tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Ni Tanzania pekee ambako Serikali inahudumia Law Soceaty, za huko Duniani zinajihudumia zenyewe

    Mpaka sasa nimekamilisha kupitia Law societies za nchi kadhaa ila zote nimekuta zinajiensesha zenyewe kwa michango yao, hi ni tofauti na TLS ambayo sasa ni semeu ya Serikali. Inafikirisha sana pale unapo ona Watu wanao tegemewa kwamba hawa ndio msaada wa mwisho au tumaini la mwisho, wanapo unga...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awa gumzo Duniani. Ripoti ya uchumi Duniani yaipa Tanzania ya Rais Samia Alama B+ ukuaji wa Uchumi

    Ndugu zangu Watanzania, DUNIA inaendelea kuchangazwa na Maajabu yanayoendelea kufanywa Na Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Katika kukuza na kuupaisha Uchumi wa Tanzania utafikiri ndege za kivita. Rais Samia anaendelea kuteka...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania badilikeni huduma kwa wateja ni mbovu sana

    Moja kwa Moja kwenye mada husikq Leo nilikuwa mahitaji kuongea na huduma kwa wateja kwa kupiga namba 100 yaliyonikuta ni kupata huduma mbovu pasipo kuongea na watu wa huduma kwa wateja( customer Care Kwanza ukipiga unapata kibwagizo kwa wale wanao hitaji Puk, alafu wanakija na option 2 za...
  4. JamiiForums Tanzania Namibia: Kampuni ya Simu inayomilikiwa na Serikali yadukuliwa, taarifa za Wateja zavujishwa, Tanzania tupo salama kiasi gani?

    Wakuu, Wahenga wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji, Wenzetu Namibia yamewakuta, sisi tunajipanga vipi? Taarifa kamili hizi hapa chini: --- Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na serikali ya Namibia imeshambuliwa na wadukuzi na kusababisha uvujaji wa taarifa nyeti za wateja...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Natamani mmoja Kati ya Tundu Lissu, Boniface Mwabukusi na Paul Makonda

    Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo Wote ni maradical Wote ni wanachukia Rushwa Wote wanachukia uzembe , uvivu Wote wanamsimamamo mikali Wote wanahulka ya kusema ukweli. Wote hawa ni wachapa Kazi hakika taifa letu pendwa la Tanzania litapaaa sana viongozi wote wazembe, wala...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Watawala wa Syria wamegundua makaburi mengi ya halaiki. Hivi Tanzania hayapo kweli?

    Makaburi mengi yamegunduliwa yenye miili ya watu wengi walioteswa na kuzikwa pamoja kipindi Cha utawala wa Assad. Tanzania pia kipindi Cha nyuma kulikuwa na wimbi la watu kupotea na wengine kukutwa kwenye Viroba, Lakini pia kukawa na matukio ya kihalifu Kibiti. Serikali ikifanya uchunguzi...
  7. JamiiForums Tanzania Looking for a beautiful Rwandese woman for marriage in Tanzania

    Dear fellow Rwandese woman, I am looking for a woman with a good heart to bond together by establishing a very good family together. I am Tanzanian, government employee, 38 years old, Christian - roman Catholic, graduate from University (Tz and Europe) looking for a beautiful Rwandese woman who...
  8. JamiiForums Tanzania Ukiwajua Polisi Tanzania, hutawashangaa kabisa na taarifa zao

    Nimeona watu wanashangaa polisi kuja na taarifa za mtu aliedhaniwa katekwa kuwa kafa kwenye ajali ....siko hapa kuwatetea polisi ..wala kushutumu lakini ningependa kuongea Kwa uzoefu wangu ...kuhusu polisi Tanzania... Niliwahi kuwa na kesi ya mtu alienitapeli ...polisi Chango"mbe nikapewa...
  9. JamiiForums Tanzania Vurugu mechi ya Simba ni hujuma ya kukwamisha AFCON Tanzania

    Maoni haya ni alert kwa vyombo vyetu vya usalama na diplomasia. Hakuna cha maana kinachoweza kuelezea vurugu hizi bali ni hujuma ya kimkakati ili kuonesha kuwa Tanzania na mashabiki wake wa soka ni wakorofi ili tu AFCON isifanyikie kwetu. Provocation ya mashabiki wa Yanga kule kongo ni tukio...
  10. JamiiForums Tanzania Jarida la Forbes: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jar

    Jarida la Forbes Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ametajwa kama moja ya wanawake 100 wenye nguvu zaidi Duniani na jarida la Forbes. Ushawishi wake katika masuala ya Diplomasia na kuwa kinara wa Nishati safi Duniani ni baadhi ya sababu, namna anavyoendesha nchi...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya Uchumi Duniani yaonyesha matokeo makubwa Uchumi wa Tanzania chini ya Rais Samia

    Uthibitisho wa ripoti ya Fitch Ratings umeipa Tanzania kiwango cha alama B+ kuwa na Uchumi unaokua kwa kasi na uwezo wa Kulipa Madeni ya Nje kwa Muda Mrefu (IDR). Ripoti hiyo imeonyesha mtazamo thabiti wa mafanikio makubwa yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Sera...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure

    15 December 2024 Madaktari wa Tanzania na Israel nchini Zambia kufanya upasuaji wa moyo bure https://m.youtube.com/watch?v=FeeoVkgzMv0 Na Musonda Mwewa ZNBC Timu ya madaktari maarufu wa kimataifa wamewasili nchini Zambia kufanya upasuaji wa kuokoa maisha ya watoto 25 wanaougua matatizo ya...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu ataka Ukomo wa Madaraka kwenye nafasi za uongozi CHADEMA. Asema itapunguza 'Uchawa'

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu wakati akitangaza nia ya kugombea Uenyekiti wa CHADEMA Taifa amesema CHADEMA haina budi kurudisha utaratibu wa ukomo wa Madaraka kwani utaondoa uwezekano wa Viongozi kung'angania madaraka na kuandaa Viongozi wapya, kupatikana kwa mawazo mapya na...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tanzania haipo kwenye mpango wa 2025 wa internet ya StarLink ya Elon Musk; zipo nchi mbili za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

    Ni nchi 4 tu za Afrika zitaongezwa kwenye huduma ya internet ya kisasa zaidi duniani inayotumia satellaite kurusha data moja kwa moja kwa mtumiaji. Katika mpango wa usambazaji wa huduma hii ya kisasa kabisa zipo DRC na Uganda pekee utoka E.A. ambazo zinaungana na Kenya na Rwanda kupata huduma...
  15. JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Kuna watu wanapotosha kuwa ardhi ya Tanzania inamilikiwa na Rais na akitaka anakuondoa muda wowote

    Wakuu, Nadhani ushawahi kusikia ile notion ya kwamba ardhi ya Tanzania yote inamilikiwa na Rais na kwamba Rais akitaka anaweza kukuondoa muda wowote. Akiwa anazungumza siku ya jana kwenye mdahalo ambao uliandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Wakili Mwabukusi alisema kuwa huo ni...
  16. JamiiForums Tanzania Anayefahamu kijijini wanakouzwa mashamba Kati ya laki 2 Hadi 5 anijuze popote Tanzania

    Great thinkers. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu in case unafahamu kijiji chochote ambapo mashamba yanapatikana Kwa bei tajwa tujuzane. Ukitaka mali utaipata shambami. arifhi ni.mtaji. zingatia kutaja sehemu husika Vizuri na namna ya kufika huko.. Kuna mtu alinitajia kuna kibindu njía ya...
  17. JamiiForums Tanzania Kutana na nyumba zinazohamishika zinazotengenezwa nchini Tanzania

    Mfanyabishara wa mbao anayefahamika kwa jina la Peter Stephano mkazi wa Maji ya chai wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, ameanzisha kiwanda kidogo cha kutengeneza nyumba za kisasa zinazoweza kuhamishwa kwa madai ya kutaka kuendana na maendeleo dunia ya sasa. Peter akizungumza na GADI TV wilayani...
  18. JamiiForums Tanzania Air Tanzanià Yapigwa Marufuku Kuruka Juu Ya Anga La Umoja Wa Ulaya.

    https://simpleflying.com/european-union-air-tanzania-ban/
  19. JamiiForums Tanzania Hivi hili joto ni Ruangwa tu ndio limetuzidia au Tanzania nzima?

    Asikuambie mtu Ruangwa kuna joto. Nimefuatilia hali ya hewa maeneo mengi yenye joto Tanzania hii yani Tanga, Dar, Lindi mjini, Mtwara, Dodoma, Singida, Zanzibar, Tabora kwa wiki hii sijaona sehemu yenye joto kushinda Ruangwa (Ruangwa mjini, Lindi Tanzania) Jana mchana temperature ilifika 37°C...
  20. JamiiForums Tanzania Kipindi Cha LIVE NA G cha EAST AFRICA RADIO ni miongoni mwa vipindi bora vya Radio Tanzania

    Pongezi kwa mtayarishaji wa kipindi Kuna namna anavyowasilisha maudhui inatoa picha clear kuwa anajua anachofanya na anafanya to the fullest TAARIFA NA MAARIFA. Vipindi vingi vya radio bongo vinafanana kuanzia contents zao ambazo ni burudani na michezo hata muda wa hivyo vipindi unafanana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…