tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kuruta 131 wafukuzwa shule ya polisi Tanzania kwa utovu wa nidhamu

    Vijana 131 kati ya vijana 3,698 waliokuwa kwenye mafunzo ya awali ya askari polisi kwenye shule ya polisi Tanzania zamani ikiitwa CCP ,wameshindwa kuendelea na masomo baada ya kufukuzwa shuleni hapo kutokana na makosa mbalimbali ikiwamo ya utovu wa nidhamu. Hayo yamo kwenye Taarifa ya mkuu wa...
  2. JamiiForums Tanzania Basi la Klabu ya JKT Tanzania lapata ajali, Wachezaji 12 wapo chini ya Uangalizi

    Kikosi cha timu ya soka ya JKT Tanzania, kimepata ajali baada ya basi lililowabeba kuacha njia na kuanguka mtaroni majira ya saa 1:00 asubuhi leo na kusababisha maumivu kwa baadhi ya wachezaji na wafanyakazi wengine. Basi hilo limepata ajali likiwa linatokea jijini Dodoma kucheza mechi ya NBC...
  3. JamiiForums Tanzania Zijue kazi 16 za kishenzi ambazo zalipa mapesa Ulaya na Marekani na ambazo kwa waafrika waweza kuziiga na kuzifanya Tanzania.

    Kazi hizi ni zile ambazo ni chafu na zingine zina vyeti na zimo katika mfumo rasmi ulowekwa na wazungu ambazo zingine zalipa kishenzi. Nimetumia neno kazi za kishenzi kutokana na mazingira ya kazi hizi na aina ya watu wanozifanya ambao wengine ni watu waso na familia au wenye aina fulani ya...
  4. JamiiForums Tanzania Kutoka Dunia ya Tatu hadi Kwanza: Tanzania na Ustawi wa Kiuchumi wa Mikoa yote, bara na visiwani

    1. Ndugu zangu Watanzania, wa dini zote, vyama vyote vya siasa, kanda zote nchini na rika zote, ni wakati wa kujiuliza: [ISPOILERNi wapi tumekosea hadi kushindwa kufikia mafanikio ya kweli ya maisha? 2. Tumeishi kwa matumaini ya maendeleo, lakini bado tunaonekana kubaki nyuma licha ya...
  5. JamiiForums Tanzania Nimeijua siri na njia rahisi ya kua na hela hapa Tanzania

    Nimekua nikiwaza sana hali ya kiuchumi, sasa nimeijua siri ya kuapata hela kirahisi kwa mazingira ya TZ 1. Kufanya biashara/kazi na serikali, ujenzi wa majengo, kusambaza vifaa, vyakula nk. Malipo yao ni kufuru sana ila uwe tayari kula na wenye mamlaka 2. Kua na mamlaka serikalini, unaweza...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Benki Kuu iliyo chini ya Serikali ya CCM imeamua kubadili Noti za Tanzania mwakani ambako pia kuna Uchaguzi Mkuu?

    Endeleeni tu kudhani Watu wote hatukunywa Maziwa na hatukula Samaki wa Sato na Sangara ili tuwe na Akili Kubwa za Kuwatangulieni kujua kile mlichokipanga au kuna mbinu gani mmeitumia hapa kwa Zoezi hili na hasa kuelekea huo mwaka wa Uchaguzi Mkuu (2025)
  7. JamiiForums Tanzania Huwenda hii ikawa ndio sababu ya kubadilishwa kwa noti za Tanzania

    Mwaka fulani nilipomaliza chuo kikuu nikiwa bado kupata ajira rasmi niliamua kutafuta kazi nje ya kile nilichosomea chuoni. Kwani nilipokuwa o-level shule ya ufundi nilisomea ufundi wa kupaka rangi, hivyo niliamua kutafuta kazi hiyo ili niweze kusurvive ndani ya jiji la DSM huku nikiendelea...
  8. JamiiForums Tanzania TTCL hawana uwezo au ni hujuma kwa taifa na wananchi wa Tanzania?

    Tupo kwenye ulimwengu wa kasi kwa kila kitu ila TTCL kwenye huduma ya Internet wamelala au kukosa ubunifu. Mimi nimzaliwa wa Kilimanjaro na mtanzania ila jambo la mtando limekuwa kero sana kwenye baadhi ya vijiji vilipo chini ya mlima Kilimanjaro. Ukiangalia kwa sasa juu ya mlima huo...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi kampuni za kukopesha zinaruhusiwa kukamata mali za wadaiwa wao? Akina mama wanalia kila kona ya Tanzania.

    Wamama wajasiriamali wanalia kila kona. Wanapokwa mali za ndani kwa kutolipa madeni. Je huu ni utaratibu?
  10. JamiiForums Tanzania Kuwa maskini Tanzania ni chaguo la mtu mwenyewe. You can choose to die poor

    1998 nikiwa na miaka 12 kijijini kwetu alikuja kijana mmoja kutoka mkoa mwingine, alikuja kutafuta maisha. Alisema baada ya miaka 10 atawapa watu vibarua. Alifika hana kitu, kibarua chake cha Kwanza alilimishwa na Doni mmoja pale kijijini kwa makubaliano ya kupewa baiskeli used phoenix...
  11. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Palestina nchini Tanzania wameokoa Maisha yangu

    Assalam Aleykum! Habari zenu wakuu, mimi nachukua nafasi hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwenda kwenye Ubalozi wa nchi ya Palestina hapa Nchini Tanzania kwa kuokoa maisha yangu. Nilikuwa katika zunguka zunguka zangu hapa jijini kutafuta mkate wangu wa kila siku, nikiwa na njaa...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yaridhishwa na ushirikiano uliopo na nchi ya Namibia

    NA. MWANDISHI WETU – WINDHOEK NAMIBIA Tanzania itaendelea kuimarisha misingi ya uhusiano wa diplomasia baina yake na nchi ya Namibia katika kuimarisha mahusiano yaliyopo katika nyanja mbalimbali huku mchango wa Tanzania katika uhuru wa Namibia ukitajwa. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri Ofisi ya...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania na Pakistan zakubaliana kupanua wigo wa ushirikiano

    Tanzania na Pakistan zimekubaliana kupanua wigo wa ushirikiano ili kukuza uhusiano wa uwili baina ya nchi hizo mbili huku wakitilia maanani vipaumbele vya nchi zote mbili kwa manufaa ya nchi na wananchi wa pande zote mbili. Wakizungumza pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya...
  14. JamiiForums Tanzania Jifunze nguvu ya Sera ya Serikali inavyopaisha bei ya viwanja na mashamba hapa Tanzania

    Tofauti Kati ya Mji Mdogo (Township Authority) na Mji Kamili (Town Council) Mji mdogo (Township Authority) na mji kamili (Town Council) ni ngazi mbili tofauti za utawala wa miji, zenye mamlaka na majukumu tofauti. Tofauti kati yao inahusiana zaidi na ukubwa wa mji, uwezo wa kifedha, na huduma...
  15. JamiiForums Tanzania Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

    Binafsi kete naitupa kwa TID na Marioo hapo ni upande wa wasanii wakiume kwa wakike nafikiri maunda zorro na Vumi. TID Mario Maunda Vumi
  16. JamiiForums Tanzania The Delegation of the European Union to the United Republic of Tanzania and the East African Community (EAC) is looking for Secretary

    The Delegation of the European Union to the United Republic of Tanzania and the East African Community (EAC) is looking for: Secretary We are The European Union (EU) is an economic and political union between 27 European countries. It plays an important role in international...
  17. JamiiForums Tanzania Nchi 10 za Afrika zenye Bei nafuu ya Mafuta Oktoba 2024, Tanzania haipo!

    Baadhi ya nchi za Afrika zinaongoza kwa kuwa na bei nafuu za mafuta, hali inayosaidia kupunguza gharama za maisha na kutoa afueni kwa wananchi dhidi ya changamoto za kiuchumi. Licha ya changamoto za kimataifa na kikanda, nchi hizi zimefanikiwa kudumisha bei ya chini ya mafuta, jambo ambalo...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania yang’ara kimataifa kwa kuwa na kituo cha ufuatiliaji majanga, wadau wa maafa wavutiwa

    NA. MWANDISHI WETU- WINDHOEK Tanzania imetajwa kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kwa kuwa na Kituo cha Ufuatiliaji wa Mwenendo wa Majanga na Tahadhari ya Mapema (National Emergency Operation and Communication Center Situation Room) katika Kituo cha Taifa cha Operesheni na Mawasiliano ya...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Nauliza hivi; tunatumia vigezo gani kupima maendeleo Tanzania?

    Utasikia uchumi umepaa mara maisha bora, hivi kwa speed yetu iko siku tutafikia nchi kama USA?
  20. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Tanzania unakua watajwa kuingia kwenye 10 Bora Afrika kwa pato la GDP

    Nchi ya Tanzania imeendelea kutajwa kuwa imara na kukua kiuchumi, hiyo ni baada ya kuingia kwenye orodha ya nchi 10 bora za Afrika kwa Pato la Taifa (GDP) kwa Mwaka 2024, kwa mujibu wa IMF. Ikiwa na GDP ya Dola Bilioni 79.87, maendeleo ya uchumi wa Tanzania yanaonyesha athari chanya za sera...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…