tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025

    Baada ya kuwasikiliza wakazi na viongozi hawa wa tarafa ya Ngorongoro, nimegundua yafuatayo: 1. Kuna agenda mbaya ya siri dhidi ya Wamasai hawa wa Ngorongoro inayofanywa na serikali ya CCM chini ya Rais Samia Suluhu Hassan. Wanaiuza ardhi ya Ngorongoro kwa waarabu? 2. Kumbe wakazi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Jiji la Adis ababa sasa halishikiki Africa! Mtanzania atamani maendeleo hayo yangekua yanatokea Tanzania

    Kutoka kwa kijana machachari Abi ahamed Jiji la Adis Ababa limegeuzwa kuwa jiji la kimataifa kwa kuliwekea international standard Abiy anadai Lengo ni kuifanya Adis ababa kitovu cha usasa na miundo mbinu ambayo haipo popote pale Africa. Asilimia 90% ya vitu vilivyotumika katika ujenzi...
  3. JamiiForums Tanzania Vyuo vya tanzania havina uwezo wa utanuzi wa mawazo mpaka kwa wanao wafundisha

    Vijana wamemaliza vyuo lakini ukiwangalia ni kama wameingia chuo kujifunza. Nina kijana kasomea IT mtoto wa ndugu yangu yani hakuna lolote kama kazubaa. Mwengine jirani yangu kasomea uhasibu hakuna la maana kwenye ofisi ni shot kwenda mbele.
  4. JamiiForums Tanzania Mazingira na hali ya siasa ya Tanzania imeimarika na kuboreshwa mno katika awamu ya sita ukilinganisha na kipindi kilichopita

    Kwamba sasa mazingira ya kufanya kazi za siasa ni sawa, lakini kuna uhuru wa kufanya siasa bila mipaka, vizuizi wala vipingamizi ilimradi tu kufuata na kuzingatia sheri na kuzitii bila shuruti, kiburi au ukaidi... Uhuru kwa vyama vya siasa kukusanyika kufanya mikutano ya ndani na ya hadhara...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna huduma za kuchangia mbegu?

    Mimi nauliza tu, Hivi Tanzania kuna sehemu Ke au Me anaweza kuchangia mbegu au yai ili kupata mtoto bila wazazi kukutan kimwili?
  6. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Tanzania ni maskini wajao sema hawajajua tu

    Hakuna maisha watu ukiwauliza huko USA wanaweza kulaumu kama wasanii wa huko. Wengi wanakwambia huku wakijua majuto mbeleni na hakuna mwenye ukweli. Ila wasanii wengi wameishia kuishi maisha ya ya kawaida kama wengine japo kudanya tu fake life
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna siku Tanzania itafanyika uchaguzi wa huru na haki?

    Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na maelewano kwa wanasiasa Tanzania. Je, hiyo ni dalili ya uchaguzi wa huru na haki?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Questions asked in interviews for Tourism Officer II

    What are various questions usually asked in tourism officer interviews?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tuko Busy na vita ya ukraine, yanga, simba, kuwahoji viongozi faida ya madini, bandari, wala hatutaki tunawasifu na kuwachekea,

    Hawa Akina Lissu, na wenzake na wapinzani wengine wote tuwaunge mkono, Tusikubali wanyanyaswe, tupaze sauti ya haki Kwa watu wetu, Tubadilike tuwe kizazi cha kuhoji mara Kwa mara, tuhoji mapato yatokanayo na rasilimali zetu yanafanya nini miaka yote ya uhuru, Tuhoji mapato viwanja vya ndege...
  10. JamiiForums Tanzania Simba & Yanga ni Dini Mpya Tanzania

    Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na imani za watu. Ila nimekuja kueleza kuwa hizi team zimekua na nguvu ya dini kwa sasa. Soka ndio mchezo...
  11. JamiiForums Tanzania Simba & Yanga: Dini Mpya Tanzania

    Jambo jipya kutokea haimaanishi lile la kale lazima liwe limepotea au limekufa, hivyo naamini nitaeleweka kuwa huu uzi haujamaanisha kuwa Simbana Yanga zimekuwa mbadala(replacement) wa dini na imani za watu. Ila nimekuja kueleza kuwa hizi team zimekua na nguvu ya dini kwa sasa. Soka ndio mchezo...
  12. JamiiForums Tanzania Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

    Kuweka kumbukumbu sawa akiwa miongoni mwa wabunge kwenyr bunge la katiba awamu ya Jk ,Makonda alipongeza uwezo wa Samia Suluhu Sahan kusimamia bunge la katiba kama naibu spika.lakin pia aliona maona na kuyasema nanukui ikipenda uko mbeleni huyu mama aje awe makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano...
  13. JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari wa Tanzania mnajisikiaje hakuna hata Mmoja wenu aliyechukua Tuzo huko Mkutanoni SADC leo alikoenda 'Mama' yenu Mpendwa?

    Yaani Tuzo zote za Categories za Radio, Television na Print zimeenda kwa Waandishi wa Habari wanaojua nini wanakifanya na wasio Wapumbavu, Wanafiki na Waongo wa nchi za Angola, Lesotho, Namibia, South Africa, Malawi na Zimbabwe, ila cha Kusikitisha wala hakuna kutoka Tanzania. Hii ni Aibu kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Kufungua kiwanda Tanzania ni gharama kuliko kuagiza nje, sera ya Tanzania haisapoti viwanda vya ndani

    Nimemsikiliza balozi wa Uingereza nchini Tanzania anayemaliza muda wake David Concur anasema wazalishaji wengi wa Tanzania wanashindwa kulihudumia soko la ndani kwa sababu bidhaa za kuagiza ni nafuu zaidi. Hii inasababisha viwanda vichache kufunguliwa na kupelekea upungufu wa ajira. Mfano...
  15. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara Ujerumani vs Tanzania

    Ukisikia barabara inajengwa ndio hivi sio zile zenu za moram na kushindiliwa tu, hii barabara hata ikae miaka 200 bado utaikuta hivyo hivyo sio hizi za hapa Tanzania miezi tu hakuna kitu. USSR
  16. JamiiForums Tanzania Kwanini wapiga kura wa Sugu hawajaenda kumuona ila wanaomuona ni majasusi wanaowakilisha nchi zao Tanzania?

    Masaa machache tuliambiwa na kuwekewa picha sugu kalala hoi kitandani, dakika chache baadae, Sugu mzima,.tena kasimama kapiga picha na Balozi wa Marekani
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walimu wa Tanzania wako wapi? au wao wana maisha mazuri sana? Kenya wanakiwasha

    KEnya Walimu huu unaweza kuwa ni mgomo wao wa pili ndani ya huu mwaka mmoja. Hawa wako serious sana na maisha yao hawako kwa ajili ya kufurahisha mtu. Walimu Wakenya hawana muda wa kujikomba, kujipendekeza, na kumlamba Ruto miguu, hawa huwezi watoa Shuleni eti wakamshangilie Ruto uwanjani...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Ridhiwani Kikwete afanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE) Bi. Ndomba Doran aliyeongozana na Meneja wa Kanda ya Kati wa ATE, Bw. Leonard Mapha...
  19. JamiiForums Tanzania Moja kati ya miradi ya kimkakati nchini Tanzania ni pamoja na mradi wa Daraja la Magufuli almaarufu daraja la Kigongo Busisi linalopita juu ya ziwa

    Moja kati ya miradi ya kimkakati nchini Tanzania ni pamoja na mradi wa Daraja la Magufuli almaarufu daraja la Kigongo Busisi linalopita juu ya ziwa Victoria linalounganisha jiji la Mwanza na mikoa ya Geita, Kagera na nchi jirani kama Uganda, Rwanda na Burundi. Mradi huu umefikia asilimia 90%...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA ni chama gani kinakubalika na kuaminika zaidi kwa wananchi Tanzania kwa sasa?

    Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vijiji, ni chama gani kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA, unadhani kinaweza kuibuka kidedea kwenye mitaa na vijiji vingi zaidi ya kingine hiyo November 27.2024? Na je, hicho kinaweza kutumika kama kipimo cha kukubalika kwao kisiasa na wastani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…