tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Uncle Mabiki

    JamiiForums SoC04 Jambo Moja lenye hisia kwa Tanzania ya kesho hili hapa!

    Asante kwa wewe ulieingia kwenye huu uzi,ili kufahamu ni jambo gani hasa lililobeba maono ya Tanzania ijayo. Kwanini ni jambo ambalo nimelipa jina la hisia basi karibu na tiririka mpaka mwisho Kwa takribani miaka 50 Tanzania imepitia mifumo mbalimbali ya uongozi na uendeshwaji, pamoja na...
  2. ESTHER Mk

    JamiiForums SoC04 Tanzania safi ndiyo tunayoitaka

    Tanzania nchi yangu, nchi inayo kua siku adi siku. Kwenye sekta mbalimbali, wawekezaji, watalii ata watanzania wenyewe tunaongezeka, Mahitaji na matumizi pia. Tushawai kuwaza baada ya matumizi ya vitu kama plastiki, karatasi, na taka nyinginezo zisiwe kero kwaku jikita kwenye kuanzisha...
  3. MALKIA WA TABASAMU

    JamiiForums SoC04 Mmomonyoko wa maadili na maendeleo ya Taifa la Tanzania

    utanguizi. Mmomonyoko wa maadili si neno geni hata kwa sikio jipya. Ki falsafa mmomonyoko wa maadili ni ukiukwaji wa utamaduni mama uliokuwa sahihi ki msingi; ni kinyume na kila utaratibu wa utu. Nachelea kusema, Mmomonyoko huu kuna namna tumekwisha kuuhalalisha kama jamii kwa kisingizio cha...
  4. M

    JamiiForums SoC04 Misingi bora ya malezi, Tanzania bora

    MALEZI YENYE MISINGI YA KUMCHA MUNGU, UWAJIBIKAJI NA KURIDHIKA. Katika miaka ya sasa hivi wazazi wengi wamekua wakijikita sana katika shuguli za utafutaji kiuchumi ili kukidhi mahitaji ya familia zao na kupelekea upande wa malezi kwa watoto kutotiliwa mkazo na wazazi kama miaka ya zamani. Hali...
  5. Gentlemen_

    JamiiForums SoC04 Tanzania mpya yenye matumizi bora ya nishati ya gesi asilia

    KURASA 1: UTANGULIZI Maono ya Serikali hivi karibuni yameonyesha ni jinsi gani imepania kufanya mapinduzi ya sekta ya nishati hapa nchini, rejea maagizo ya viongozi wetu wa juu hasa Mheshimiwa Rais Chanzo: Mwananchi Pia, Rais Samia hakuishia hapo alitoa agizo kwa mheshimiwa Waziri Dkt. Seleman...
  6. secret Keeper

    JamiiForums SoC04 Tanzania we want: A Tapestry of Transformation

    Introduction: In the heart of East Africa, a nation brimming with potential and promise, Tanzania embarked on a remarkable journey towards a brighter future. Driven by the collective aspiration of its citizens, "Tanzania We Want" emerged as a powerful movement, igniting a flame of change that...
  7. S

    JamiiForums SoC04 Mabadiliko makubwa ya Tanzania mpya

    Kuanzia mwaka 2025 hadi 2030, Tanzania imekuwa shuhuda wa mabadiliko makubwa na mafanikio katika nyanja mbalimbali za maendeleo. Hapa chini ni muhtasari wa story changes ambazo zimejitokeza katika kipindi hicho: 1. Uchumi Imara na Kuchochea Maendeleo: Tanzania imechukua hatua kubwa katika...
  8. S

    JamiiForums SoC04 Taswira mpya ya Tanzania kuelekea 2030, katika nyanja tofauti tofauti za kimaendeleo

    Dira ya Tanzania Tuitakayo: Kukumbatia Mustakabali Tanzania inapokaribia enzi mpya, ni muhimu kuweka dira inayotupeleka kwenye mustakabali wa ustawi na endelevu. "Tanzania Tuitakayo" inajumuisha matarajio ya pamoja na mikakati inayoweza kutekelezeka ambayo inaweza kuubadilisha taifa letu katika...
  9. Meneja CoLtd

    JamiiForums SoC04 Umuhimu wa elimu ya ujasiriamali, biashara na fedha kuongeza kipato na kumaliza umasikini Tanzania

    Utangulizi Umaskini ni moja kati ya matatizo yanayofanyiwa utafiti sana duniani, kwa ujumla Umaskini ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya msingi ya binadamu kama vile chakula, maji salama, sehemu nzuri ya kulala, huduma za afya na mavazi kutokana na kukosa uwezo wa kuvinunua. Hii pia inajulikana...
  10. anna gasper

    JamiiForums SoC04 Sowing seed of serenity: cultivating minds for a flourishing tomorrow

    Any progress in a Country starts with its people but in every changing landscape of national development, there is an intangible yet significant barrier to progress, the mental health crisis. As the nation strides towards economic growth, social cohesion, and overall prosperity, the weight of...
  11. O

    JamiiForums SoC04 Namna ya kuboresha elimu Tanzania

    Kumekuwa na mikakati kabambe ya kuboresha elimu nchini Tanzania. Ata hivyo njia hizo bado zinazalisha wahitimu tegemezi kwa serekali katika masuala ya ajira. Hii imepelekea wahitimu wengi kukosa ajira na kuiona elimu kama haina maana. Serikali inaweza kufanya yafuatayo ili kuboresha elimu kwa...
  12. anna gasper

    JamiiForums SoC04 Tanzania tuitakayo, sustainable solution for energy and waste management

    We can see that the biggest problem that is facing our country right now is the production and distribution of energy, which has become a major challenge, especially for communities, businesses, and even various institutions that rely on self-sufficiency through this energy. Inflation in petrol...
  13. B

    JamiiForums SoC04 Kuwekeza kwenye Teknolojia kwa kutumia vyuo vyetu kuyasogelea kwa Karibu Mapinduzi ya Nne ya Viwanda

    Tanzania kama tunavyojiita kuwa ni moja ya Nchi zinazoendelea, hatuwezi kukwepa kujiingiza moja kwa moja kwenye MAPINDUZI YA NNE ya viwanda. Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, ni mapinduzi makubwa ya kiteknolojia ambayo yanaendelea hivi sasa, na yana athari kubwa kwa biashara na jamii kote...
  14. KENGE 01

    JamiiForums SoC04 Nini Wananchi wa Tanzania Wanaweza Kufanya Kuchangia Maendeleo Endelevu?

    Utangulizi. Maendeleo endelevu ya taifa hayategemei juhudi za serikali na viongozi pekee, bali pia yanahitaji ushiriki hai wa wananchi wote. Wananchi wana wajibu wa kuchukua hatua katika nyanja mbalimbali ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii zao na taifa kwa ujumla. Nakala hii inafafanua...
  15. K

    JamiiForums SoC04 Revolutionizing Tanzania: Innovative Solutions for a Brighter Tomorrow

    In the heart of Africa, Tanzania is on the verge of a transformative journey towards progress and prosperity. Let's explore some innovative solutions that could pave the way for a better future for the country. 1. Tech for All: Introducing a nationwide digital literacy program to empower...
  16. K

    JamiiForums SoC04 Tanzania 2029: A Vision for a Thriving Future

    In the heart of East Africa, Tanzania is on the brink of an exciting transformation. Five years from now, the nation stands at a crossroads, ready to embrace a new era of development and progress. As the sun rises on Tanzania in 2029, a bold vision unfolds. The country has harnessed its rich...
  17. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums SoC04 SAUTI YA KESHO: Safari ya Uhuru katika Vyombo vya Habari na Mtandao Tanzania

    MWANZO Tanzania ina fursa ya kujenga jamii iliyo wazi zaidi, yenye demokrasia imara na uchumi endelevu katika miaka 5 hadi 25 ijayo. Uhuru wa vyombo vya habari na mtandao ni nguzo muhimu katika safari hii. Ni dhairi, ulazima wa VPN (japo nayo imepigwa marufuku) ili kupata baadhi ya mitandao kama...
  18. D

    JamiiForums SoC04 Uchumi Endelevu kwa Tanzania yetu

    Utangulizi, Uchumi ni neno lenye maana pana sanaa, ila kwa kifupu uchumi ni jinsi tunavyoweza kutumia rasilimali tulizo nazo kutimiza mahitaji yetu ya kila siku kama mtu mmoja, familia , ukoo, jamii mpaka taifa na kimataifa. Uchumi endelevu ni jinsi ya kutumia rasilimali tulizonazo...
  19. M

    JamiiForums SoC04 Tanzania tuitakayo ni elimu itolewe kwa jamii kuhusu malezi ya watoto hususani Vyuo Vikuu

    Jamii ya sasa imeachia mitandao ya kijamii kulea vijana ni wakati Sasa elimu itolewe juu ya mabadiliko haya ya sayansi na kukua kwa teknologia, vijana wengi wa vyuo vikuu wanatumia mitandao pasipo kujua ni faida zipi na hasara ndani yake. Ni muda Sasa elimu ielekezwe kwa vijana tukizingatia ya...
  20. Jerry Farms

    JamiiForums SoC04 Udhibiti wa Taarifa hasi katika jamii: Adhima kuifikia Tanzania yenye visa sifuri vya Ukatili kwa Wazee

    Idadi ya wazee Tanzania Kwa mujibu wa sensa ya 2022 Tanzania ina jumla ya wazee 7,469,714 chini ya mgawanyo wa wazee 7,294,654 Tanzania bara na 175,060 Tanzania Zanzibar,( Ripoti ya Mgawanyo wa Idadi ya watu kwa Umri na Jinsi Tanzania,2022,Wizara ya Fedha na Mipango). Jedwari: Mgawanyo wa wazee...
Back
Top Bottom