tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran ya

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimu washiriki wa mashindano ya kimataifa ya kusoma na kuhifadhi Quran yaliyofanyika leo kwenye uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake ya kikazi mkoani Tanga, tarehe 23 Februari, 2025.
  2. JamiiForums Tanzania Ninahuzunika sana tanzania yangu ni nchi tajiri lakini viongozi wa ccm bado wanahubiri sisi ni masikini lengo ni kutupumbaza

    Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani. Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya kuona bila kupigiwa kura wanaamini watakuwa viongozi Tanzania ina madini lukuki maziwa na mito lakini...
  3. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa wabunge wa Ulaya wafanya ziara nchini Tanzania kwa ajili ya ukaguzi wa utekelezaji wa miradi

    UMOJA WA ULAYA Ujumbe wa Wabunge wa Ulaya Wafanya Ziara Nchini Tanzania kwa Ajili ya Ukaguzi wa Utekelezaji wa Miradi Dar es Salaam, 23 Februari 2025 – Wabunge saba wa Bunge la Ulaya (MEPs) kutoka Kamati ya Maendeleo watafanya ziara nchini Tanzania kuanzia tarehe 24 hadi 26 Februari. Ziara hii...
  4. JamiiForums Tanzania Baada ya kupokea tuzo ya Champion of Comedy Rais Samia ndiye atapokea tuzo ya Champion wa uchaguzi mkuu wa amani Tanzania October 2025

    Na hilo ndilo litakalothibitisha kwamba Dr.Samia Suluhu Hassan habahatishi na yeye pekee ndie champion of everything in Tanzania, Ni champion wa wa amani na maridhiano, ni champion wa utalii, ni champion wa mazingira, ni champion wa afya, ni champion wa kilimo, ni champion wa ufugaji, uvuvi na...
  5. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT ambaye pia ni mgombea wa CCM akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    -
  6. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Serikali ya JMT akiwakilisha Serikali amepokea tuzo ya Bingwa wa Vichekesho Tanzania

    Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja! Modes naomba uzi huu...
  7. JamiiForums Tanzania Kampuni za betting zilizokimbia soko la tanzania

    Katika uzi huu nitataja kampuni mbalimbali zilizokimbia soko la tanzania huku sababu kuu zikiwa, soko kutokuwa na faida , kufeli kwenye operation (wafanyakazi wasio na weledi) kujikita kwenye masoko yenye faida zaidi. 1. Mkeka bet 2. Winprinces (online operation) 3. Princes bet 4. Michezobet 5...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimelia machozi baada ya kusikiliza Mahubiri ya Nabii Denis Kuhusu Tanzania

    Mungu alipoona Taifa lake la Waarabu linaangamia kwa kukengeuka aliwateremshia Mtume Muhammad (SAW) kuwafindisha namna bora ya kuishi kwa kumpendeza Mungu. Akawaamrisha mema na kuwakataza mabaya kwa Mujibu wa Mafundisho ya Allah Tabaraq wa Taallah. Mungu pia alidhihirika nyakati za Rais Sauli...
  9. JamiiForums Tanzania Watu maarufu duniani wenye asili ya Tanzania

    Nasikia director mpya wa FBI ana asili ya Tanzania. Ndugu yetu kabisa🙂. Ni watu gani wengine maarufu wana asili ya Tanzania. 1. Freddie Mercury. Alikuwa muimbaji wa bendi ya muziki ya Queen. Ukitaja waimbaji kumi wa muda wote duniani huwezi kumkosa. Alizaliwa Zanzibar mwaka 1946. Alikuwa upinde...
  10. JamiiForums Tanzania Tanzania inahitaji viongozi kama Albert Chalamila

    Ni msema kweli, nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Sio habari ya kupapasa kisiasa kunakodumaza taasisi za umma.
  11. JamiiForums Tanzania Barua ya Wazi kwa Jeshi la Polisi Tanzania

    Kwa heshima, Kiongozi wa Jeshi la Polisi Tanzania, Makao Makuu, Dar es Salaam. Mpendwa Kiongozi, Natumai barua hii inakukuta salama. Ningependa kuchukua fursa hii kuungana na wenzangu katika kujadili suala la ulinzi na usalama nchini Tanzania. Kwanza kabisa, napenda kuwapongeza kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili Tanzania Aviation Authority

    Hamjambo humu? Imekua mara yangu ya kwanza kufanya written interview za serikali. Nimefanya nafasi ya accounts officer ii, nimepata 78 ila sijawa selected. Nimelichukulia hili jambo very positive na next time nitapambana zaidi.
  13. JamiiForums Tanzania Yajue Maslahi ya MAJAJI Tanzania

    Ukiwa jaji umeula hadi kifo. Yafuatayo NI maslahi ya Majaji wa Mahakama Kuu na Rufaa nchini. 1. Kulipiwa nyumba Grade A, 2. Usafiri (4WD/dereva/mlinzi), 3. Kusafiri daraja la biashara/Kwanza kwenye ndege, 4. Posho ya mavazi. NB: pamoja na yote haya bado wapo wanachukuav rushwa...
  14. JamiiForums Tanzania Patel sio Mtanzania, media za Tanzania acheni kupotosha umma

    Mtanzania ateuliwa kuwa Mkuu wa Shirika la Ujasusi la FBI nchini Marekani. Hii ni hatua ya uundaji wa serikali wa utawala mpya wa Rais Trump. Kash Patel amezaliwa Marekani lakini Baba yake ni Mganda na Mama yake ni Mtanzania walioamua kuhamia Marekani ambako huko ndiko Kash Patel alikozaliwa...
  15. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye kiongozi na mgombea tunayetegemea atumie 'Neoclassical economics' na adadavue 'Complex Economic Boost Projects' Kuondoa umasikini Tanzania

    Huyu ndiye kiongozi ambaye wananchi wa Huko Kilongosi Mtwara, Wanamtegemea atumie akili yake kuinua sekta ya Viwanda na Kutafuta masoko ndani na nje ya nchi ili wauze korosho zao Huyu Ndiye Mgombea ambaye wanafunzi wanaokaa chini kwa kukosa madawati, Wanamtegemea achacharike kufanya transformed...
  16. JamiiForums Tanzania Poleni sana Wakazi wa hii Mikoa tajwa Tanzania kwa Joto Kali mnalolipitia sasa

    Nimetoka kutizama Taarifa ya Habari muda si mrefu na kuona Watanzania wenzangu huko mliko mnavyotaabika sasa kwa Joto Kali ambalo huenda likawa limevunja Rekodi Polemi sana Wakati wa Dar es Salaam, Pwani, Morogoro, Tanga, Lindi, Mtwara na Zanzibar (Unguja na Pemba) Nilipo Mimi Kampala, Mubende...
  17. JamiiForums Tanzania Je Kwako kuna generetor!? Umemunua kwa sababu ya tatizo ya umeme yalipo Tanzania

    Sasa Duka Direct inakuletea huduma ya kukuletea mafuta hadi home... Tunaona fursa zilizoko nyumbani kwako... "Power Outage? Fuel for your generator from Assam Oil, delivered to your door with duka.direct! Tap to duka.direct | Food delivery, Shoppers supermarket delivery, Courier Delivery...
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania comedy award ni kama wanajigawia wenyewe tu

    Hizi tuzo naona kama wanagaiana wenyewe ni kama wamepanga matoke yao huyu dada hajui kitu huyu esma na mama mawigi hakuna kazi wanafanya
  19. JamiiForums Tanzania Kichekesho: Eti Tanzania iko tayari kuzifundisha nchi za Afrika vijana wajiajiri!

    Haya ni matusi kwa vijana wa Tanzania! Rais Samia ameonyesha dharau kwa vijana! Je ni vijana wangapi wamenufaika katika mpango fake wa BBT kiasi Rais ajisifu na kutaka azifundishe nchi zingine za Kiafrika? Huyu Mzanzibari hatufai kabisa na hastahili kuendelea kuwa madarakani!
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Eric Shigongo: Tanzania ni nchi tajiri siyo sawa wananchi wake kuwa masikini

    "Tanzania ni nchi tajiri sana,Tanzania kwa gesi asilia duniani ni nchi ya 82, Tanzania duniani kwa makaa ya mawe ni nchi ya 50 kwa dhahabu ni nchi ya 22, kwa almasi ni nchi ya 10 kwa helium gesi ni nchi ya kwanza kwa madini ya Tanzanite, ni nchi ya kwanza kwa utalii ni nchi ya pili inaifuata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…