tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Trilioni 1.422 kwa ajili ya Tanzania ili kuimarisha ajira na kusaidia kaya zilizo hatarini

    Benki ya Dunia imejitolea kutoa kiasi cha dola milioni 550 kusaidia jitihada za upatikanaji wa ajira na usaidizi wa kijamii nchini Tanzania. Benki ya Dunia imemidhinisha ufadhili mpya wa dola milioni 550 kwa ajili ya Tanzania, ukilenga kutengeneza fursa za ajira na kusaidia kaya zenye uhitaji...
  2. JamiiForums Tanzania Nchi moja Tanzania, bei ya mafuta tofauti tofauti

    Bado mtatudanganya Muungano Una faida? Bado mtatudanganya faida za Muungano ni pamoja na usawa wa kiuchumi? Tanganyika mafuta 4000 Kwa lita Zanzibar 2900? Kwamba kodi za mafuta Tanganyika zinafidia Kodi za mafuta Zanzibar ili wao bei iendelee kuwa nafuu?
  3. JamiiForums Tanzania Al Jazeera Walipokuja Kufanya Mazungumzo Tanzania na Mimi 2007 (Dar es Salaam) na 2008 (Tanga)

    AL JAZEERA WALIPOKUJA KUNIHOJI TANGA NA DAR ES SALAAM Mahojiano na Al Jazeera nyumbani kwangu Masaki, Dar es Salaam 2007 Mohamed Val Mtangazaji wa Al Jazeera akinihoji nyumbani kwangu Bombo, Tanga (2008) Huyu kijana kutoka Al Jazeera sikumbuki jina lake alinifahamisha kuwa alipata kuishi...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Dunia sasa imeelewa Iran haruhusiwi kuwa na nguvu kashindwa vita ameamua kuumiza wote tukose Kwa kufunga Harmouz Hadi Tanzania wataumia Us Wanayo yao

    Hadi Leo Marekani Wana jicho la tai la kuona mataifa hatari Kwa Dunia miaka kadhaa Ijayo . Iran ni majawapo ya mataifa hatari ambayo Us ametusaidia kulipungizia nguvu zake zenye Nia mbaya. Kitendo Cha kuanza kushambulia majirani zake wote ambao walikuwa hawajamrushia hata jiwe inaonyesha...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania iliwadanganya wananxhi kwamba hakutakuwa na shida ya mafuta

    Vita Iran: Tanzania yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta Serikali nchini Tanzania imetangaza bei mpya ya juu ya mafuta inayoanza kutekelezwa hii leo Jumatano tarehe mosi Aprili 2026. Kulingana na Mamlaka ya udhibiti ya huduma za Nishati na Maji nchini Tanzania EWURA ,kupanda kwa bei hizo...
  6. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tanzania inahakikisha umeme haukatiki, ina umeme wa ziada

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema uchumi wa Tanzania unaendelea kukua akibainisha kuwa kasi ya ukuaji wa kitaifa imepaa hadi kufikia 6.0% licha ya mtikisiko uliosababishwa na janga la Uviko-19. Mwigulu ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma leo...
  7. JamiiForums Tanzania SGR kuvuka mipaka: Mawaziri wa Tanzania, Rwanda na DRC wakutana kuweka mustakabali mpya kiuchumi

    https://youtu.be/03vJQKnKpZ4
  8. JamiiForums Tanzania Hivi ni sehemu gani hapa Dar ni ambayo ni nzuri zaidi kwa kijana kuanzia maisha? Naona kama Goba ni eneo zuri sana

    Wakuu, Kama wewe ni kijana unataka kuondoka nyumbani kwenu uanze maisha ushauri wangu uende ukaishi Goba Kwanza Goba nyumba nyingi ni mpya na ni bei ndogo. Ukiwa na 100k unapata chumba na sebule na jiko na choo tofauti na eneo kama Sinza au Mwenge ambako utapata single room Lakini vilevile...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Gesi asilia inayozalishwa nchini Tanzania inatusaidia Nini?

    Nchini kwetu tuna vitaru vingi vinavyozalisha gesi asilia kutoka mikoa ya kusini (lindi ,mtwara) na hiyo gesi inafaa kwa matumizi mbalimbali (domestic & economically) Je kwanini serikali haichukulii ongezeko la bei ya mafuta kama jambo la dharula na ikatafutwa njia ya haraka ya kudhibiti...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Diamond anaulizwa Sports Arena itajengwa lini Tanzania???

    Nafikiri suala hili amuulize G. Msigwa ndiyo Katibu Mkuu mwenye Dhamana ya viwanja vya michezo Tanzania, anaweza jua Bajeti ya Bilioni ngapi imetengwa, au Mkataba wa Bilioni ngapi umesainiwa na katika huo Mkataba ni ngapi zimeongezewa pasipo Mkataba.
  11. JamiiForums Tanzania 🚨 CC: Mwenyekiti, Mheshimiwa Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman.

    -3th April ni ijumaa kuu unafamu ilo ? -Whats the plan tupate ripoti yetu ? -Inawezekana ripoti iwasilishwe alhamisi, if yes, tupate report yetu mapema patience is killing me. Isije kua dana dana tena kwa kisingizio cha sikukuu ..
  12. R

    JamiiForums Tanzania Asilimia 61 ya Pombe zinazonywewa Tanzania ni haramu

    Biashara haramu ya pombe ina athari nyingi na za kina, ikiathiri uchumi wa Tanzania, uwekezaji, na pia kuhatarisha afya ya jamii kwa kiwango kikubwa. Akifanya Mahojiano na Mwananchi, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Breweries Limited (TBL), Michelle Kilpin, alitoa tathmini yake kuhusu hali ya...
  13. JamiiForums Tanzania Picha: Namna ya kupenyeza agenda yako nchi za Afrika kama Tanzania

  14. JamiiForums Tanzania Tanzania yahimiza Matumizi ya Akili Unde (Artificial Inteligence – AI) Kuimarisha Mtangamano na Maendeleo EAC

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesisitiza matumizi ya Akili Unde (Artificial Inteligence – AI) ikiwa ni moja ya nyenzo muhimu na ya kisasa katika kukuza mtangamano na kuharakisha maendeleo katika Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kupitia sekta mbalimbali ikiwemo Kilimo, Elimu, Viwanda, Afya na...
  15. JamiiForums Tanzania Miundombinu Tanzania bado sana

    Kusema kweli Tanzania tuna safari ndefu kwenye miundombinu Tanzania ukiachana na main roads, barabara nyingi bado ni za vumbi especially mitaani wanakokaa watu. Hata miji mikubwa kama Mwanza na Mbeya, barabara ni changamoto. Mji unaokua kwa kasi kama Kahama bado uko nyuma kwenye barabara. Dar...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ni kama vile kila kukicha sheria zaidi zinatungwa kuwabana wananchi wa Tanzania, hadi nchi inakera sasa

    Yaani nchi hii mambo ya sheria za mambo madogo madogo ya maisha ya kila siku ya watu hadi inakera sasa. Mara sheria ya hiki,mara ya kile, mara sijui nini,hadi sasa tunakuwa sheria state. NI kweli sheria ni muhimu katika kufanya watu wawajibike katika uhuru wao, lakini kwa hapanchini naona sasa...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Ofisi za Air Tanzania HQ ihamishiwe Airport (JNIA)

    Ili kuboresha huduma na kupunguza gharama za uendeshaji inafaa makao makuu ya Air Tanzamia kupelekwa kwenye hub yao (JNIA). Haya mambo ya kuzungushana na ma-VX kati ya Airport-Mjini-Dodoma inaongeza gharama. Jengo la.makao makuu ya sasa (lipigwe mnada au kukodishwa). Kenya Airways, Rwandair...
  18. M

    JamiiForums Tanzania William E. Trachman nominated to serve as the U.S. Ambassador to the United Republic of Tanzania

    William E. Trachman is a Colorado-based attorney and legal scholar who has been nominated by President Trump to serve as U.S. Ambassador to Tanzania. Prior to this nomination, Trachman established a significant legal career focused on constitutional law, civil rights, and education policy...
  19. JamiiForums Tanzania MO29 TV ni game changer ya habari Tanzania

    Daa hii nchi sijui kama itapona makovu ya MO29. Sasa Kuna TV mpya , ni online TV, imeanzishwa imepewa jina la MO29 TV. Hii channel inapiga spana kweli kweli, imegeuka kilio Cha kusaga meno Kwa CCM. Je MO29 TV ni ya nani? Na itaweza ku- survive bila kufungiwa. Let wait and see. Mto wa mbu...
  20. JamiiForums Tanzania Changamoto za Tanzania ambazo hazitakuja kutatuliwa kamwe

    1. Shida ya maji 2. Mafuriko wakati wa mvua 3. Changamoto ya Ajira 4. Mpangomji mbovu na Ujenzi holela 5. Uongozi mbovu 6. Foleni Dar es Salaam 7. Ukosefu wa demokrasia
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…