tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa mwanasiasa mwenye nguvu hapa Tanzania ni Job Yustin Ndugai ukimya wake unakishindo kikubwa sana tusubiri!

    Huyu ni mtu kweli kweli ! Ameamua kufunika kombe ,haongei chochote na hachangii chochote ,amefumba kinywa ! Fisi wanajua wamemkomoa na Kuna wengine wanaona kama amekuwa failed! Huyu mtu hata wabunge wanamwita baba ! Kokote alipo asikubali 2025 kukaa kimya tutampeleka ikulu saa 2 asubuhi
  2. D

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoungana ni Tanganyika na Zanzibar, kwanini Zanzibar ipo na sisi ni Tanzania bara, kwanini wasioitwe Tanzania Visiwani?

    Muungano wetu ni wa nchi zilizokuwa Tanganyika na Zanzibar. Leo hii viongozi wanaogopa na kuona aibu kutaja Tanganyika ila wazanzibari wanaona fahari kuitaja Zanzibar, wana bendera yao, wimbo wao wa Taifa, wana bunge lao, Rais wao, serikali yao, mahakama zao. Kwa mujibu wa katiba ya jamhuri ya...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mikate bora zaidi Tanzania

    Katika kula kwangu mikate nchi hii sijawahi kuona Mikate iliyo bora zaidi ya Supa Loaf, Sunkist na ile ya Iringa inayouzwa kwenye magari. Hii mikate inahitaji heshima nchi hii kwa sababu ina hadhi zote za kuitwa mikate, kuanzia ladha, harufu, ujazo sahihi wa unga hadi ulaini.
  4. the_eye

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Kidemokrasia unaonekana kufeli Tanzania

    Mifumo mitatu ya kiutawala watu wengi hawajui au hujitoa ufahamu kwa sababu tu wana AMRI ya kutiisha majeshi yanayowazunguka. Wakisahau kuwa hao wanajeshi wanao walinda sisi wananchi ni ndugu zao ni kaka zao baba zao na mama zao wajomba na shangazi. Wanajeshi, polisi na idara zote za ulinzi na...
  5. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Kenya sasa hata Tanzania yalishawahi kutokea, VIJANA 2000 SOMENI HII

    Kinachotokea Kenya sasa baadhi wa Watanzania wanawasifu raia wa Kenya Kuwa wameelimika zaidi kudai haki zao kuliko wa Tanzania. Wanaosema hivyo labda wamezaliwa miaka ya 1999 kuja 2000. Tanzania 🇹🇿 walifanya haya wanayofanya Kenya 🇰🇪 miaka 23 iliyopita . Yaani Mwaka 2001 Chama Cha Wananchi...
  6. Genuine mello

    JamiiForums Tanzania What is the meaning of this dream?

    To any spiritual teacher/any person, please can you tell what's the meaning of this dream. I received this dream from Dm in my Twitter (X) account please help a brother "Hello brother G, i hope u doin gudie, can you pls find a person to give the meaning of this dream? I dreamt that i have a...
  7. Bahati Yakigulu

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mtazamo mpya katika tasnia ya sanaa baada ya miaka mitano

     IKISIRI Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha mawazo yaliyo katika fikra za binadamu. Kwa mujibu wa Mulokozi (2017), anaianisha aina tatu za Sanaa ambazo ni sanaa ghibu (Muziki na mashairi), sanaa za maonesho (uchoraji, ususi na ufinyanzi) na Sanaa za vitendo (maigizo na tamthiliya). Katika andiko...
  8. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Seoul yasaini Mkataba wa Kujenga Bandari ya Uvuvi Zanzibar

    Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ya Zanzibar imesaini mkataba wa ushirikiano na wizara ya bahari na uvuvi ya Jamhuri ya Korea kwa ajili ya utafiti wa uwezekano wa kujenga bandari ya uvuvi na maendeleo ya miundombinu ya uvuvi Zanzibar. Wakati wa hafla ya kusaini mkataba iliyofanyika katika...
  9. T

    JamiiForums Tanzania SoC04 Diagnosing Early and Minimizing the increase of Non-Communicable Diseases in Tanzania as a means of Ensuring a healthy workforce and reduction of heal

    The WHO reports that non-communicable diseases (NCDs), including heart disease, stroke, cancer, diabetes and chronic lung disease, are collectively responsible for 74% of all deaths worldwide. In Tanzania DHIS-2 data indicates a 9.4% increase in heart disease and blood pressure cases from...
  10. Humble beginnings

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania mpya: Nchi yenye Kilimo cha Kisasa chenye Tija kinachovutia Ushiriki Wa Vijana

    Utangulizi Kilimo ni sekta muhimu sana katika uchumi wa Tanzania. Sekta hii huchangia takribani 27.6% ya pato la Taifa (GDP) la Tanzania, ikithibitisha umuhimu wake mkubwa kiuchumi (Benki ya Dunia, 2020). Kilimo pia huajiri takribani 65% ya nguvu kazi ya nchi, hasa katika maeneo ya vijijini...
  11. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali iwe na jicho la tatu katika biashara ya uingizaji wa bidhaa toka nje ya Tanzania

    Nashukuru sana kupata nafasi ya kushiriki kwenye Stories of change. Nimekuwa nikitoa maoni yangu kwenye mtandao wa X kwamba Serikali inaonaje kama ingeshusha ushuru wa kuagiza bidhaa toka nje ya Tanzania. Hapa namaanisha bidhaa kama magari, mashine na vifaa vyote vya kielectronic; bidhaa hizi...
  12. Tranquilizer

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kusaidia kuleta maendeleo kwa wananchi wa Tanzania

    Kuleta maendeleo endelevu nchini Tanzania kunahitaji juhudi za pamoja kutoka kwa serikali, sekta binafsi, asasi za kiraia, taasisi za elimu, na wananchi wenyewe. Hapa kuna baadhi ya hatua muhimu ambazo zinaweza kuchukuliwa ili kusaidia kuleta maendeleo kwa wananchi wa Tanzania: Kuwekeza katika...
  13. Tranquilizer

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuikayao: Mbinu zinazoweza kusaidia kuboresha hali ya Tanzania

    Tanzania, rasmi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni nchi iliyoko katika Afrika Mashariki. Inajulikana kwa mandhari yake ya kuvutia, utamaduni mzuri, historia yenye kina, na watu wenye ukarimu. Nchi hii ina eneo kubwa la ardhi pamoja na vivutio vingi vya kipekee ambavyo huvutia watalii kutoka...
  14. Tranquilizer

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania inaendelea kufanya kazi kuboresha maendeleo ya wananchi wake

    Tanzania, rasmi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ni nchi iliyoko katika Afrika Mashariki. Inajulikana kwa mandhari yake ya kuvutia, utamaduni mzuri, historia yenye kina, na watu wenye ukarimu. Nchi hii ina eneo kubwa la ardhi pamoja na vivutio vingi vya kipekee ambavyo huvutia watalii kutoka...
  15. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Akili bora, Tanzania bora!

    Khatib ni kijana mwenye umri wa miaka 27 aliyeweza kusoma na kuhitimu katika chuo kimoja jijini dar es salaan na kutunukiwa shahada ya uhandisi. Katika safari ya kuanza ajira yake na hapo aliweza kutumika katika kampuni isiyo ya kiserikali. Baada ya muda kadhaa Khatib alianza kuonyesha dalili...
  16. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kero za nchi yetu (Tanzania) tuziondoe namna hii

    UTANGULIZI Tanzania ni miongoni mwa nchi kubwa(kwa eneo na idadi ya watu) barani Afrika.Ni nchi iliyojaliwa rasilimali nyingi na za kutosha,imejaliwa kuwa na watu wenye akili na vipaji.Aidha Tanzania ni kisiwa cha amani.Pamoja na utajiri huo ,bado nchi yetu inachangamoto lukuki.Umasikini,ukosefu...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tutegemee athari zipi kiusalama nchini Tanzania baada ya Rais Ruto kutangaza Hali ya hatari?

    Salaam,Shalom!! Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa nguvu na namba. Swali: Tutegemee athari gani kiuchumi,Kijamii, na hasa KIUSALAMA mipakani Kwa siku...
  18. YHWH

    JamiiForums Tanzania SoC04 Hatua Muhimu za Kuchochea Maendeleo ya Kiteknolojia Tanzania kwa miaka 10 hadi 20 ijayo

    Utangulizi Tanzania imekuwa ikishuhudia maendeleo ya kiteknolojia kwa kasi katika miaka ya hivi karibuni. Katika miaka 10 hadi 20 ijayo, nchi inaweza kuwa imefikia kiwango kikubwa cha maendeleo ya teknolojia ikiwa itazingatia na kuwekeza katika maeneo haya makuu yafuatayo. Miundombinu ya...
  19. Mr Looser

    JamiiForums Tanzania SoC04 Njia za Ukusanyaji mapato na uandaaji wa bajeti bora katika Tanzania TUITAKAYO

    Njia Tano Bora za Ukusanyaji Mapato Bila Unyonyaji kwa Mwananchi 1. Matumizi ya Teknolojia na Mfumo wa Kielektroniki: -Ushuru wa Dijitali: Kutumia mifumo ya kielektroniki katika ukusanyaji wa ushuru ili kuboresha uwazi na kupunguza rushwa. Hii inaweza pia kupunguza gharama za ukusanyaji wa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dunia inapoeleka na matumizi ya mitandao Tanzania ichukue hatua ni muda sasa kuwa na tume ya kudhibiti uhalifu mitandaoni

    Matumizi ya mitandao ya kijamii sasa yanaongezeka kwa kasi Duniani na kufanya kila mtu kuwa rahisi kuwasilina na kujua vitu vinavyoendelea Duniani. Takwimu zinaonesha kuwa watu bilioni 4.7 kote ulimwenguni wanatumia mitandao ya kijamii ambapo ni sawa na asilimia 59 ya watumiaji. Kwa mujibu wa...
Back
Top Bottom