Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Bajeti ya Serikali ya 2025/26 itakayosomwa kesho Juni 12, 2025 ni bajeti ya uchaguzi kwa sababu Serikali imeanza safari ya kugharamia uchaguzi wake yenywe na sio kutegemea wafadhili.
Makundi yote ya WhatsApp Tanzania yamegeuka kuwa makundi ya ushabiki wa SIMBA & YANGA. Hatukatai kwamba mpira ni burudani kubwa sana hapa nchini, lakini sasa imekuwa kero kwenye makundi ambayo hayakuanzishwa kwa ajili hiyo.
Unakuta kundi linaanzishwa mahususi kwa ajili ya kupeana matukio na...
Mlio wekeza Tanzania kwenye kampuni kubwa tuambieni changamoto mnazo pitia mnashauri nini kwa hii serikali au tukawekeze kwa kupitia ulaya.
Kwa yanayoendelea Tanzania ni wazi nchi inanuka rushwa sasa na haki hakuna tena, kuwekeza Tanzania alafu ni raia ni sawa na kujiwekea kitanzi au mnasemaje...
Barua ya Wazi kwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania
Mheshimiwa Mkuu wa Chuo,
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuchukua fursa hii kwa niaba ya wanafunzi wa kitivo cha elimu kukupongeza kwa dhati kwa kuteuliwa kwako kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha...
KUZUIWA KWA CHADEMA KUNALISITISHA BUNGE ZIMA KWA MUJIBU WA KATIBA NA SHERIA ZA TANZANIA
Maamuzi ya mahakama yaliyotolewa jana dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kwamba kisitishe shughuli zake za kisiasa kwa muda wa siku 14, yameibua maswali mazito ya kikatiba, kisheria na...
TANZANIA NA CHINA KUONGEZA NGUVU KATIKA DIPLOMASIA YA UCHUMI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Wang Yi pembezoni mwa Mkutano wa Jukwaa la...
TANZANIA: DEMOKRASIA INAANGUSHWA KIMYA KIMYA
"Huko Tanzania, jukwaa linaandaliwa.
Sauti za upinzani zimezimwa, mikutano imepigwa marufuku, viongozi wamefungwa. Kadri uchaguzi wa mwaka 2025 unavyokaribia, kinachoandaliwa si uchaguzi—bali ni maigizo, na ni mwigizaji mmoja tu anayeruhusiwa...
Waafrika tunakasumba ya kuwaona wazungu wanaoishi Ulaya kama watu wenye maisha mazuri kuliko Waafrika wanaoishi Afrika. Tumeitukuza Ulaya na Wazungu wanaoishi huko kuliko waafrika wanaoishi Afrika. Wazungu wamejitahidi kujipamba na kujipambanua kwa Waafrika kuwa Ulaya ni kuzuri na kuna maisha...
Kama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo:
1. Muhimbili ( Muhas)
2. Bugando ( Cuhas) cha wakatoliki
3. Bugando ( Mwachas) cha
serikali
4. KSP kipo KCMC Moshi
5. Udom
6. Mtwara Cohas
7. Tabora Cohas
Vyuo vingine go at your own risk!
Utahangaika sana hasa utakapokuja kufanya...
Kuna Pimbi wa Lumumba Jana kaja na Uzi ukisema "Gwajima kaangukia Pua Rufaa yake".
Ruling hii maana yake, Mahakama inasema ,Kanisa la The Glory of Christ Tanzania Church hamna Mahali limefungiwa, Wala Kufutwa, Kwa sababu Barua ilosambazwa mitandaoni SIO Barua ilioelekezwa kwenye Kanisa la The...
HAYA NI BAADHI YA MAMBO YALIYOMO KATIKA WARAKA WA SHURA YA MAIMAMU , WARAKA MZIMA UPO KATIKA ATTACHMENT
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
S.L.B.2055 DAR ES SALAAM. 0748410746 WARAKA WA IDD ADH-HAA DHULHIJJA 10, 1446 = JUNI 07, 2025
PITIO LA HALI YA MAISHA TANZANIA 2025
Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025...
Mjumbe wa Kamati Tendaji ya Chama cha Wafugaji Tanzania (CCWT), Thomas Nkola maarufu kwa jina la Mkulima, amepinga vikali uamuzi wa chama hicho kuwatoza wafugaji Sh 15 milioni kutoka kila kanda kwa ajili ya maandalizi ya Kongamano la Wafugaji Tanzania linalotarajiwa kufanyika mwezi huu mjini...
SASA nadhani wote tunashuhudia namna siasa za Tanzania zinavoanza kuchukua sura mpya baada ya matukio kadhaa kutokea ndani ya siku chache zilizopita. Tumeshuhudia zomea zomea kwa viongozi waziwazi kuonyesha ni namna gani watu wapo serious wakati huu. Kizazi kilichopo kwa sasa asilimia kubwa ni...
Waliosema hadi Kuapia Mizimu na Miungu yao sasa wanajiandaa kuja na Press Conference ya Kuwaambia Mashabkiki zao kuwa baada ya Kikoa na Maelewano baina yao na waliokuwa Wanatunishiana Misuli na kwa Maslahi mapana na Mpira wa Tanzania wamekubali kuweka Silaha chini na KUCHEZA hiyo Mechi ambayo...
Matatizo mengi yanasababishwa na uwezo mdogo wa Elimu
Elimu ya kikoloni
Wenzetu wanaendelea kwa kasi Kwa sababu ya elimu yao ibo vizuri
Na technology
Ni bora mtu asomee kitu atakachobobea awe mtaalamu zaidi
Jamani elimu haina mwisho.
Hiki kituo One Stop Judicial Centre Temeke - High Court of tanzania genesis yake ni ipi na kwanini kinaitwa One stop centre .......
Tanzania stand up, stand up
Stand up for your rights
Stand up for your power
Stand up for your development
Wasiojulikana watateka nchi nzima?
Walio salama ni wana CCM tu?
Wanajua kujaza form za ugombea ni CCM tu?
Nani asiyeona umuhimu wa tume huru ya uchaguzi?
Nani asiyeona umuhimu wa katiba...
Rais wa Marekani aamuru vikosi vya kijeshi kuungana na Askari wa uhamiaji kudhibiti vurugu na maandamano yanayoendelea kupinga uondoshwaji wa wahamiaji haramu.
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekumbwa na ongezeko la matukio ya kutekwa kwa watu—hali inayoibua hofu, mshangao na maswali mazito miongoni mwa raia wake.
Hili si jambo la kawaida, na n
Kinachosikitisha zaidi ni kwamba kuna madai ya kuhusika kwa watu waliomo ndani ya mfumo rasmi wa...
Kwa macho ya kawaida, Tanzania inaonekana shwari. Lakini kwa waliopasua pazia la unafiki, hali si ya kawaida tena. Udini umejitokeza waziwazi, tena kwa ushawishi wa kutisha.
Mawaidha ya Eid mwaka huu yameacha majeraha ya kihisia kwa baadhi ya viongozi wa dini nyingine, waliodai kuwa wamepingwa...