tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Makala juu ya namna Tanzania inavyoweza kutatua changamoto mama katika sekta ya uvuvi nchini

    Tanzania kama nchi inayoendelea kiuchumi, sekta ya uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu inayochangia ustawi na ukuaji wa pato la Taifa, ikiwa ni sekta inayotoa ajira nyingi rasmi na zisizo rasmi kwa wazawa ikiongozwa na sekta ya kilimo. Na Tanzania kama nchi Chini ya mifumo yake tendaji, imekua...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuondoa umasikini kwa Watanzania wengi

    Mmoja ya suala ambalo limekuwa tatizo kubwa ni UMASIKINI ambao umekithiri Kwa kiasi kikubwa Kwa WATANZANIA walio wengi na limekuwa ni tatizo sugu lisiloisha toka enzi hizo. Ili kuweza kupunguza au kuondoa umasikini kabisa ni lazima serikali kupanga na kuweka mikakati iliyothabiti ilikuweza...
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Tuwekeze sasa kwenye mifumo ya uwajibikaji, tuache kutegemea mtu atutatulie shida zetu bali Mfumo ndio utatue

    TUJENGE MIFUMO YA UWAJIBIKAJI, KAMWE TUSITEGEMEE KUWA NA NAMBA ZA OCD AU ASKARI WA USALAMA BARABARANI. Taifa tunapaswa kuwekeza sasa kwenye mifumo imara ya uwajibikaji ili leo na kesho hata kama kiongozi hayupo basi mifumo ifanye kazi, tuweke mifumo tukifikiria kwamba kuna siku viongozi wote...
  4. JamiiForums Tanzania Hafla ya Pili Kitaifa ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujielezea iliyoandaliwa na MISA - Tanzania

    Hafla ya Pili Kitaifa ya Tafakuri ya Uchechemuzi wa Uhuru wa Kujielezea iliyoandaliwa na MISA - Tanzania Mobhare Matinyi Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali. ๐Ÿ—“๏ธ 31 Mei, 2024. ๐Ÿ“ Dar es Salaam.
  5. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)

    Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30 umesainiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania. ==== The concession agreement for 30 years has been signed...
  6. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo vyombo vya habari viache kuajiri watu wasio kuwa na ujuzi wa habari& utangazaji na uandishi

    Tanzania tuitakayo katika miaka mitano ijayo na kuendelea Vyombo vya habari kama vile vituo vya redio, magazeti, na vituo vya runinga, vinapaswa kutoa fursa kwa vijana ambao wana ubunifu& maarifa na ujuzi na badale yake huajiri watu wasio kuwa na taaluma ya uandishi na utangazaji na kuajiri watu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hatuwezi kuboresha Elimu ya Tanzania kama tutapuuzia mambo haya

    Serikali Na wadau wa elim wanajitahidi katika kuweka miundombinu wezeshi ili kuiboresha elim ya Tanzania kuweza kuendana Na Soko la Ajira Ambalo Kwa Kiasi Kikubwa bado Tanzania ipo Nyuma Ukilinganisha Na Nchi nyengine za Afrika. Pamoja na Jitihada hizi Haya Ndio mambo Ambayo Yataendelea...
  8. H

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo katika miaka ijayo ni muhimu mifumo ya Tehama katika sekta Afya isomane kuanzia ngazi ya zahanati Hadi hospitali ya taifa

    Sekta ya Afya hapa Tanzania ni miongoni mwa sekta nyeti ambazo serekali imeweka mkazo katika kufanya maboresho ili kuweza kuboresha utoaji huduma Bora za Afya kwa watanzania. Baadhi ya mifumo ya Tehama ambayo hutumika katika sekta ya Afya ni kama vile " District health management information...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Tindikali ya rushwa Tanzania

    Suala la rushwa na kudhibiti kwake bado kuna ugumu na changamoto kubwa licha ya jitihada zinazofanywa na taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa hapa nchini. Suala la rushwa ni moja ya kikwazo ambacho kinakawamisha maendeleo katika jamii yeyote hile kwani inazuia haki ya watu wengine. kuna mambo...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: Ni muda sasa Serikali kuweka mpango mkakati wa kupendezesha Miji kwa majengo yenye rangi na mazingira yanayofanana

    Wakati Tanzania ikiendelea kujipambanua kuwa Nchi yenye maendeleo na mazingira mazuri ya kuishi, na Jiji lake la Dar es Salaam likijiandaa kuwa Jiji kubwa zaidi (lenye zaidi ya Wakaazi Milioni 10) ifikapo mwaka 2030, nadhani kuna mambo kadhaa muhimu ya kuzingatia kwa ajili ya maendeleo ya Dar es...
  11. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo baada ya miaka sita kufikia 2030 ni kufuta mimba za utotoni na ndoa za utotoni

    TANZANIA TUITAKAYO BAADA YA MIAKA MITANO NI KUTOKEMEZA MIMBA Z A UTOTONI NDOA ZA UTOTONI KWA KUANZISHA NA KUIMARISHA MITANDAO YA KIJAMII NA KISHERIA AMBAYO INASHUGHULIKIA UKATILI WA KIJINSIA, KUFUTA HAKI FULANI ZA KIJAMII AU KISHERIA KWA WAHALIFU WA UKATILI WA KIJINSIA, KAMA VILE HAKI YA KUWANIA...
  12. JamiiForums Tanzania SoC04 The master class in system leadership

    Kikubwa na cha muhimu zaidi kuzingatia, sio yale ya nyuma yalopita bali yajayo na Tanzania yetu hii. Hakuna la kuficha tunaishi kwenye wakati mgumu sana na mambo hayaendi kuwa mazuri huko mbele. Kuendekeza kusifia sifia na uchawa ili kujipatia utajiri, ulinzi wa mali na uhuru wa kifedha KAMWE...
  13. JamiiForums Tanzania SoC04 What if the nation really need is to breathe? We want a properly breathing Tanzania

    You find an idiot complaining about how its life is broken by the society/government/religion/lack of connection etc while they themself can not even do the least like breathing well for oneself! Anyway I am not here to preach to idiots. I am no preacher; I am a researcher. But I know the code...
  14. JamiiForums Tanzania Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana Serikali iangalie namna kuunda Bodi ya Mifuko wa Ajira

    Kutokana na ukosefu wa ajira kwa vijana Serikali iangalie namna ya kuunda Bodi ya Mifuko wa Ajira. Kuundwa kwa bodi ya mfuko wa ajira kutoka kwatika vyanzo mbalimbali vya kodi kutasaidia kupatina kwa fedha za kuajiri wahitimu wengi waliopo mtaani.
  15. E

    JamiiForums Tanzania SoC04 The vision for Tanzania's future, Tanzania tuitakayo

    In the heart of East Africa lies a nation brimming with potential, Tanzania. The vision for Tanzania's future, "Tanzania Tuitakayo," is a story of transformation and progress across various sectors. From education and health to technology, economy, environment, and infrastructure, this narrative...
  16. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yenye neema

    TANZANIA YENYE NEEMA Introduction: Tanzania is beautiful country in world wide that contain beautiful and wonderful national Parks such Mount Kilimanjaro, Mikumi park, Ngorongoro, Serengeti, Sadani, Ruaha, Selous, mount Meru , Also beautiful water bodies such as lake Victoria, lake Nyasa and...
  17. JamiiForums Tanzania SoC04 Je, ikiwa taifa linachohitaji kiukweli ni kupumua? Tanzania inayopumua ipasavyo

    Mimi siyo mhubiri, ni mtafiti. Lakini naijua kanuni, na kanuni hiyo rafiki yangu, ni Neno la Mungu. Bwana MUNGU aiambia mifupa hivi; Tazama, nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi. (1) "Mwenyezi Mungu Amtakaye kumwongoza hukifungua kifua chake kwa kunyenyekea. Na amtakaye kumpoteza hukifanya...
  18. JamiiForums Tanzania Miji midogo midogo Tanzania ambayo ina vibe na fursa za kibiashara lakini haivumi

    Wakuu, Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu. Mimi naanza kama ifuatavyo: 1. MLOWO Huu ni miongoni mwa miji midogomidogo inayokuwa kwa Kasi, ni Mji...
  19. JamiiForums Tanzania Njia ya Kibiti kwenda kwenye laana ya Cabo Delgado

    ๐“๐š๐ง๐ณ๐š๐ง๐ข๐š ๐ง๐š ๐ฆ๐š๐ ๐š๐ข๐๐ข ๐ฒ๐š ๐€๐ง๐ฌ๐š๐ซ ๐š๐ฅ-๐ฌ๐ฎ๐ง๐ง๐š. - ๐๐ฃ๐ข๐š ๐ฒ๐š ๐Š๐ข๐›๐ข๐ญ๐ข ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐๐š ๐ค๐ฐ๐ž๐ง๐ฒ๐ž ๐ฅ๐š๐š๐ง๐š ๐ฒ๐š ๐‚๐š๐›๐จ ๐ƒ๐ž๐ฅ๐ ๐š๐๐จ. - ๐–๐š๐ญ๐ฎ ๐ฐ๐š๐ง๐š๐จ๐ค๐จ๐ญ๐š ๐ฆ๐ข๐ข๐ฅ๐ข ๐ง๐š ๐ฏ๐ข๐œ๐ก๐ฐ๐š ๐ฏ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ฉ๐ž๐ฆ๐›๐ž๐ง๐ข. ๐’๐„๐‡๐„๐Œ๐” ๐˜๐€ ๐Ÿฌ๐Ÿญ: Tarehe 20 mwezi huu wa tano, waziri wa Ulinzi na jeshi la kujenga taifa, Dkt. Stergomena Tax analiambia bunge kuwa hali ya usalama katika...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya PlayOff ya ligi kuu Tanzania bara, unatabiri yapi kutokea ?

    kati ya jkt na tabora atakae shinda nje ndani anarudi ligi kuu, alieshindwa anapewa nafasi nyingine kujipima kwa biashara united, kati yao ataeshinda anapanda ligi kuu, anaeshindwa anashuka Ligi Daraja la Kwanza. ROUND 1 ๐Ÿ•ณ๏ธTabora United vs Jkt Tanzania - 04/06/2024 ๐Ÿ•ณ๏ธJKT Tanzania vs Tabora...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ