tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Athari Za Kuwa Chini Ya Utawala Wa Aina Moja Kwa Muda Mrefu

    Wakati nchi inapoongozwa na chama kimoja cha kisiasa kwa muda mrefu, hata ikiwa ni kwa njia ya kidemokrasia, hatari kadhaa zinaweza kujitokeza: Kudhoofika kwa Demokrasia: Utawala wa muda mrefu wa chama kimoja unaweza kudhoofisha demokrasia kwa kupunguza ushindani wa kisiasa. Bila upinzani...
  2. JamiiForums Tanzania Mauaji ya ajabu ajabu Afrika Mashariki ni kiashiria cha kuingia ugonjwa wa "serial killer"?

    Serial killers ni watu wanaofanya mauaji ya zaidi ya mtu mmoja kwa minajili ya kujipatia furaha tu, mauaji yao mara nyingi huwa yanalenga kundi fulani la watu mfano wanawake, watoto, watu wa rangi fulani n.k Aina hii ya mauaji imekuwa maarufu zaidi katika nchi za magharibi ikihusishwa zaidi na...
  3. JamiiForums Tanzania Mpira wa Tanzania unaendeshwa na wahuni, lililotokea Yanga Magoma yupo sahihi!

    Mpira wa bongo umejaa wahuni ndio maana vilabu vinaongozwa na vibaka tu, wenye uwezo wa kununua suti na kupata sapoti ya watu wenye pesa kuongoza hivyo vilabu. Juzi kati Simba watu wamebadishana uongozi kama vile wachezaji wanabadishana jezi au mbio za vijiti, hapo akitokea mtu mwenye kichaa...
  4. JamiiForums Tanzania Ni chuo kipi hapa Tanzania kinatoa Bachelor ya Electronics & Radar Engineering?

    Wadau na wana familia wa JF , naombeni msaada kwenye hili. Naomba kujua chuo gani hapa tanzania kinatoa kozi ya radar engineering ngazi ya degree.
  5. JamiiForums Tanzania Ni aibu kwa taasisi kubwa kama Yanga kuidharau na kuidhihaki Mahakama ya Tanzania kiasi hiki

    Sitawapotezea muda wenu kuwaelezea umuhimu wa taasisi ya Mahakama katika jamii na nchi yoyote ile. Hii taasisi ina heshma yake ambayo haitakiwi mtu au taasisi yoyote kuichezea, kuidhihaki, kuidharau wala kuitukana. Kwa hiki kinachoendelea siku hizi mbili na kauli za viongozi wa Yanga akiwemo...
  6. JamiiForums Tanzania Kesi ya Magoma dhidi ya Yanga imedhihirisha umbumbumbu wa wanasheria wa Tanzania

    Mwanasheria/ Jaji mzuri ni yule anae paswa kutazama sheria kama inavyo paswa kuwa na sio kama ilivyo andikwa. Lakini hii haipo kwa wanasheria wa Tanzania. Wengi hawana busara. Wanakariri vifungu vya sheria na procedures tu. KWA mfano: Kwa mujibu wa sheria za Tanzania. Mtu mzima ananzia...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huyu ndiyo waziri anayetupa majibu kuwa hakuna uchaguzi wa haki hapa Tanzania

    Ukweli ufichwi mtaficha nyie hapa JF ila kumbuka hupo sehemu hata jf uwezi kuwepo. PIA SOMA - Kuelekea 2025 - Nape asilaumiwe, hata Rais Samia aliwahi kunena kauli inayoendana na yake
  8. JamiiForums Tanzania Mbona Maafisa wa Habari wa Timu za Tanzania zilizoshiriki 'Kagame Cup' ya mwaka huu hawatuambii imekuwaje 'Wametepeta' mapema sana?

    Itasaidia sana kama wakisema kile Kilichowaponza ili Vilabu vingine vya Simba, Azam na Yanga vijifunze kwa baadae.
  9. JamiiForums Tanzania Martin Maranja Masese: Vipindi vya redio hapa Tanzania vinaharibu fikra na mitazamo yetu wasikilizaji

    Nimeisoma hii twit yake huko X naona kuna ukweli wa wazi kabisa.. God have mercy on US, tunatengeneza jamii isiyokuwa na fikra chanja na upembuaji wa mambo MTAMBUKA kwa nchi yetu. Hii hapa twit yake; "Taifa ambalo redioni asubuhi hadi mchana wanajadili michezo. Mchana hadi jua linapozama...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Eng. Hersi hatakiwi Yanga kwa Sasa? Jibu Hili Hapa

    Nakumbuka toka mwaka 1995 kuna huyu mzee Juma Magoma amekuwa na migogoro ndani ya club ya Yanga Afrika. Huyu mzee Magoma anadai anaipinga katiba ambayo alikuwepo na kukubali ipitishwe, ila ameonekana anatengwa kwenye meza ya mfalme, wakati wa uongozi ndg George Mpondela aliwahi kuleta vurugu...
  11. JamiiForums Tanzania Siasa za Tanzania kwa saizi ni huru na haki mama Samia mitano tena

    Binafsi nina imani na tume ya uchaguzi,nina imani na mahakama,nina imani na serikali, nina imani na uongozi huu wa Mh Samia suluhu Hassani . Nimeshuhudia maboresho mengi ya mifumo sasa Tanzania iko shwari. Hapa sasa nimeamini ule msemo wa mabadiliko mtayapata ndani ya CCM . Naimani 2025 Mama...
  12. JamiiForums Tanzania Simba na Yanga ni timu za wanachama au matajiri wafadhili kwa sasa?

    Kuna kitu kinachanganya kuhusu hizi timu za Kariakoo, Kwa muda mrefu nilikuwa naona Simba na Yanga kama zilikuwa timu zinazomilikiwa na wanachama ,baada ya timu zote mbili kufanya kile wanaita mabadiliko ya mfumo ni kama zimetwaliwa na matajiri kwa sasa na wao ndio wamiliki na waendeshaji wa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Donald Trump Pamoja na kupigwa Risasi na Kujeruhiwa lakini hapiti kwenye vyombo vya habari kuichafua Marekani kama alivyofanya Lissu kwa Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Tuna mengi sana ya kujifunza katika tukio la kupigwa Risasi na Kujeruhiwa kwa Mheshimiwa Donald Trump,Rais Mstaafu wa Marekani na mgombea Urais kupitia chama cha Republican mwishoni mwa Mwaka huu. Imeonyesha namna wenzetu walivyo wazalendo kwa nchi zao,kukomaa...
  14. JamiiForums Tanzania Tulipo Tanzania na Tunakoelekea....Amkeni...!!

    HABARI ZA MUDA HUU WATANZANIA WENZANGU NIMEKAA NA KUTAFAKARI SANA JUU YA MSATAKABARI WA HII NCHI YETU LAKINI SIONI MATUMAINI YEYOTE. TUNAVYO VYOMBO VYA SERIKALI KAMA VILIVYO AINISHWA KATIKA IBARA YA 4 YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA YA 1977, AMBAVYO NI:- 1. BUNGE LA JAMHURI YA...
  15. JamiiForums Tanzania Tupeane connection ya viwanda vinavyo patikana Tanzania

    Habari Wakuu naomba tupeane Connection ya viwanda vidogo au vikubwa vinavyo zalisha bidhaa tofauti tofauti Kwa hapa Kwa hapa nyumbani Tanzania. Kwahyo unaweza kutaja jina la kiwanda na wapi kinapatikana na aina ya products inayo zalisha Hii itasaidia Kwa wale wafanya biashara wanao taka...
  16. JamiiForums Tanzania Tupeane connection ya viwanda vinavyo patikana Tanzania

    Habari Wakuu naomba tupeane Connection ya viwanda vidogo au vikubwa vinavyo zalisha bidhaa tofauti tofauti Kwa hapa Kwa hapa nyumbani Tanzania. Kwahyo unaweza kutaja jina la kiwanda na wapi kinapatikana na aina ya products inayo zalisha Hii itasaidia Kwa wale wafanya biashara wanao taka...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania mgombea Urais huru inawezekana kama ilivyowezekana Rwanda. Tujitafakari!

    Salaam, Shalom! KATIBA yetu ya nchi IPO wazi kabisa kuwa, HAKI ya kuchagua inaenda sambamba na HAKI ya kuchaguliwa. Yaani HAKI ya mgombea nafasi yeyote katika ngazi yeyote kisiasa, haipasi kuminywa ndani ya vyama vya siasa pekee. Jambo hili la kuminya HAKI ya kuchaguliwa, ndio hasa kitu...
  18. JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania (MAT): NHIF walikiuka makubaliano ya kamati ya kitita cha mafao cha mwaka 2023.

    MREJESHO WA KIKAO CHA DHARURA KATI YA NHIF NA CHAMA CHA MADAKTARI TANZANIA- MAT Utangulizi, Tunapenda kuwafahamisha madaktari nchi nzima kuwa mnamo tarehe 10/07/2024 tulipokea barua ya mwaliko kutoka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya-NHIF yenye kumb.Na.EA35/269/01A/184,lengo kuu likiwa kufanya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania The future of business in tanzania: “the need for comprehensive tax reform”

    Introduction Tanzania's current tax regime, characterized by a multitude of taxes and high rates, poses significant challenges for businesses and individual entrepreneurs. The array of taxes includes Import Duty (25%), VAT (18%), Excise Duty (10%), Rail Duty (5%), Corporate Tax (30%)...
  20. JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania wana vipaji sana! Wanaweza kubaini matokeo kabla hayajatukia.

    Huyu "alimtabiria" Mbowe kutokushinda uchaguzi kiti cha ubunge Jimbo la Hai 2020 na ikawa hivyo!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…