tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Tujenge "Green Space Garden City" kwa Majiji yote Tanzania

    Habari Tanzania ! Je, tunaweza kuwa na eneo au maeneo katikati ya Miji yalibuniwa vizuri, kupandwa na kuwekwa bustani za maua hasa kwenye haya Majiji yetu sehemu ambazo wananchi watapumzika na kuvuta hewa safi ? Ni sehemu ipi kwa hapa Tanzania yenye hali ya hewa nzuri, joto dogo na yakuvutia...
  2. JamiiForums Tanzania Nitahakikisha kunakuwa na Tanzania master plan model na kuanzia balozi, mwenyekiti, afisa mtendaji, wakuu wa wilaya na mikoa watakuwa na hardcopy

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisga nchi nzima inapimwa, na hii kazi ya kupima nchi nzima watapewa waholanzi, wakimaliza Tanzania master planning itakuwa kwenye three dimension na hardcopy watapewa mabolozi, wenyeviti wa mitaa, wakuu wa wilaya, na wakuu wa mikoa ili mwananchi akitaka kujenga...
  3. JamiiForums Tanzania Ikulu ya Tanzania ishtakiwe kwa mutumia VPN

    Kusajili vpn gharwma zake na taratibu zikoje
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanzania yasisitiza Uwazi na Uhuru Uchaguzi Mkuu 2025

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, ameyahakikishia mataifa mbalimbali ulimwenguni kuwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu, utafanyika kwa uhuru, uwazi na haki, kwa mujibu wa sheria mpya za uchaguzi za mwaka 2024. Akizungumza jijini Dar es Salaam...
  5. JamiiForums Tanzania Bado Tanzania kazi za kufanya kwa masaa hakuna halafu mnataka jiji la Dar liwe linafanya kazi masaa 24

    Tuna safari ndefu sana hususani hawa tuliwapa madaraka ndio watupangie kulingana na uwezo wao. Ni jambo zuri jiji kama dar kutaka liwe linafanya kazi masaa 24 yani watu wapige kazi usiku kucha. Je, hizo kazi mshajiuliza kuhusu waajili na wenye hizo kazi. Kazi nyingi za tanzania ni kama...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi ipo siku Tanzania tutatembea Usiku wa manane bila shida?

    Habari wakuu hivi ipo siku Tanzania na viunga vyake tutatembea usiku wa manane iwe kwa shida au raha bila kukutana na vibaka/tatu mzuka?
  7. JamiiForums Tanzania Strategic Execution Business Partner at Yas Tanzania June 2025

    Strategic execution business partner – New vacancy (apply by June 13, 2025) Let’s grow together—become our Strategic Execution Business Partner. About the role: We are seeking a Strategic Execution Business Partner with a master’s degree in business, finance, strategy, or a related field, and...
  8. JamiiForums Tanzania Nakusalimu kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mtu amenitumia msg ameanza na maneno hayo. Sijapendezewa. Yule mtu anaitwa nani sijui,Engels or something,ni me delete Ile post,sijui ana shida gani. Ameweka video ya mtu amepondeka uso kwa kupigwa. Huyo mtu alikuwa anaongea maneno ya kumkashifu K Julius Nyerere. Like it is something to...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: TSh. Bilioni 17.42 zakusanywa kwenye betting Tanzania

    Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema hadi kufikia Aprili 2025, Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imekusanya jumla ya Tsh. bilioni 17.42, sawa na asilimia 70 ya lengo la mwaka na imefanya programu tatu za kuelimisha jamii juu ya michezo ya kubahatisha, faida na hasara pamoja na...
  10. JamiiForums Tanzania Hatupo kwaajili ya CHADEMA wala CCM; Tupo kwaajili ya Kulisimamisha taifa la Tanzania na kuwapa nguvu watanzania kwa Haki

    Mpo Salama! Hakuna cha CCM wala Chadema. Hakuna cha Tundu Lisu wala Samia Suluhu! Hatumtetei yeyote na hatupo kwaajili ya yeyote. Tupo kwaajili ya Watanzania wote. Hatukubali Mtanzania yeyote aonewe. Iwe ni Mkubwa au ni mdogo. Iwe anahadhi au hana hadhi. Ndio maana tunapiga Kelele watu...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi hii ni propaganda ya kitoto, Tanzania haijaanzisha jeshi la siri la kuua raia

    MARIA SARUNGI: HII NI PROPAGANDA YA KITOTO, TANZANIA HAIJAANZISHA JESHI LA SIRI LA KUUA RAIA Na Nulphin Charles Heche Kupitia kampeni mpya ya upotoshaji iliyoanza Jumatano hii, Maria Sarungi na kikundi chake kilichopo Nairobi wameibuka tena na madai ya kipuuzi yanayodai kwamba Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Dunstan Kitandula: Raia wa nchi 71 kuingia Tanzania bila Visa

    Serikali imeingia makubaliano na nchi mbalimbali ili kurahisisha utaratibu wa viza ambapo raia wa Nchi 71 hawahitaji viza wanapoingia nchini. Kwa sasa watalii kutoka mataifa mengi zaidi duniani wanaruhusiwa kupata visa wanapowasili (visa on arrival) kwenye viwanja vya ndege vya kimataifa kama...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Demokrasia imara Tanzania chini ya Dkt. Samia

    DEMOKRASIA IMARA TANZANIA CHINI YA DKT. SAMIA Rais Samia Suluhu Hassan amechukua hatua kadhaa ambazo zimeonekana kuimarisha demokrasia nchini Tanzania tangu achukue madaraka mwaka 2021. Baadhi ya hatua hizi ni pamoja na👇 Kuruhusu Mikutano ya Kisiasa Tofauti na miaka ya awali ambapo kulikuwa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania VIBALI VYA BIASHARA YA TUMBAKU TANZANIA, na upatikanaji wake.

    habari ndugu zangu. naomba kujua vibali vinavyohitajika hapa Tanzania ili kuniwezesha kufanya biashara ya TUmbaku ndani na nje ya Tanzania. ( kununua na kuuza nje ya Tanzania)
  15. L

    JamiiForums Tanzania KERO Malipo ya Wanafunzi Law School COHORT 39 wanaodai chuo (overpayment_refund) imekuwa danadana na wahusika hawajalipwa

    Inaelekea wiki ya pili sasa tangu wanafunzi hao wamalize masomo hapo na HESLB imekwisha watumia message za malipo yao, chuo wamekaa kimya na Ofisi ya Uhasibu hawatoi ushirikiano mzuri, ni uwajibikaji gani huo? Pesa hizo zinalipwa lini? Dear .......... your loan item TU TZs 1,000,000.0 has been...
  16. JamiiForums Tanzania Ekari 18 zinauzwa, beach area, zipo Dar Kigamboni

    Beautifully Beach Plot for Sale at Kigamboni Kibugumo ●Area size 18 acres ●Price 1.3m usd ●Document Title deed ●Distance from main road is 1km Contact us and Schedule a visit: 🇹🇿+255758844717
  17. JamiiForums Tanzania 18acres for sale (beach area)located at Kigamboni dar🇹🇿

    Beautifully Beach Plot for Sale at Kigamboni Kibugumo ●Area size 18 acres ●Price 1.3m usd ●Document Title deed ●Distance from main road is 1km Contact us and Schedule a visit: 🇹🇿+255758844717
  18. JamiiForums Tanzania Kati ya hawa Nani ni Dikteta Tanzania

    https://www.facebook.com/share/v/1BgsNVZPy9/ Sikiliza kwa makini hii Video clip ndipo utajua nani ni Dikteta Tanzania anayeteka, kupoteza na kuua watu. Akili za kuambiwa changanya na za kwako( Mbayuwayu style). Tafakari
  19. B

    JamiiForums Tanzania PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka katika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025

    03 June 2025 Nairobi, Kenya PAMOJA VISA iko mbioni kurahisisha watu kuzunguka latika nchi wenyeji wa mashindano ya CHAN 2025 Michuano ya CHAN 2025 ikiwa inakaribia, nchi tatu za Afrika ya Mashariki zimejipanga kutoa viza maalum PAMOJA VIZA, itakayowapa mashabiki wa soka kuzunguka katika...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Seneta Nairobi amtaka Ruto aachane na msamaha wa kinafiki, achukue hatua kali dhidi ya Tanzania

    Seneta wa Nairobi Edwin Sifuna ataka Kenya ichukue hatua kali dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya utesaji wa wanaharakati Seneta wa Nairobi, Edwin Sifuna, ametaka serikali ya Kenya ichukue hatua za kisasi dhidi ya Tanzania kufuatia madai ya mateso na ukiukaji wa haki za binadamu dhidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…