tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Tanzania mna matatizo gani?

    Maswali chechefu: 1. Je, gazeti la "Mwanahabari" ni la nani? 2. Je, mwandishi aliyemtaja Naibu Waziri Mkuu, Mhe Dotto Biteko, kama "BITOKE" alikuwa anamuwaza muigizaji EBITOKE? 3. Je, gazeti hili halina Mhariri? 4. Je, gazeti hili linajua kuwa linapaswa kumuomba radhi Mhe Biteko & "Bongolanderz"...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini duniani, Afrika na Tanzania kwenye list ya matajiri wakubwa wanawake hawamo?

    Leo nilikuwa napitia mtandao wa matajiri na taarifa za mabilionea mbalimbali Duniani, kwenye mabara, na hasa Africa na nchini Tanzania. Nimeshangaa kuona wanawake kwenye haya mambo hawapo kabisa, wakati utafiti jamii usio wa kitaalam imegundulika mwanamke ndio kiumbe anayependa Pesa na mali...
  3. JamiiForums Tanzania Angellah Kairuki: Tanzania tunapoteza takribani eneo la misitu hekta 469,000 kila Mwaka. Upandaji wa miti ya Mianzi utaleta tija

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Angellah Kairuki amesema hayo wakati akitoa Hotuba katika Uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Mianzi (Bambos) kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Chuo Cha Utalii Dar es Salaam, leo Februari 19, 2024. Amesema “Natambua kwa takwimu za sasa, Tanzania tunapoteza takribani eneo...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Tumecheka sana na nyani, na sasa tunavuna mabua

    Asalaam Aleykum wana jamvi. Waswahili walisema, ukicheka nyani, utavuna mabua. Hiki ndicho kinachotokea Tanzania. Reports nyingi za CAG zinazoonesha "nyani" wanaolitesa Taifa hili zimekuwa zinapuuzwa kila mwaka, na matokeo yake ndo haya tunayoyaona sasa. Sauti za Watanzania wengi wazalendo...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania katika mtanziko; Hakuna umeme, sukari wala dola. Serikali inachukua hatua gani?

    Tanzania hakuna umeme, sukari wala dola. Huku tukiambiwa kuwa awamu hii uchumi unakua kuliko awamu yoyote ile, makusanyo ya TRA yakivunja rekodi. Tatizo la umeme nalo limekua sugu bila kupata ufumbuzi wa kudumu na hali ikizidi kuwa mbaya kila siku. Sukari nayo kila mtu anauza anavyojisikia...
  6. JamiiForums Tanzania Filamu ya Royal Tour ya Rais Samia, Yapewa Kongole Kuhamasisha Utalii Kulikopelekea Kuongezeka Watalii Wanaotembelea Tanzania

    Wanabodi, Filamu ya Royal Tour ya Rais Samia, imepongezwa kwa kuchangia kuhamasisha utalii nchini kulikopelekea kuongezeka kwa idadi ya watalii wanaotembelea Tanzania, kutoka watalii 1,454,000 mpaka watalii 1,806,000, kati ya Desemba 2022 na Desemba 2023, ongezeko ambalo limechangiwa, Pamoja na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Urais wa Tanzania hautafutwi kwa nguvu ya pesa wala upendeleo

    Salaam, Shalom!! Historia inatuambia, Ufalme ulipomtaka Daudi, ulimfuata porini akichunga Kondoo wa baba yake aliyekuwa mfugaji na Mwananchi wa kawaida. Urais au Ufalme ni title na Cheo Cha Mungu Mwenyewe, ndio maana waisraeli walipoomba wapewe mfalme, Mungu alisema, watu Hawa wamenikataa...
  8. JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

    Ni Vyuo Vikuu maarufu zaidi barani Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara? Vigezo vifuatavyo vya uteuzi: Kukodishwa, kupewa Leseni au Kuidhinishwa na Shirika linalotambulika linalohusiana na Elimu ya Juu katika kila nchi. Kutoa angalau Digrii za miaka mitatu au Digrii za Uzamili au za Udaktari...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni magari gani Tanzania showroom yanauzwa chini ya sh `10M

    Habari Husika na kichwa cha habari hapo juu. nina bajeti ya sh hiyo hapo juu nataka kununua gari kutoka showroom hapa bongo lililotoka japan. AU Je naweza agiza gari aina gani na kwa bei hiyo toka japan? Nina bajeti hiyo washkaji nipeni ushauri wa kiukweli sio utani. Asante
  10. JamiiForums Tanzania Kiswahili kinagombewa na Wakenya kuliko Tanzania

    Yani inauma sana hawa wakenya wanajua kutembelea code za Tanzania kwenye fursa zilizopo hapa. Kumbuka Kenya asilimia kubwa imejaa kikabila kuongea na ndio maana lugha yao kubwa ni Kingereza ila suala la kujitangaza kiswahili kipo kwao wameshinda hili. Nimeshangaa fursa hii tumeshindwa kupeleka...
  11. JamiiForums Tanzania Ukiwa na akili kubwa kupata mke au Mume Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe uchague mwenza akili ndogo

    Ukweli mchungu ni kwamba smart potential spouse wapo wachache sana Sokoni Ukiwa na akili kubwa kupata mke Tanzania ni ngumu sana. Mpaka ujishushe ukubali kuoa kilaza Sababu ukiwa na akili kubwa unakuwa una akili ya kumsoma mtu. Pia Kama una pesa umetafuta mwenyewe kwa jasho lako. Maana yake...
  12. JamiiForums Tanzania Alizamia South Africa toka mwaka 1998, amerukwa na akili, sasa anatamani kurudi nyumbani Tanzania

    Mtanzania Anaitwa KARIM HUSSEIN LIMO Huyo Aliesimama Katikati Amezaliwa 1968 Elimu Amepata Shule Ya Msingi Maweni Baba Yake Anaitwa HUSSEIN ABEID LIMO Mama Yake Anaitwa MARIAM MASHIRIMA Kwao Ni Himo, Moshi Aliondoka Tanzania Kuelekea South Africa 1998 Miaka Yoote Hakuwahi Kurudi Tanzania Wala...
  13. JamiiForums Tanzania Ni balozi wa Nchi gani alifukuzwa Tanzania kwa sababu aliwajua waliomshambulia Lissu?

    Nisiwe na porojo nyingi, nadhani wote mmemsikia Lissu akihojiwa kwenye kipindi cha ajenda. Naomba majibu.
  14. JamiiForums Tanzania Nakiri kwamba naendelea kujifunza siasa za Tanzania

    Poleni na misiba mikubwa ya kitaifa. Nikiri kwamba kila siku naendelea kujifunza kuhusu siasa za taifa changa la Tanzania. Mambo makubwa ambayo mpaka sasa nikiri nimeshuhudia yakitokea bila chenga ni kwamba APANDACHO MTU NDICHO HUVUNA, na MWANADAMU HAWEZI KULINGANA NA MUNGU. Nitaelezea mtazamo...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mganga wa Kienyeji kutoka Tanzania na mgombea urais Seychelles kortini

    15 February 2024 Victoria, Seychelles Kiongozi wa United Seychelles, chama kikuu cha upinzani, Dkt Patrick Herminie na mchawi wake kutoka Tanzania Mahakama ya Ushelisheli mnamo Alhamisi ilifuta mashtaka yote ya watu watano kati ya wanane katika kesi ya uchawi iliyokuwa ikiendelea...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Ni muda ya vazi la maasai kuwa vazi la taifa la Tanzania

    Ni lini watanzania tutathamini vya kwetu? Nchi ya Tanzania ni nchi kubwa yenye tamaduni tofauti tofauti kutokana na kuwa na makabila mengi. So suala la serikali kuweka kamati ya vazi la taifa miaka na miaka naona ni ubadhirifu wa fedha za umma. Kwa sababu gani ni ubadhirifu wa fedha za umma ni...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge Deus Sangu: Bodi ya Utalii Tanzania inakabiliwa na Sheria iliyopitwa na Wakati na Uwezo Mdogo wa Kifedha

    Mbunge Deus Sangu: Bodi ya Utalii Tanzania Inakabiliwa na Sheria Iliyopitwa na Wakati na Uwezo Mdogo wa Kifedha "Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha Umeme ya Msongo wa Kilovoti 400. Mheshimiwa Spika, mradi huu unahusisha kandarasi tatu ambazo ni ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme ya...
  18. JamiiForums Tanzania F T: JKT Tanzania FC 0-1 Simba SC | NBC Premier League | Isamuhyo Stadium | 15.02.2024

    Match Day! JKT Tanzania, Wanaialika Simba SC leo kwenye uwanja wa Mej. General Isamuhyo, -Mbweni Dar es Salaam. Mechi itachezwa Majira ya Saa 10:00 Jioni. Jkt wanaingia kwenye huu mchezo wa kukamilisha Mzunguko wa kwanza wakiwa na Points 16. Nafasi ya 12. Wameshinda Michezo 4, Wametoka Sare...
  19. JamiiForums Tanzania Ripoti: 50% ya Waandishi wa Habari Tanzania wameripoti kuwahi kutishiwa, kushambuliwa au kuteswa wakiwa kwenye majukumu yao

    Ripoti ya Utafiti wa Uzoefu na Maoni ya Waandishi wa Habari kuhusu Sekta ya Habari Tanzania imebaini masuala muhimu yafuatayo: 20% ya Waandishi wa Habari wanasema ajira yao ni ya kudumu huku 63% wanasema ni vigumu kupata maisha mazuri kupitia Uandishi wa Habari. Waandishi wa Habari wa Kike...
  20. JamiiForums Tanzania Kuhusu madai ya Mayele kutupiwa majini vs mganga huyu we kienyeji kutoka Kusini mwa Tanzania

    Huko kusini mwa Tanzania kuna mganga mmoja anasifika kwa kutoa dawa za biashara na mapenzi. Sifa ya kipekee ya huyu mganga ni kwamba ukienda kwake kutafuta lets say dawa ya biashara, atakupa dawa ya biashara ambayo atakuelekeza ukaizike eidha kwenye biashara yako au njia panda inayo ingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…