tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Je uwezo wa kimaisha wa Tanzania (Purchasing Power) ni mkubwa kuliko Nigeria?

    Naomba kuuliza wachumi, je uwezo wa kimaisha ama kiwango cha kimaisha cha watanzania ni kikubwa kuliko cha wanigeria? Nauliza hivyo kwa sababu nilikua natumia YouTube Premium Service (You Tube ambayo haina matangazo, unaweza ku download video, unaweza kuangalia ama kusikiliza hata screen ya...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Gharama za usafiri Air Tanzania zinatisha

    Habari wakuu Mwisho wa mwezi huu Nina safari ya kwenda MPANDA, kwakua ni safari ya zaidi ya masaa 17 nikaona bora nipande ndege ili nisijichoshe na safari ndefu. Nikaamua nianze mchakato wa kubook ticket mapema 😤 nimekuta gharama yake ni zaidi ya Tsh 700k kwa Mtu Mmoja na hiyo ni kuenda tuu sio...
  3. JamiiForums Tanzania Licha ya Baadhi ya vifungu vya biblia lakini mimi nilipendezwa sana na baadhi ya mifano hai ya watu waliojaaliwa vipawa mbali mbali katika imani hapa

    Salaam Jamiiforum Leo naomba kushare kitu fulani ambacho naamini kitatupa experience kubwa kwa sisi vijana wa kileo kutoka kwenu wana jamiiforum wakongwe na ambao mnajua mambo mengi kwenye nchi yetu hii ya Tanzania. Yapata wiki sasa imepita nilikuwa nahudhuria semina ya Askofu. Mkama wa...
  4. T

    JamiiForums Tanzania "Ni Tanzania tu utasikia biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi" Yerico Nyerere

    "Unaweza usiamini kwamba ni Tanzania tu inatokea kwa mara ya kwanza duniani, kwamba biashara inakufa kwa sababu ina wateja wengi. Yes amini Mwendokasi inakufa huku ongezeko la wateja ni kubwa sana na haina mpinzani ni wao tu Dar nzima. Hivi sisi ni akina nani? sisi ni MANYANI" Anasema Yerico...
  5. JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo tisa muhimu kwa Tanzania niitakayo

    Ili tuweze Kufikia malengo tunahitaji kuwa na juhudi, tuweze kuvuka vikwazo na kukamilisha mipango sahihi. Viongozi wetu waonyeshe dira, pamoja tufanye kazi, tuweze kuzalisha ili tufikie maendeleo. Kuweza kujenga jamii yenye heshima kuna mambo ya msingi ambayo tunapaswa kuzingatia. Tanzania ya...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Transformed: Journey to a Digitally Empowered Future

    I. Awakening the Digital Nation The familiar hum of drones fills the air in Dar es Salaam, seamlessly delivering medical supplies and groceries, bridging the gap between urban centers and rural communities. In the fields, farmers' faces glow under the light of their smartphones as they consult...
  7. 7

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania nimiongoni mwa nchi zinazo endelea kukua kwa kasi sana ili iweze kufikia lengo kati ya miaka 5 mpaka 25 ijayo inatakiwa kuboresha sekta mbali

    Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi sana barani Afrika. Ili kufikia malengo kati ya miaka 5 hadi 25 ijayo, inatakiwa kuboresha sekta mbalimbali. Elimu ni nyanja muhimu sana katika taifa letu. Ili kufikia lengo, inatakiwa mitaala yetu ya elimu iboreshwe ili kumuandaa kijana wa kesho...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia arejea nchini akitokea Afrika Kusini kuhudhuria uapisho wa Rais Cyril Ramaphosa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan, amerejea na kuwasili salama kabisa akiwa mwenye furaha, bashasha na tabasamu katika ardhi ya nchi yake usiku huu akitokea Afrika ya Kusini. Ambako alikwenda kuhudhuria sherehe za...
  9. JamiiForums Tanzania SoC04 Deni la Taifa, Tanzania Linaweza Kupungua Endapo Mifumo ya Maendeleo Itafanyiwa Mageuzi

    Utangulizi Kwa miaka ya hivi karibuni, yaani mwaka 2021 hadi sasa, kumekuwa na mijadala mingi kuhusu ongezeko la deni la Taifa. Miongoni mwa makundi yanayohusika na mijadala hii na hata malalamiko ni yale ya Wanazuoni, asasi za kiraia na ya wanasiasa. Mijadala inajikita katika mambo muhimu...
  10. JamiiForums Tanzania SoC04 Ukasuku wa matabibu katika tasnia ya Afya dhidi ya magonjwa sugu na ya kuambukiza; Suluhisho mbadala katika ujenzi wa Tanzania mpya

    TANBIHI: Nimetumia neno "tabibu" nikimaanisha wataalamu wote wa afya, wanasayansi na wote wanaohusika katika mlolongo mzima wa tasnia ya afya nchini. Neno "tabibu" linaweza kuwa na maana finyu katika Kamusi, lakini kwa madhumuni ya bandiko hili, neno "tabibu" litumie tafsiri niliyoitoa hapo...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania is broken and dead beyond repair . By 2025 tutakuwa Zimbabwe

    What is see in the government decisions . I have never seen it in the past 20+ years of. My life . This is probably the most corrupt government and worst government in the world . May be worse than Mexico and more corrupt than Ukraine . I have seen foreign corruption before . Now things are...
  12. JamiiForums Tanzania Wa Kawe Tanzania analndwa kwakuwa anakula na aliye Bungeni, wa Fedha, Juha wa Arusha na ni Mganga pia wa Queen Sheeba wa Baharini

    Lamor Whitehead, mhubiri wa New York, Marekani, maarufu kutokana na maisha yake ya kifahari, amekutwa na hatia kwa makosa ya kutumia nafasi yake kama kiongozi wa dini kuwalaghai watu pesa ili kugharamia maisha yake ya kifahari. Maafisa wanasema alitumia pesa za waumini wake kununua vitu...
  13. JamiiForums Tanzania Personal Assistant to a Senior Diplomat at Embassy of Japan in Tanzania

    GENERAL INFORMATION 1. Position title Personal Assistant to a Senior Diplomat (There is only one post available.) 2. Period of performance ・One year (renewable. Subject to a three-month probationary period.) ・Full time (40 hours /week) 3. Working hours 7:30 to 16:30 (Lunch break: 12:30 to...
  14. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Bila Rushwa: Safari ya Kujenga Taifa Bora

    Tanzania, kama nchi nyingine nyingi, imekumbwa na changamoto ya rushwa kwa muda mrefu. Hata hivyo, inawezekana kufuta kabisa tatizo hili kwa kutumia mikakati madhubuti. Mataifa mbalimbali, hasa barani Afrika na kwingineko, yameweza kupiga hatua kubwa katika kupambana na rushwa, na Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania SoC04 Comprehensive approach to address health challenges in Tanzania over the next decades

    Introduction. Tanzania, like many other developing countries, faces a unique set of health challenges. In order to address these issues, the comprehensive approaches that consider the social, economic, and political determinants of health are necessary. This article will explore the current...
  16. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo tunahitaji kutunga na kutekeleza sera na sheria zinazosimamia sekta ya ICT ili kuhakikisha usalama wa mtandao na haki za watumiaji

    UTANGULIZI Kuboresha sekta ya teknolojia ya habari na mawasiliano (ICT) ni muhimu katika kufikia Tanzania tunayoitaka kwa miaka 25 ijayo na ya sasa. Yafutayo ni maelezo ya kina kuhusu jinsi ya kuboresha sekta hii: Uwekezaji katika Miundombinu ya ICT: Tanzania y tutakayo inahitaji kuwekeza...
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuelekea Taifa Bora: Hatua za Kuokoa Maadili kwa Vijana wa Tanzania

    Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana ni tatizo linalozidi kuongezeka duniani kote, na Tanzania haijaachwa nyuma. Hali hii inaweza kudhoofisha maendeleo ya taifa kwa kuathiri tabia, maadili, na utulivu wa kijamii. Ili kuepuka athari hizi mbaya na kuhakikisha taifa bora kwa miaka ijayo...
  18. JamiiForums Tanzania SoC04 Kuimarisha Uchangiaji Damu Tanzania kupitia Mfumo wa Tehama: Suluhisho la Changamoto za Upatikanaji wa Damu Salama

    Utangulizi Uchangiaji damu ni kitendo muhimu cha hisani ambacho huokoa maisha ya wale wanaohitaji damu. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mahitaji ya damu yanakadiriwa kuwa asilimia moja ya jumla ya idadi ya wananchi. Kwa Tanzania, hii inamaanisha chupa za damu 550,000 zinahitajika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo kwa miaka 5 - 25 ijayo katika nyanja ya utawala bora, elimu na afya kwa Watanzania wote

    Kwanza kabisa nianze kwa kumshukuru sana MWENYENZI MUNGU atupaye afya,nguvu,neema na kibali siku hadi siku kwenye majukumu yetu yote. Pili nitumie uwanja huu kulishukuru jukwaa la Jamiiforums kwa namna yao ya pekee sana wanavyoelimisha jamii katika nyanja zote za maisha. Tatu na mwisho...
  20. JamiiForums Tanzania SoC04 Matumizi fanisi katika teknolojia ya kidijitali ili kuchochea ukuaji wa mfumo wa elimu Tanzania (e-Student App)

    UTANGULIZI. Taifa lolote ili liendelee linahitaji watu ambao watapandikizwa elimu sahihi, Elimu sahihi inajengwa na mfumo bora wa elimu. Kulingana na ulimwengu tuliopo sasa ili kupiga hatua tunahitaji matumizi ya sahihi ya kiteknologia katika mfumo wa elimu ili kuchochea ukuaji wa elimu yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…