Conversion of qualified leads into customers (First Time Buyers) and develop and penetrate existing...
  18. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi 350 Idara ya Uhamiaji Tanzania 2021

    Idara ya uhamiaji Tanzania wametangaza nafasi za kazi 350 kwa watanzania kama tangazo linavojieleza hapa chini
  19. JamiiForums Tanzania SoC01 Delay of legal proceedings in our Tanzania Court system (Judiciary)

    01.INTRODUCTION. A case or suit is the contra-verse or misunderstandings between the two or more parties.Therefore parties are the one who bring the case to the particular legal institution, therefore parties and the case are two sides of the same coin.This means that one of them determine...
  20. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania IMF- Tanzania faces hard times

    By JAMES ANYANZWA More by this Author Tanzania requires urgent financial support of $1.1 billion (1.5 percent of GDP) in the next 12 months to avert a potential economic fallout arising from the Covid-19 pandemic and the rising import bill linked to rising crude oil prices. The International...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…