Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Tatizo kubwa lililopo sasa ni moja tu,viongozi wetu wamediliki kuisigina misingi na miiko ya kimaadili ya uongozi wa nchi yetu Tanzania na Chama cha Mapinduzi CCM.
Twende na rejea hotuba ya baba wa taifa ya mwaka 1995 alipoalikwa katika mkutano mkuu wa CCM, alituasa kama chama na kama taifa...
Mpaka sasa Tanzania 0 na Madagascar 1
Kama Madagascar watatulia wana nafasi ya kuongeza tena goli. Tuendelee kuombeana.
Mpira umekwisha na Stars anapasuka
Kwa asili, kazi kuu ya msanii ni kutoa burudani. Na walaji wakuu wa kazi hizi kwa asilimia kubwa ni wananchi wa kawaida, watu wa mtaani, vijana, akina mama, na wapiga kura wa taifa hili. Hawa si serikali, si viongozi, bali ni watu wanaohitaji sauti, matumaini, na faraja kupitia sanaa.
Lakini...
Habari
Baada ya kuiona changamoto ya watu kutokuwa na uelewa wa kuyosha hususani susla la kuagiza magari nje ya nchi Leo nimeamua kukuletea magari Rosa YANAYOONGIZA Kwa KUAGIZWA Toka nje ya nchi
1. Toyota harrier
===
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila akiwa katika mahojiano na kituo cha runinga cha ITV kwenye kipindi maarufu zaidi cha DK 45 kinachoongwa na mwanadada machachari Ms Farhia Medley,
Pamoja na mambo mengine Mkurugenzi Kafulila akirejelea ripoti ya...
Katika tukio la kihistoria, Dkt. Nyambura Moremi ametangaza rasmi kujiuzulu kama Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Umma (NPHL), akihitimisha kipindi ambacho kilibadilisha kabisa taswira ya uchunguzi na maabara nchini Tanzania.
Kuondoka kwake kunaashiria mwisho wa enzi muhimu katika...
Kiongozi yeyote wa dini anayesema eti tulinde amani tuliyo nayo, ni kiongozi mnafiki, mwongo, anayetumika na waovu. Kiongozi wa namna hiyo tumpuuze.
Watu wanatekwa
Watu wanauawa
Watu wanapigwa, wanatiwa ulemavu wanatupwa maporini.
Watu wanakamatwa wanapigwa na kuawitiwa.
Halafu anatokea mtu...
Picha: Pinterest
Mtanzania lazima ufahamu kuwa Kila kitu unachokiona au kusikia kupitia media huathiri ubongo wako, na kwa hivyo utu wako.
Kwani taarifa tunazopokea kupitia media zina athari kubwa kwenye fikra zetu, na hisia.
Hivi karibu nimeona media zikipa kipaumbele habari za local...
Wakuu
Shirika la utangazaji Tanzania (TBC) linaloendeshwa kwa kodi zetu watanzania limethubutu kufunga comments kwenye mtandao wake wa Instagram eti kwa sababu tu wananchi wanaihubiri "NO REFORMS NO ELECTION" Kwa kutoa maoni kwenye taarifa wanazozipakia.
Shirika linaloendeshwa kwa kodi zetu...
Hapa Afrika kuna watu wanafahamika kama Jeshi la Mashambulizi. Hao ukianzisha ugomvi nao huko X (Twitter) jihesabie umepoteza pambano kabla hata halijaanza. Watu hao ni Wakenya wa Twitter (X) au kwa jina Maarufu Kenyans on Twitter.
Baada ya kudharauliwa kwa muda mrefu Watanzania sasahivi...
#rent
#STAND_ALONE HOUSE
IKO-DAR-ES-SALAAM Tz
MAHALI- MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI
———————————————————
KODI USD 1300$/=KWA MWEZI
________________
MALIPO YA MIEZI 6
————-
IKO PEKE YAKE KWENYE FENSI
_________________
KUBWA YA KIFAMILIA
______
YENYE:-
Vyumba vinne vya kulala, # Master #Ac...
Kwa mujibu wa Biblia Takatifu, Kuua, Kubaka, Kulawiti na kuonea watu ni dhambi.
Kama nchi yetu imefikia hatua Makanisa yanafungiwa kwa kukemea dhambi kwa mujibu wa Biblia basi tukubaliane kuwa Ukristo unashambuliwa rasmi nchini Tanzania.
Huu ni wakati Wakristo wa Tanzania wanapaswa kusimama...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 06 Juni, 2025 amemkabidhi Mkuu wa Majeshi wa kwanza mstaafu Jenerali Mirisho Sam Hagai Sarakikya gari jipya la kisasa aina ya Toyota VXR nyumbani kwake Arumeru nje kidogo ya Jiji la Arusha.
Akiongea muda mfupi...
06 June 2025
Peter Mokaba Stadium
Pietersburg (Polokwane)
South Africa
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, 'Taifa Stars' kinatarajiwa kuingia uwanjani leo kuvaana na Afrika Kusini 'Bafanabafana' kwenye uwanja wa Mokaba stadium.
Mchezo upo dakika 60 bado milango ni migumu kwa timu zote...
Kufuatia Kauli ya Rais wa JMT, kuwaambia baadhi ya waumini wa Kikristo kuwa Utumishi wao ni wa KISHETANI- je Presidential Department ime compromise intergrity na Misingi ya Taasisi hiyo kuwa inaheshimu Imani zote?
Kutumia CHEO na Platform za kidini kujustify UOVU .... sidhan kama ni mila na...
Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania.
Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao, baadhi ya raia na mashirika ya kiraia walitilia shaka mazingira ya tukio hilo.
Lakini hata kama...
Barabara za lami za nchi ya Switzerland au Japan ni imara na pia ni nzuri sana kwa mwonekano zinavutia
Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisha barabara za Tanzania zinakuwa na ubora na zitakuwa nzuri kwa mwonekano
Mwanza, Tanzania - Kwa mtazamo wa haraka, wanaonekana kama vijana wa kawaida wanaofanya mazoezi ya kukimbia. Wakiwa wamevalia sare za mazoezi zinazofanana na wakiwa na vitambaa vyekundu shingoni, wanakimbia kwa mpangilio asubuhi na mapema, wakiandamana na askari waliobeba silaha. Kwa mtu asiye...
Brussels – Umoja wa Ulaya (EU) umepiga marufuku ndege zilizosajiliwa Tanzania na nchi ya Suriname kutokana na upungufu wa usimamizi katika usafiri wa anga kwa mujibu wa taarifa ya EU iliyotolewa Juni 3, 2025.
Hatua hiyo imefuatia Tume ya Ulaya kusasisha orodha ya usalama wa usafiri wa anga ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.