tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Pongezi Rais Samia kwa Tanzania kuwa Kinara Uhuru wa Habari, EAC, Vipi Kale ka 'Simba ka Kizimkazi' Mnaonaje Kaachiwe?, Kanatuvurugia Sana Amani?

    Wanabodi Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/tumpongeze-rais-samia-sambamba-na-wanahabari-ila-tukaze-uzi-5030938 Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa wiki nzima, iliyopita, nimekuwa jijini Arusha kwenye hoteli...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo Makuu 18 yaliyoongelewa na Bunge la Ulaya Kuhusu Tanzania haya hapa

    Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo: Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali, Kukomesha ukamatwaji holela wa raia, Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola, Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama...
  3. JamiiForums Tanzania Core Values (Misingi) ya Vyama Vikubwa za Siasa Tanzania (On Paper Wanasimamia Nini)

    Nimejaribu kumuuliza bwana Google akisaidiana na AI, ili waende wakadukue huko na kule ili tuweze kupata misingi ya Vyama hivi vinasimamia Nini na Best Case Scenario kama wakifanya wanachokisimamia sisi kama Wenye Nchi tungependa / Tunakubaliana na yupi. Ingawa on Paper sioni Tofauti kubwa...
  4. JamiiForums Tanzania Kumbe bado kuna mahali Tanzania hii wanatumia Internet ya 2G, kweli Mama hatukudai

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb.), akijibu maswali yaliyoulizwa na Wabunge mbalimbali kuhusu sekta hiyo, Bungeni jijini Dodoma, Mei 8, 2025
  5. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Job Vacancies – May 2025 (7 Listings)

    Explore New Career Opportunities with Vodacom Tanzania Are you ready to take the next step in your career with a leading telecommunications company? Vodacom Tanzania is hiring across multiple roles, offering exciting new career paths to talented individuals eager to contribute to the digital...
  6. JamiiForums Tanzania Tetesi: Web Scraping na Akili Bandia (AI) katika Uandishi wa Habari za Uchunguzi Tanzania

    Utangulizi Tarehe 29 Aprili, 2025, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani jijini Arusha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwataka waandishi wa habari wa Tanzania kukumbatia Akili Bandia (AI) kama zana muhimu ya kuimarisha kazi zao. Kauli hii ya uthibitisho kutoka ngazi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Bunge la Tanzania litoe tamko kukemea uingiliwaji wa Sovereignty ya Tanzania in strongest possible terms!

    Tanzania ni Sovereign State. Tanzania Ina mihimili yake iliyokamili. Tanzania Ina Katiba yake Katiba imeweka Mahakama huru Mahakama za Tanzania ndio zimepewa dhamana kwa mujibu wa Katiba, kuamua ikiwa mtuhumiwa yeyote ana hatia au Hana hatia. Tunao watuhumiwa wengi tu Wenye Kesi zao...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa vyombo vya habari Tanzania, naomba wanahabari mtujubu

    Juzi nimesikia kelele na ngonjera za kusifia uhuru wa vyombo vya habari hapa nchni. Jana bunge la ulaya lilijadili hali ya haki za binadamu mchini. Hii ni habari kubwa sana kwa viwango vyovyote. Nimepitia karibu magazeti yote ya leo hakuna hata mojo lililothubutu kuandika habari hiyo. Hivi mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Tanzania yasisitiza: Hatujavunja Sheria, tunatekeleza majukumu yetu kama Taifa Huru

    Serikali ya Tanzania imeweka wazi msimamo wake kuhusu hali ya kisiasa nchini, ikisisitiza kuwa hakuna sheria zilizovunjwa katika kutekeleza majukumu yake kama taifa huru na linalozingatia utawala wa sheria. Akizungumza na wahariri jijini Dar es Salaam, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ningependa kujua air defense systems za Tanzania maana dunia imekua uwanja vita mtu anakutafitia sababu ukipige kilazima

    Kwa mambo yanayoendelea duniani hili ni muhimu sana kama raia WA kawaida ningependa kujua vita kama hvo Ili likitokea la lakutokea tujue tunaenda wapi maana Kwa Hali ya Sasa vita ya iii ya dunia naona IPO karibu sana. Maon yenu ni muhimu sana katika kujifunza mazuri ya jeshi letu
  11. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania tumebarikiwa viongozi mahiri, kumbe Tundu Lissu ni maarufu kiasi hiki?

    Salaam! Kuna ule msemo usemao, nabii hakubaliki kwao, ni wa kweli kabisa, Tuna kiongozi maarufu ndani na nje ya mipaka ya nchi, Tena umaarufu wake ni Katika kupigania haki na kudai mifumo imara ya uchaguzi Katika kuchagua na kuchaguliwa viongozi. Imagine, bunge la ulaya kuweka muda special...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki kikamilifu mkutano wa mazingira duniani nchini Denmark

    TANZANIA YASHIRIKI KIKAMILIFU MKUTANO WA MAZINGIRA DUNIANI NCHINI DENMARK Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Mawaziri wa Mazingira duniani unaofanyika tarehe kuanzia leo tarehe 7 hadi 8 Mei, 2025, jijini Copenhagen nchini Denmark...
  13. JamiiForums Tanzania Karibu Tanzania

    Karibu Tanzania nchi ambayo Mchina anaingia nchini anafanya kazi bila vibali hata miaka 6 fresh tu Wewe mngoni nenda kariakoo fungua hata Ki Mpesa na huna leseni Utakiona cha moto. Inawezekana kweli mzee wangu marehemu JomoKenyatta aliona sisi ni maiti kweli?
  14. JamiiForums Tanzania Suluhisho la ukosefu wa Ajira Tanzania: Tuwape Wahitimu wote hii kitu "Graduate Card"

    Habari Tanzania ! Naomba kuweka wazo langu hapa jukwaani. Nawaomba taasisi za Elimu ya kati na juu kupitia Wizara ya Elimu mkaja na hii huduma kwa hawa vijana wanaohitimu chuo hususani ngazi ya kati na juu ( Diploma & Degree holders) tuwapatie kadi maalumu kwaajili ya kupata kibali cha ajira...
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi MAABARA za kupima madini zinavyowatajilisha wachimbaji wa DHAHABU Tanzania. Uzoefu wa miaka 10

    Ilikuwa Mwaka 2015 Baada ya kumaliza chuo (Shahada ya jiologia), Nilianza kufanya kazi katika kampuni (Maabara) mbalimbali za upimaji wa sampuli za mawe, udongo na aina nyinginezo nikiwa kama (Laboratory Geologist). Uzi wangu kuhusu geologia ya madini huu hapa Tangu wakati huo nimekuwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Kabila gani linachakaa haraka hapa Tanzania ??

    Hapa nikiwa na ile safari ya kutafuta wa kuwowa ,bado nipo nahangaila ila ,imenijia ,kuna makabila wanawake wakielekea uzeeni huvurugika sura zao na ..Uzuri wao wa sura huondoka na itakuwa mshanielewa.. Pengine alikuwa mrembo na tabia nzuri ila kuelekea uzeeni eeei ndio hivyo, ila nasikia...
  17. JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania Job Vacancies – May 2025 (7 Listings)

    Explore New Career Opportunities with Vodacom Tanzania Are you ready to take the next step in your career with a leading telecommunications company? Vodacom Tanzania is hiring across multiple roles, offering exciting new career paths to talented individuals eager to contribute to the digital...
  18. O

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya wapo Doha na Dubai; Vijana wa Tanzania wapo wapi?

    Nimesafiri mara kadhaa na kupita kwa muda katika viwanja vya ndege vya Hamad International Airport (HIA) jijini Doha - Qatar na Dubai Airport - DXB pale Al Garhoud, Dubai ; UAE. Licha ya ukubwa wa Viwanja hivi, jambo nililoona ni uwepo wa ndugu zetu Wakenya wakiwa kama wafanyakazi katika...
  19. JamiiForums Tanzania Hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) zina athari gani kwa Tanzania? Tumetoa nini nyuma ya pazia?

    Wakuu, Mei 5 Serikali ya Tanzania ilisaini hati 3 za makubaliano na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa mpigo; 1. Rais Samia na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Abdullah Bin Zayed Al Nahyan, wakishuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano baina...
  20. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kenya waishangaa Tanzania kuona Rais anayegombea ndiye anaisimia Tume ya Uchaguzi

    Alooo hii ni fezea🤣🤣 yaani toka Wakenya watushangae kwenye uchaguzi wa 2020 wanaendelea kutushangaa mpaka leo! We ulisikia wapi mtu anagombea na hapo hapo ndio asimamie mchakato wa uchaguzi afu aache afeli? Hata ungekuwa wewe ungeruhusu hilo? Mwendo wa kujipakulia minyama tu, Bunge na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…