tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Innocent until proven guilty OR guilty until proven innocent; Where does Tanzania stand?

    Umeshawahi kujiuliza, hivi ukikamatwa na polisi, ukafunguliwa kesi, ukakaa mahabusu mwaka mzima kupisha uchunguzi ukamilike, baadaye ukaachiwa kwakuonekana hukuwa na hatia, nani anayekufidia hasara ya muda, maumivu na haiba yako inayotokana na kadhia hii? Jambo hili ndio msingi wa masharti ya...
  2. JamiiForums Tanzania Martha Karua na wenzake wakawaulize makaburu kuhusu balaa la vyombo vya dola vya Tanzania kabla hawajajilaumu mbeleni

    Ninasikitika sana nikiona mitandaoni watu wakiwasifu kina Martha Karua na wanaharakati ushuzi wengine wakidhani wanaweza kuitikisa serikali ya Tanzania. Ninasisitiza kuwa serikali ya Tanzania chini ya CCM ni serikali imara kuliko wajinga wengi wanavyodhani. Makaburu na ubabe wao wote walikuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu zinazomfanya Tundu Lissu kuwa shujaa wa taifa la Tanzania. Ndani na nje ya nchi amepata sifa kubwa

    Kutaka taifa la Watanganyika kuwa na katiba ambayo italinda na kutetea rasilimali za Watanganyika. Kuwa msema kweli na kutopindisha maneno. Kuwa Mzalendo wa kweli.
  4. JamiiForums Tanzania Kuna kipindi kupitia redio ya Kenya radio47 kikijadili udukuzi wa Tanzania account za serikali

    Kama utapata mda kuna kipindi kina channel yake kikiitwa radio47 kuna mkenya mmoja kaeleza kama kafunguka kwa hasira. Anavyo dai tanpol kwenye account zake kwenye nywira (password) wametumia jina la diamond,zuchu au mama samia 1234 ndio zinatumika. Mpaka anaeleza haya inawezekana hata account...
  5. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yaomba Jumuiya za Kimataifa msamaha kwa niaba ya Tanzania, kwa madhila yaliyowakumba wageni wa kesi ya Lissu

    KISINGIZIO CHA SOVEREIGNTY BILA WAJIBU CHA SERIKALI YA TANZANIA, CHADEMA YAAMUA KUBEBA WAJIBU WA KUWAJIBIKA KUZIMA HASIRA ZA JUMUIYA YA KIMATAIFA CHADEMA katika press conference leo 20 May 2025 imewaomba wageni wote waliopata kadhia kutoka mamlaka za serikali ya Tanzania. Wageni hao wengine...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania na kosa la uhaini

    Kupitia mijadala mbalimbali na hasa baada ya TAML kukamatwa na kufunguliwa shitaka la uhaini kumekua na mijadala mingi sana na nilichogundua ni kwamba watu wengi hawajielekezi kwenye kanuni za uhaini. Ili uhaini utendeke vipo vipengele kadhaa (principles) vikamilike ndio waweza kumtia...
  7. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu: Usiku wa kuamkia leo na ninyi mlidukuliwa ama shida ilikuwa ni nini?

    . Hali isiyo ya kawaida leo kuanzia mida ya sita usiku nimetumiwa message kwenye simu yangu kwa namba tofauti tofauti. . Nikawa nafikiria labda kuna watu walikuwa wananitafuta kuhusu masuala fulani au wamesajili namba tofauti hivyo wananijulisha kuwa wana namba mpya. . Asubuhi naamka kisha...
  8. JamiiForums Tanzania Fighting for Tanzania

    Fighting for Tanzania "Fighting for Tanzania" ni nini ? ni uhamasishaji wa mabadiliko chanya kwenye nchi na kupinga vikali matukio ya kiuhalifu na utekaji, matukio yote ya uvunjifu wa haki za binadamu, matukio yote ya matumizi mabaya ya madaraka, matukio yote ya ukiukwaji wa makusudi wa...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yang’ara katika mkutano wa wakaguzi wa majitaka migodini nchini Sweden

    Tanzania imeendelea kung’ara katika majukwaa ya kimataifa baada ya kuwa kivutio kikubwa katika mkutano wa Tathmini ya Mafunzo ya Ukaguzi wa Majitaka ya Migodini unaofanyika katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha Luleå, nchini Sweden. Mkutano huo wa kitaalamu unahusisha nchi saba...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Gaming board of Tanzania wanaboa sana.

    Hawa jamaa ukisikia kimeo ndo hawa yani,watu wamepiga oral tangu tarehe 16 April,ila cha kushangaza mpaka leo yenyewe hayajawajulisha wahusika kama wamepata au not. Hawa watu ukiwatizama wana changamoto nyingi unaweza kusema wanatengeneza mazingira ya kupachika watu wao.mifano ni hii. 1...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tamko rasmi la mashabiki na wadau wa mpira wa miguu Tanzania

    TAMKO RASMI LA MASHABIKI NA WADAU WA MPIRA WA MIGUU TANZANIA Kuhusu Msimu wa 2024/2025 na Wito wa Mabadiliko ya Haraka TPLB Sisi kama mashabiki wa mpira wa miguu Tanzania, tunatoa tamko hili kutokana na kukithiri kwa dosari, vitendo visivyo vya kitaalamu, na uendeshaji mbovu wa Ligi Kuu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania kunafurahisha sana

    Habari zenu waungwana?? Kuna jambo limenifanya Leo nicheke sana.jambo lenyewe ni hili na nimeweka hapa hatua za kufuata... Azizi andambile alitolewa kwa mkopo kwenda yanga African,ambapo awali akitokeafountain gate,utata umezika kwa kipindi sasa tunaelekea mwisho mwa ligi au mwisho mwa msimu...
  13. JamiiForums Tanzania Sijawahi kushuhudia Tanzania ya aina hii

    Naomba nikiri kwamba, katika uhai wangu wa miongo ya kutosha kuitwa kikongwe, nimeshuhudia mambo mengi sana ya maana na ya hovyo ndani ya Tanzania. Kwa miaka mingi Watanzania walikuwa ni watu ambao ndani kama zilivyo nchi nyingine waligawanyika na kutofautiana sana, kimitazamo, kimaslahi ...
  14. JamiiForums Tanzania Haya yatatokea kati ya Juni na Disemba 2025

    JUNI 2025 Matukio yanayotarajiwa: Kutakuwa na majadiliano ya kina kuhusu katiba au mageuzi ya sheria fulani, hasa upande wa haki za kiraia na uhuru wa vyombo vya habari. Kutaibuka mjadala mkubwa kuhusu maadili ya vijana na matumizi ya mitandao ya kijamii. Sekta ya kilimo itaathirika na...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania ilikuwa sahihi kuisadia ANC kuondokana na utawala wa makaburu Afrika Kusini? Tulifaidikaje?

    Kwa nini Tanzania tuliisaidia ANC kwa hali na mali kupambana na serikali ya makaburu Africa Kusini? Je Tanzania tulipoisaidia ANC dhidi ya utawala Makaburu tulikuwa sahihi kama nchi kuingilia mambo ya ndani ya nchi yao? Tulipata faida gani kama nchi kuisadia ANC kuwandoa makaburu walioleta...
  16. JamiiForums Tanzania Wapinzani wa Nje: Acheni Tabia Mbaya ya Kuingilia Mambo ya Ndani ya Tanzania

    Rashda naandika Katika siku za hivi karibuni, suala la wanaharakati kutoka nje ya nchi kuingilia mambo ya ndani ya Tanzania limezua gumzo. Mwanasiasa mashuhuri kutoka Kenya, Martha Karua, pamoja na wenzake, walijaribu kuhudhuria kesi ya kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu. Lakini...
  17. JamiiForums Tanzania Not in my country: Wasituharibie kwetu! President Suluhu warns against foreign activists interference in Tanzania

    Now, 2025! Tanzania's President Samia Suluhu has defended the recent deportation of some high-profile Kenyan nationals, accusing unnamed foreign activists of attempting to destabilise the country's internal affairs asserting "Tanzania won't tolerate foreign interference. She pointed to a...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Tanzania mlikosea sana kumuweka Mwanasiasa kuongoza chama chenu Cha Wanasheria

    TLS haikuchagua Rais mwanasheria kwa maslahi ya wanasheria na kada ya Sheria, Bali walimchagua Mwanasiasa kwenda kupigania maslahi ya siasa kupitia TLS Leo hii tunapoongea mawakili wengi nchini wana shida kibao. Wapo mawakili wengi tu haswa wanaoanza wanaohitaji kusaidiwa zaidi kusimama kikazi...
  19. JamiiForums Tanzania Tanzania tujifunze kwa Finland kuhusu haki Sawa na Maisha ya Kazi, Serikali inalipa posho ya uzazi hadi mtoto akitimiza umri wa mwaka mmoja

    Wakuu, Karibuni tufahamu kwa uchache kuhusu nchi ya Finland kuhusu usawa wa haki na maisha ya kazi. Nchi hii imekuwa kinara wa usawa wa kijinsia kwa muda mrefu. Wafinlandi wamezoea kuwaona wanawake wakiwa katika nyadhifa za juu serikalini, katika sekta ya biashara, na hata kanisani. Mfumo...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania kushiriki Jukwaa la Uongezaji thamani madini Uingereza

    Leo tarehe 19 Mei, 2025 Ujumbe wa Tanzania kutoka Wizara ya Madini, ukiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo, umewasili jijini London nchini Uingereza kwa ajili ya kushiriki Jukwaa la Uwekezaji kwa Sekta ya Madini lililobeba agenda ya Uongezaji Thamani Madini (Minerals...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…