tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kiuhalisia Simba na Yanga ndio zinaharibu ukuaji wa Soka nchini Tanzania

    Hizi timu mbili bila kuwekewa Discipline na sheria kali soka letu halitokuwa. Taratibu za mazoezi zipo wazi kwa mwenyeji na mgeni. Wasimamizi wa Uwanja wanajulikana na wenye mamlaka ya kuruhusu nani aingie nani asiingie wanajulikana; je mabaunsa wa Yanga wananafasi gani kwenye Utaratibu wa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Tanzania baadhi ya watu wameendekeza imani za kishirikina

    1. Tumesikia na kushuhudia timu za Simba naa Yanga zikipigwa fainj na TFF kwa wachezaji wake kuingia uwanjani kwa kuruka ukuta eti kwa kisingizio chaa kuukwepa uchawi. Pia viongozi na mashabiki wa hizi timu wamekuwa wakiamini ktk ushirikina mpk wameunda kitu kinaitwa "Kamati ya Ufundi". Leo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aleta Mapinduzi Katika Kupunguza Vifo Vya Wajawazito Tanzania, Afrika Yajifunza

    Tanzania inazidi kuwa mfano wa kuigwa barani Afrika kutokana na jitihada zake za kupunguza vifo vya wajawazito. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ameweka kipaumbele katika kuboresha sekta ya afya, hatua ambayo imesababisha kupungua kwa vifo vya wajawazito...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa uchaguzi wa askofu dayosisi ya mwanga Kanisa la kiinjili la kilutheri Tanzania kufanyika machi 10, 2025, mrithi wa sendoro kupatikana

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini kwa kiswahili: Mwanga. Dayosisi ya Mwanga ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) inatarajia kufanya mkutano mkuu maalumu wa uchaguzi, Machi 10, 2025, ili kumpata mrithi wa aliyekuwa askofu wa Dayosisi hiyo, Chediel Sendoro...
  5. JamiiForums Tanzania Magufuli kafanya mengi ila Air Tanzania, TRC, na Tanesco aliwazidishia upendeleo. Staff wa hizi taasisi wanaomchukia Magufuli hawana shukrani

    Habari wadau Huu ni ukweli mchungu 1. Magufuli kaikuta Air Tanzania ikiwa haina ndege hata 1. Ila kaifufua na kainunulia ndege za kutosha 2. Magufuli kakuta shirika la reli TRC linaelekea kujifia.. kalifufua kwa kuliwekezea ma trilioni ya hela na kafosi kujenga reli ya SGR na kawanunulia...
  6. JamiiForums Tanzania Mafanikio, changamoto na athari za uwezeshwaji mwanamke nchini Tanzania

    Tunashuhudia harakati na jithada za kumwezesha mwanamke duniani kote huku Tanzania ikiwemo. Sasa tunashuhudia athari chanya na hasi za kampeni ya kumwezesha mwanamke katika nyanja mbalimbali. MAFANIKIO 1. Mwanamke anapata fursa na hamasa ya kupata elimu na ajira. 2. Mwanamke anamiliki uchumi...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Prof. Kabudi aufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) kutokana na tuhuma mbalimbali

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Prof. Palamagamba Kabudi ameufuta Uongozi wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBRC) baada ya uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zilizowasilishwa na wadau wa mchezo wa ngumi. Taarifa kutoka Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeeleza...
  8. JamiiForums Tanzania Tanzania Economic Freedom Advocacy (TEFA)

    TUNACHOPIGANIA SASA;- Serikali kwa kushirikiana na waekezaji wazalishe umeme wa megawatts 100,000 na zaidi ili kukuza maradufu Saughall za uchumi Unit moja ya umeme iuzwe sh 50 kwa matumizi ya nyumbani, sh 25 kwa matumizi ya biashara kwa wale wenye leseni, tin number na mashine za efd, sh 15...
  9. JamiiForums Tanzania Askari wa Burundi aelezea tofauti kati ya ushirikiano wa Burundi na Tanzania na ule wa Burundi na Rwanda

    Askari wa Burundi aelezea tofauti kati ya ushirikiano wa Burundi na Tanzania na ule wa Burundi na Rwanda. Akielezea jambo hilo askari huyo kutoka Burundi amesema kwamba askari wa Tanzania wanashirikiana na askari wa Burundi kuwakamata majambazi wanaofanya uhalifu Burundi na kukimbilia Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

    Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ? Tizama...
  11. JamiiForums Tanzania Save the Childen na Tanzania Bora Initiative yazindua mradi wa Vijana Plus Zanzibar

    Mradi wa Vijana Plus utasaidia kuwajengea uwezo vijana wengi katika usimamizi na utekelezaji wa mashirika yasio ya serikali na kuepukana na changamoto zinazowakwamisha katika uimarishaji wa maendeleo yao. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana Zanzibar, Shaib Ibrahim...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) Geita Mjini, Mbunge alalama ubabaishaji wa mkandarasi, Tuliahidi mradi kukamilika kabla ya uchaguzi

    Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, amemshutumu mkandarasi anayetekeleza mradi wa uboreshaji wa miji Tanzania (TACTIC) mjini Geita, akimtaja kuwa hana uwezo, hana mtaji, na anakosa wataalamu wa kutekeleza mradi huo kwa ufanisi. Kauli hiyo ya Kanyasu imekuja siku moja baada ya Mkuu wa...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna watu vichwa sana, sasa tunakwama wapi kuwatumia?

    Habari wadau kuna clip ya jamaa alikuwa kwenye kikao tume ya mipango amemwaga nondo, Kitila Mkumbo anabaki akitikisa kichwa. Tunakwama wapi kuwatumia hawa?
  14. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Katiba ya Tanzania haina sahihi (signature)?

    Nimetafuta nakala mbalimbali za Katiba ya Tanzania lakini hakuna sahihi? Ni zipi sababu zilizopelekea tusitie sahihi kama ilivyo kwenye sheria na nyaraka nyingine?
  15. JamiiForums Tanzania Asfati au Lami: Tanzania Inatumia Zaidi Ipi, je ipi itaokoa matengenezo ya kila mara!

    Swali: Ningependa kujua kati ya Asphalt na Tarmac, ipi inatumika zaidi nchini? Na ipi ina manufaa zaidi kwa mazingira yetu, hali ya hewa, na gharama za ujenzi na matengenezo? Pia, je, kuna mpango wowote wa Tanzania kutumia teknolojia mpya kama barabara zinazozalisha umeme (solar roads) au...
  16. JamiiForums Tanzania Business Mentor, Tanzania Opportunity

    ** There will be immediate job opportunities for 28 outstanding training participants** Who you are: Bachelor Degree holder in Education Commitment to a 3 week training in Dar es Salaam Proven ability to coach and mentor teachers and secondary school students Excellent written and spoken...
  17. JamiiForums Tanzania My Tribute to Samia Suluhu Hassan! Kenya inaisifu Tanzania!

    Nimejionea hii taarifa nikasukumwa kuandika huu uzi kuhusu serikali ya Tanzania ya sasa! Kwa muda mrefu nimekua mkosoaji nguli wa serikali za CCM kuanzia kwa JK hadi kwa Samia! Kwa hivi karibuni trend ya uchumi wa Tanzania, mapambano dhidi ya Rushwa, harakati za matumizi ya nishati safi, ujenzi...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania na Canada Kushirikiana Kwenye Kukuza Ujuzi wa Wadau Sekta ya Madini

    TANZANIA NA CANADA KUSHIRIKIANA KWENYE KUKUZA UJUZI WA WADAU SEKTA YA MADINI ▪️Watanzania kujengewa uwezo kwenye teknolojia ya uchimbaji na uchenjuaji madini ▪️Vyuo vya VETA kutumika kutoa mafunzo maalum ▪️Canada yaipongeza Tanzania kwa kukuza sekta ya madini ▪️Mpango wa Uwezeshwaji wa...
  19. JamiiForums Tanzania Tariffs za Tanzania zitaumiza uchumi wetu dhidi ya Marekani, Japan na Ulaya

    Kwa hali ilivyo sasahv duniani kuna vita kubwa ya tariffs kwenye bidhaa mbalimbali toka nchi mbalimbali ambapo tumeshuhudia Trump akiongeza tariffs dhidi ya mataifa mengine kwa takribani asilimia 10% hadi 25%. Nchi yetu ina tariffs za magari yatokayo nje ya around asilimia 100%, hii sijui...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Umoja wa vijana wasio na ajira Tanzania (UYAM) umesema kuwa ukosefu wa ajira ndiyo chanzo cha vijana kujihusisha na ku- bet

    Umoja wa Vijana Wasio na Ajira Tanzania (UYAM) hii leo umesema ukosefu wa ajira kwa vijana umepelekea baadhi yao kujiingiza katika ubashiri huku wengine wakiuza miili yao kama njia ya kujipatia kipato. Lawrent Kayaya, Mwakilishi wa UYAM akizungumzia hilo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…