Kuna chuki naanza kuiona inapandikizwa ndani ya Tanzania, kitu ambacho siyo kizuri kwa mstakabali wa nchi yetu, kilichotokea Mbeya ni mfano mdogo tu wa kundi la watu wengi wanaoamuliwa cha kufanya au kufuata na kikundi cha watu wachache, huwezi kumlazimisha binadamu apende asichokitaka, hata...