tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 TANZANIA TUITAKAYO: Matumizi ya Sayansi na Teknolojia Katika Uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Utangulizi: Uchaguzi ni Haki ya msingi katika nchi yenye utawala bora ambao ni utawala unaofuata misingi ya sheria, haki, usawa, uwajibikaji, ushirikishwaji, demokrasia katika kuchochea uhuru binafsi katika ushiriki wa wananchi kuchagua viongozi wanaowahitaji na kuwaona wanafaa katika kuwaletea...
  2. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Siasa za Tanzania na utawala wa kesho

    TANZANIA TUITAKAYO: SIASA ZA TANZANIA NA UTAWALA WA KESHO Siasa ni njia ya kufanya maamuzi katika njia tofauti tofauti katika jamii kwa mfano Miji, Taifa au hata dunia nzima, katika demokrasia kila mtu ana kiasi Fulani cha nguvu, Hivyo tunahitaji mwanasiasa awe na ukweli na uwajibikaji kwani...
  3. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: SGR kukuza uchumi wa nchi, kupunguza ajali barabarani iwapo bei za nauli zitazingatia vipato vya wananchi

    Naipongeza serikali kwa ujenzi wa reli ya kisasa,pia kwa kuona kuwa hatuwezi kuendesha reli ya kisasa bila kuwa na umeme wa uhakika na wakaona wajenge Bwawa kubwa la maji la Mwl.Nyerere kwa ajili ya kuzalishia umeme sababu umeme tuliokuwa nao usingetosha kwa matumizi na kwa ajili ya kuendeshea...
  4. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania ya Viwanda tuitakayo

    Mambo yakutekerezwa katika miaka ijayo ndani ya sekta ya viwanda. 1. Kuboresha miundombinu (barabara, umeme, usafiri na maji) pamoja nakufufua viwanda vyote vilivyokufa katika maeneo mbalimbali. 2. Kuwa na sera inayosimamiwa kikamilifu ili kuhakikisha waajiriwa katika viwanda wanapata ujira...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali tuitakayo ni ile itakayoweza kutambua kuwa mahitaji muhimu ya wananchi ni afya, elimu, maji, usafiri, na nishati

    TANZANIA TUITAKAYO Tanzania tuitakayo ni ile ambayo itabana mianya ya rushwa, Rushwa ni tishio kubwa kwa uwajibikaji na utawala bora. Serikali inapaswa kuchukua hatua madhubuti kupambana na rushwa kwa kuweka mifumo ya udhibiti, kukuza uwazi, na kuwachukulia hatua wale wanaojihusisha na vitendo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nyanja hizi muhimu zifanyiwe maboresho kwa maendeleo endelevu

    AFYA: Tanzania kama nchi ni lazima tufanye mabadiliko katika sekta hii ya afya hili tumpunguze adui mkubwa wa umasikini ambaye ni magonjwa kwenye afya katika miaka mitano ijay, sasa kama nchi tufanye mabadiliko sehemu zifuatazo - Huduma ya Afya ipatikane maeneo yote nchini hata vijijini...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania yaongoza kwa Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari kwa Afrika Mashariki

    Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa upande wa Afrika Mashariki. Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97, Kenya...
  8. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia

    Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia Na Alpha Isaya Nuhu Kwa TANZANIA TUITAKAYO miaka 5 au 25 ijayo, hakuna mjadala kwamba nyanja ya sayansi na teknolojia ndiyo itakuwa mhimili utakaotawala maendeleo na maisha ya Watanzania tunaposhuhudia kasi kubwa ya...
  9. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kilimo biashara kitainua uchumi wa nchi na kuondoa umasikini

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za Serikali kuongeza nguvu kwenye kilimo cha uhakika cha umwagiliaji ila dira ya taifa inapaswa kujikita...
  10. JamiiForums Tanzania Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mhe. Dkt. Philip Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akikabidhiwa Kitabu cha Safari ya Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Picha na Balozi wa Tanzania nchini Italia Balozi Mahmoud Thabit Kombo ambaye ni mmoja wa Waandaaji wa Kitabu hicho. Tukio hilo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi kubwa

    Kwa kweli shillingi ya Tanzania inaporomoka kwa kasi ya kutisha dhidi ya sarafu nyingine. Ukitaka kujua kuwa shillingi yetu inaporomoka kwa kasi linganisha bei ya bidhaa kwa leo na ulinganishe na miaka mitatu, miwili na hata mwaka mmoja. Chukua mfano wa nishati ya mafuta. Miaka mitatu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania hatuna self made young & rich, black people, kama kina blord, mompha, na e-money wa kule Nigeria?

    Habarini Case in point ni huyu blord wa Nigeria, huenda wengi humu hamumfahamu, huyu kijana ana miaka 26 tu ni ceo wa kampuni yake ya jetpay kule Nigeria, lifestyle analoishi si mchezo, yani unaona kabisa huyu mtu hafeki life, haya ndo maisha yake halisi, efcc kule Nigeria kuna kipindi...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania yaishukuru IMF kwa msaada wa Dola Milioni 455.3 uliotolewa kwa awamu 3, yafanya tathmini ya kupewa awamu ya 4

    Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulunchemba (Mb), amefungua vikao vya majadiliano kati ya Serikali na Timu ya Wataalam kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) waliowasili nchini kwa ajili ya kufanya tathimini ili Tanzania iweze kupata fedha za awamu ya nne kupitia program ya Extended Credit...
  14. W

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tunatakiwa kutatua matatizo au changamoto zilizokuwa tishio kwa maendeleo ya Tanzania na kuleta mikakati thabiti

    Watanzania wengi tumekuwa na ndoto na malengo ya kutaka Tanzania yetu kuwa yenye maendeleo na vile tuitakayo, baada ya uhuru wa Tanzania mikakati mingi iliwekwa Ili kuletea maendeleo Kwa watanzania. Baba wa taifa mwalimu Julius K. Nyerere aliweka mikakati thabiti Ili kukuza maendeleo Kwa watu...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Corporate Social Responsibility Endelevu

    Uwajibikaji kwa Jamii (CSR) umeibuka kuwa dhana maarufu sana Duniani, Afrika na hususani Tanzania, huku makampuni yakizidi kujishughulisha na shughuli za uhisani. Hata hivyo, Makala hii itakwenda kuonesha uhitajiwa wa mtazamo kamili zaidi wa CSR ni muhimu ili kufikia maendeleo endelevu na yenye...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Watu Waadilifu waingie kwenye siasa

    Inafaa uwepo utaratibu wa kuwatambua watu Waadilifu na wachapa kazi Ili tuweze Kuwahimiza waingie katika siasi Ili baadae wawezi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika inchi hii. Watu wengi ambao ni Waadilifu na wachapa kazi hawataki kuingia katika Siasa na wanaona kama Siasa si kazi yao...
  17. X

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwekeze katika elimu ili kuandaa nguvukazi yenye ujuzi na maarifa

    Utangulizi Tanzania tuna umuhimu wa kufanya mageuzi ya kina katika sekta ya elimu ili kuandaa nguvukazi yenye ujuzi na maarifa kwa ajili ya maendeleo endelevu ya taifa. Ninatoa maono ya kibunifu yanayolenga kuboresha mfumo wa elimu kwa miaka 5 hadi 15 ijayo, yakizingatia mabadiliko ya...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo sio tu ndoto, bali ni dhamira ya dhati ya kila Mtanzania

    Ninasimama hapa leo, siyo kama mtazamaji tu, bali kama mshiriki mwenye shauku katika kuunda Tanzania tunayoitamani. Tanzania Tuitakayo sio ndoto ya mbali, bali ni dira wazi inayoongozwa na maono ya pamoja ya ustawi, amani, na fursa kwa wote. Ni safari ya miaka 5 hadi 25 ya mabadiliko makubwa...
  19. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nchi haiwezi kuwa na maendeleo pasipokuwa na miundombinu rafiki kwa wananchi wake

    Kama ilivyo ada neno miundombinu haliwezi kuwa geni sana kwenye maskio ya watu. Miundombinu ni zile rasilimali ambazo zinapatikana nchini kwa lengo la kuwasaidia wananchi katika kaisha yao. Mfano wa miundombinu ni kama barabara, shule, vituo vya afya nk. Ningependa kueleza ni kwa namna gani...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Rais Samia ndio aliruhusu shughuli za kisiasa kuendelea, kwanini hamkuhoji wakati ule huyu ni Mzanzibari?

    "Jambo hili watu wengi wamelizungumzia huko nje, wapo waliolipotosha na wapo waliokwenda mbali zaidi na kuzungumza yale ambayo ni hatari kwa Umoja wa nchi yetu na mshikamano wa Taifa letu. Nataka niwakumbushe wakati nchi yetu ilipopita kipindi kigumu cha COVID-19 wakati Dunia yote ilijifungia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…