tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Nchi za Kiarabu zitusaidie Kutujengea Misikiti Mikubwa na Madrasa huku Tanzania

    Huu ndo wito wangu kwa nchi za Kiarabu. Watusaidie sisi waumini wao na ndugu zao kutujengea Misikiti Mikubwa kila Wilaya na Tarafa. Pia watujengee na Madrasa nyingi za kutosha tuwafundishe watoto kushika Dini yao. Kila baada ya angalau kilometre 2 kuwe na Msikiti na Madrasa. Hii itasaidia sana...
  2. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge Ulinzi na Usalama haina budi kujadili mwenendo wa Kenya katika siasa za Tanzania!

    Yapo matukio kadhaa ya kisiasa yaliyotokea na yanayoendelea kutokea nchini mwetu nyuma yake kukiwa na factor moja muhimu yaani #Kenya# hii trend sio ya bahati mbaya kama unachambua mambo kwa kina. mfano: 1-Lissu baada ya kupigwa risasi alienda kitibiwa Kenya. 2-lema alitorokea kupitia Kenyana...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaharakati wa Kenya Msifanye Siasa Tanzania

    Mimi kama stroke. Nawaeleza tu kwa sauti ya upole wanaharakati wa Kenya. Hakuna mahali penye ufisadi, mauaji, wizi wa kila namna kama Kenya. Sioni Justification yeyote ya nyie kuja Kulia lia hapa Tanzania. Sasa nawaambia hivi?? Malizaneni kwanza nyie kabla ya kuja kwetu kutuletea harufu zenu.
  4. JamiiForums Tanzania KTN News: Martha Karua aeleza kwa undani sababu za kuzuiliwa kuingia Tanzania akiwa Airport na kisha kuwa "deported" kurudi Kenya

    https://youtu.be/5HU2fES7Es0?si=ZkHkhXfQQh61TLt3 Mahojiano yamefanyika Kwa lugha ya Kiingereza.. Kwa ufupi sana Martha Karua anasema: • Tulitoka Kenya na wenzangu kwenda DSM Tanzania ili kufuatilia kesi ya Tundu Lissu... • Tulipofika Airport DSM, tulikuwa detained hapo hapo Airport. Hatukuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Ntahakikisha thamani ya fedha ya Tanzania inakua chini na dhaifu

    Kama mtu mwenye nia ya kuwa Rais wa Tanzania na muumini wa uchumi wa viwanda ni vizuri thaman ya fedha ya Tanzania kuwa chini sana ili ipunguze gharama za uzalishaji viwandani
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kenya yajifunza uchimbaji na biashara ya Makaa ya Mawe Tanzania

    Tanzania imeendelea kuwa kinara katika usimamizi na uendelezaji wa Sekta ya Madini katika eneo la Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati, hali iliyoivutia nchi jirani ya Kenya kuja kujifunza mbinu bora za uchimbaji wa makaa ya mawe. Ujumbe kutoka Wizara ya Nishati na Petroli ya Kenya, Mamlaka ya...
  7. JamiiForums Tanzania Majaji Wakuu Wastaafu wa Kenya kuja Tanzania kwenye Kesi ya Lissu, Prof Juma aelewe kwanini Majaji wenzake walikataa aiongoze Mahakama

    Kwenye wiki ya Sheria Rais Samia alisema hatamuongezea tena muda Jaji Profesa Ibrahim Juma maana hataki tena kugombana na kuwakwaza Majaji wa Mahakama ya Rufaa. Jaji Profesa Ibrahim Juma atakumbukwa nchini Tanzania kama Jaji Mkuu wa hovyo kuwahi kutokea nchini baada ya Mohamed Chande...
  8. JamiiForums Tanzania Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    1/ Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina: Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi? 2/ Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
  9. JamiiForums Tanzania Vyuo Bora vya IT Tanzania (Upande wa Practical Skills)

    1/ Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, tunahitaji kujadili kwa kina: Ni chuo gani nchini Tanzania kinachofanya vizuri zaidi katika kufundisha IT kwa vitendo na kuzalisha vijana wenye ujuzi? 2/ Ninazungumzia practical skills — sio tu vyeti. Tunazungumzia mafunzo yanayowaandaa...
  10. JamiiForums Tanzania Orodha ya makabila yenye lafudhi mbaya hapa Tanzania.

    1.Wachaga 2.Wakurya 3.wasukuma 4.Wamasai 5.Wanyakyusa 6.wahaya 7.Wajita 8.wasambaa 9.wapare 10.waha
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Army Cyber Command

    Moja ya mambo ambayo ntaanzisha ni Tanzania army cyber command na itakua na kazi zifuatazo Kufacilitate cloud migration ya data zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali Kuzilinda taaarifa zote za taasisi, wizara, na mashirika ya serikali Kulinda critical infrastructure mfano za umeme...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Tanzania tuna teknolojia inayoweza kuangalia Saratani inayoweza kujitokeza miaka 10 ijayo mwilini

    Mbunge wa Jimbo la Siha ambaye ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amesema Sekta ya Afya imepiga hatua kubwa nchini kutokana na maendeleo mbalimbali yaliyofanyika kutokana na uwekezaji uliofanywa na Serikali. Dkt. Godwin Mollel amesema Shilingi Trilioni 6.7 zilizotolewa na Serikali...
  13. JamiiForums Tanzania Ikulu WIki Hii: Muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais Samia Suluhu Hassan katika wiki hii

    #IkuluWIkiHii Tazama muhtasari wa matukio yote muhimu aliyoyafanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika wiki hii.
  14. JamiiForums Tanzania Kenya inapaswa kuiwekea vikwazo mamlaka za Tanzania kutoingia nchini humo ili kushinikiza haki za kusafiri za wakenya nchini zinafatwa

    Kenya inapaswa kuiwekea vikwazo mamlaka za Tanzania kutoingia nchini humo ili kushinikiza haki za kusafiri za wakenya nchini zinafatwa. Kuna idadi kubwa sana ya wakenya wamezuiliwa kuingia nchini kwa sababu zisizo za kisheria ikiwemo viongozi wa juu kwa kenya hili haikubaliki hata kidogo.
  15. JamiiForums Tanzania CEO JKT Tanzania ameiabisha taasisi ya umma kwa uchawi michezoni, hafai

    Hakuna jambo kubwa linaloweza kufanyika ndani ya taasisi bila CEO kufahamu na kuruhusu lifanyike. Kama anafahamu anajua na kama hafahamu anajua pia kuajibika kuko palepale. JKT Tanzania wameonesha vitendo vya ushirikina michezoni kwenye mechi ya nusu finali na yanga. Hii sio sawa kwa timu ya...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Martha Karua wa Kenya ameshikiliwa Tanzania kabla ya kesi ya mahakamani ya Tundu Lissu

    Mwakilishi wa Kenya, mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu Martha Karua amekamatwa Tanzania alipoingia katika Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, Dar es Salaam, tarehe 18 Mei 2025. Alikuja kumwakilisha kiongozi wa upinzani Tundu Lissu ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kusaliti nchi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania itanufaika vipi na uteuzi wa Prof. Janabi WHO

    Kwanza napenda kumpongeza Prof. Mohamed Yakub Janab kuwa Mkurugenzi Mteule wa Kanda ya Afrika wa Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kipindi cha 2025–2030. Napenda kufahamu sisi kama watanzania pamoja na nchi kwa ujumla tutanufaika vipi na uteuzi huu. Naomba kuwasilisha The introvent ✍️ Soma...
  18. JamiiForums Tanzania Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika

    Prof. Mohammed Janabi, mgombea kutoka Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika unaofanyika leo Jumapili Mei 18, 2025 akijinadi mbele ya Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Bara la Afrika na kuwaomba kumuunga mkono
  19. L

    JamiiForums Tanzania Moshi Mweupe Wafuka Juu Ya Bendera Ya Tanzania Geneva Uswisi. Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea

    Ndugu zangu Watanzania, Moshi Mweupe Wafuka Juu ya Bendera Yetu ya Tanzania Geneva Uswisi. Yatabiliwa Tanzania na Professa Mohammedi Janabi Kuibuka Kidedea kwa mara nyingine tena katika kinyang'anyiro cha ukurugenzi mkuu wa WHO kanda ya Afrika. Hii ni kutokana na uungwaji mkono mkubwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hivi Wana intelligence unit wa Tanzania mnajua Dunia imebadilika sana?

    Kiukweli naandika kwa uchungu sana naandika kwa maumivu sana our intelligence unit mna failed ktk kuikinda hii nchi na high brid war warfare. Naandika nikiwa kama Raia ila najiona kuwa na uwezo wakuona nje ya unit. Hivi kweli mnajuwa kabisa hili Taifa lime sign mikataba ya kimataifa na nyie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…