tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Serikali iwape motisha waandaaji wa maudhui waandae vitabu vyenye maudhui ya Kitanzania

    Baada ya kushuhudia vitabu vilivyopigwa marufuku kwa kweli ipo haja ya serikali kuanzisha kampeni kuwapa motisha wasanii hawa, vijana wa IT watutengenezee katuni za Kitanzania na pia magazine nzuri za rangi rangi kama miaka ile magezeti ya Sani. Ili kupambana na vitabu hivi ni lazima kuingiza...
  2. JamiiForums Tanzania Huko tuendako kila Rais nchini Tanzania atakuwa ni "Daktari" atake asitake

    Ndio mwelekeo wa Taifa letu. Nyerere, Mwinyi na Mkapa ndio marais pekee watakaobaki bila kupenda kuwa addressed kama Dr. Njaa ni kali sana na unga hautoshi kila mtu anapambana kujipendekeza.
  3. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yataja mafanikio matatu ya uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Benki ya Dunia yataja mafanikio matatu ya uchumi wa Tanzania 1. Tanzania ina mfumuko wa bei mdogo kuliko nchi zote Afrika Mashariki 2. Uchumi wa Tanzania unakua kwa kasi kuliko wastani wa Afrika Kusini mwa Sahara 3. Deni la Taifa ni himilivu
  4. JamiiForums Tanzania Hali ya maisha ya Mtanzania ni ngumu sana. Rais asipochukua hatua sasa hali itaendelea kuwa mbaya zaidi

    Ee Mungu nipe hekima yako niweze kuandika kitu kitakacho weza kuwapa uwelewa viongozi wenu juu ya hali ilivyo mbaya kwa wananchi wake 🙏🙏🙏🙏. Awali ya yote Samia mama naomba elewa hali za Watanzania ni mbaya sana na inatisha kweli kweli 😭😭😭. Tujiulize sisi kama taifa tumemkosea wapi Mungu na je...
  5. JamiiForums Tanzania Bahari mpya kuligawa bara la Afrika, Tanzania kuwa sehemu ya Kisiwa

    Wanajiolojia wamethibitisha kuwa bahari mpya inaundwa barani Afrika ambayo italigawa bara hilo nusu. Inasemwa kuwa ufa wenye urefu wa maili 35 ulionekana katika jangwa la Ethiopia eneo la Afar mwaka 2005 na pengine ni mwanzo wa bahari mpya kabisa. Ukurasa wa The Archeologist umeandika kuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Tanzania Distilleries Limited yazindua Konyagi aina ya Konyagi Fusion

    Na Mwandishi Wetu. KAMPUNI ya Tanzania Distilleries Limited, ambao ni waanzilishi wa kinywaji cha Konyagi, leo inazindua aina mbili mpya za Konyagi ikiwa ni mwendelezo wa chapa hiyo zinazoitwa Konyagi Fusion. Konyagi Fusion zimekuja katika ladha mbili tofauti ikiwemo Konyagi Fusion ya ladha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Dar: Utata wa Barabara ya Mtaa wa Chato, Mikocheni A

    Ni mwaka mmoja umepita hivi sasa, lakini hali ya barabara ya mtaa wa Chato inaleta utata kati ya wananchi na wakandarasi. Urefu wa barabara hii ni mita 600. Imekuwaje mpaka leo hii barabara haijakamilika? Ujenzi wa barabara hii ulianzishwa kwa nia ya kuweka bomba kuu la maji machafu chini...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania imepiga hatua katika utoaji wa Elimu ya Kidigitali?

    Ni mara ngapi umewahi kumsaidia mtu kufanya kitu fulani katika Simu yake? Japokuwa Wananchi wanamiliki Vifaa vya Kidigitali, bado wengi wanashindwa kunufaika kikamilifu kutokana na kukosa Ujuzi sahihi Unadhani tumepiga hatua katika utoaji wa Elimu ya Kidigitali? Kuboresha Upatikanaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania Wachezaji wafupi wanazigharimu timu za Tanzania

    Jana simba walipocheza na Horoya fc, wachezaji walipata shida sana maana wale jamaa ni warefu sana, kilichowapata Simba jana, leo kimewapata Yanga. Mabeki wafupi wa Yanga ni mzigo kwa michuano ya Kimataifa. Angalia mabenki wa Yanga, sasa mtu kama Dickson Job kweli ni benki mzuri ila ufupi...
  10. JamiiForums Tanzania Uzi wa kusaidia vyombo vya dola kujua machimbo yote (incubation hubs) za panya road na vijana wahalifu mikoa yote

    Wakati mwingine kuwa mzalendo ni kuvisaidia vyombo kuzima uhalifu kabla haujamature. Kumekuwa na ongezeko la panya road hasa dar es salaam. Sasa tutumie uzi huu kutaja machimbo yote na mitaa yote inayolea vijana wahalifu na wavuta bangi popote walipo Tanzania. Taja mkoa wilaya kata mtaa na...
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania yenye Amani bila Uonevu

    Kuna Jambo nimekua nikiliwaza mara kwa mara akilini mwangu lakini naona kadri siku zinavyoenda linazidi kukomaa na kushika mizizi. Tunaishi Tanzania ambayo ni nchi inayosifika kwa amani,lakini ukweli ni kwamba hii nchi amani inayoongelewa ni kukosa vita tu na wala si amani ya mtu mmoja hadi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo yaliyotolewa na wadau mbalimbali kuhusu nini kibadilike katika Mfumo wa Elimu ya Tanzania kupitia Twitterspace ya Jamiiforums

    Wadau mbalimbali wa elimu wamekuwa wakilalamikia mfumo wa sasa wa Elimu ya Tanzania. Jamiiforums kama mdau mmoja wapo wa elimu na mabadiliko inatoa fursa kwa Wanachama wake na umma kwa ujumla kutoa maoni yao juu ya nini hasa kibadilike katika mfumo wa elimu uliopo. Ili kupata nafasi hii...
  13. JamiiForums Tanzania Katika umri wa miaka 55 tayari Magufuli alikuwa ameshakuwa Rais wa Tanzania na katika umri huo huo Tundu Lisu ni chawa wa Samia na mtumwa wa Mbowe,

    Nimeanza kumfuatilia Tundu Lisu nimegundua kuwa amezeeka ni mzee WA miaka 56 na katika umri huu akiwa babu bado ana aikli za kitoto kabisa yaani mtu mzima lakini muigizaji balaa hafu ukiwalinganisha na anayetembelea nyota yake hawafanani hata kidogo kwa umri huo Tundu Lisu hajajenga hata Choo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Sijawahi kupishana maneno na Mbowe tangu nijiunge CHADEMA 2004, hakuna wa kutufitinisha!

    Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema yeye na Mwenyekiti wake Mbowe wako vizuri kuliko wakati mwingine wowote. Lissu amesema hata alipokutana na Rais Samia kule Ubelgiji alimweleza wazi kuwa atarudije nyumbani ilhali Mwenyekiti wake yuko magereza, ndipo Rais akalifanyia kazi. Lissu...
  15. JamiiForums Tanzania William fulton ni nani na taasisi ya mangotree ni kweli inahusika na kuispy Tanzania?

    wakuu naomba kwa mwenye taarifa za huyu mzungu wa mbeya atuelezee vizuri kuhusu mi nnachojua alifukuzwa tanzania mwaka 2015 kwa kosa la kuiba taarifa za mipango ya siri ya KIUCHUMI japo mwenyewe alikana na hata mtoto wake naye amemtetea kuwa si kweli Lakini jamaa anazidi kusisitiza anaomba...
  16. JamiiForums Tanzania Ripoti GFI: Tanzania inapoteza Tsh. Trilioni 3.5 kila mwaka kutokana na Utakatishaji Fedha/Biashara Haramu

    Kwa mujibu wa Ripoti ya Taasisi ya Global Financial Integrity (GFI) na Washirika wake imeonesha bado Tanzania ina tatizo sugu la Utakatishaji Fedha unaotokana na Biashara Haramu kiasi cha kupoteza zaidi ya Tsh. Trilioni 3.5 kila mwaka. Kati ya vitendo vinavyochangia tatizo hilo ni pamoja na...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni vikwazo gani vinasababisha viwanda vya toothpicks kutokuendelea/kufanikiwa nchini Tanzania au Afrika Mashariki?

    Habari, wanajukwaa! Ni muda mrefu nimekua nikifuatilia viwanda vidogo vya kutengeneza toothpicks Tanzania na hata Africa Mashariki ili kuona hatua na mafanikio katika kuanzishwa kwake na muendelezo wake. Naona vingi haviendelei kama ilivyo ilivyotarajiwa. Kuna kiwanda bora kabisa kilikuwepo...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Elon Musk kuleta Intaneti ni tishio kwa mitandao ya simu, atapora wateja wenye matumizi makubwa na kuteka soko sehemu ambazo network inasumbua

    Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9. kifurushi kinadumu kwa mwezi, nadhani anapanga bei kwa kuangalia uchumi wa nchi, Marekani ni 230,000/= , Nigeria ni 98,000, Hapa Kwetu si ajabu ikawa 70,000. Ni internet ya kisasa, Speed yake ni kubwa sana, unaweza kushusha file la gb 1 speed...
  19. JamiiForums Tanzania Balozi Nangasu, afafanua kwa Mapana kuhusu Mfumko wa bei Tanzania na Uchumi Imara

    Balozi wa Utalii wa Tanzania, Nangasu Warema leo Februari 10,2023 ametoa maoni yake kuhusu mwelekeo wa uchumi kutokana na mjadala ulioibuka bungeni mwanzoni mwa wiki hii. Balozi wa Utalii Nangasu Warema Balozi huyo wa utalii amesema kwamba mataifa mengi duniani yameathirika kiuchumi ikiwamo...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania ugonjwa ni mtaji wa kuomba inatia huruma sana

    Yaani inasikitisha sana sana kwa baadhi ya wananchi kufanya ugonjwa ni mtaji wa kuomba na kupata ridhiki ... Yaani unakuta mtu ana kidonda au mguu kivimba sijui au tumbo limevimba basi ndio inakuwa mtaji wake tena kuingia barabarani na kuomba hii sio sawa kabisa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…