tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Acha uchawa. Pambania maisha Yako. Pambania Tanzania

    Huwa nasikitika sana tu yuvisisiemu namna tunatumika masikini na wanasiasa. Hawa wanasiasa wanawatumia tu ili wao wafanikishe mambo yao. Mwisho wa siku nyie mnabaki masikini wa kutupwa. Enyi vijana. Acheni uchawa. Pambania maisha Yako,pambania Tanzania. Nawaambieni nchi yetu inaongozwa na...
  2. JamiiForums Tanzania Ifike wakati jeshi la polisi Tanzania lione aibu

    Haya ndiyo matumizi mabaya ya mitandao?👇👇
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania tuna silaha za nyuklia kiasi gani?

    Kama Taifa tuna Aina yoyote ya silaha za nyuklia? Mitambo ya kuunda silaha hizo yanalindwa au ndio Adui akitaka anajilipulia atakavyo? NB: tuchukue tahadhari kwa yanayotokea Iran. Tulinde vinu vyetu vya nyuklia kwa wivu vya Mkubwa.
  4. JamiiForums Tanzania Marufuku ya kanisa katoliki kwa wanasiasa kutoa salamu kwa waamini kanisani ni kama ile habari ya kutengeneza tatizo wenyewe na kulitatua wenyewe

    Kutafuta ushujaa wa kinafiki namna hiyo kwa taasisi kubwa kama Roman Catholic ni fedheha kubwa sana, licha ya kua marufuku hii ya kisiasa kanisani pamoja na mambo mengine inalenga kudhibiti upendeleo wa wa baadhi ya makasisi waandamizi wa kanisa hilo kwa viongozi wa kisiasa, hususani wa...
  5. JamiiForums Tanzania Safari ya Ndoto: Tembea Mount Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro, Tarangire, Arusha NP, Chemka & Serval, Tuondoe Mawazo, Tuijue Tanzania Yetu!

    Ndugu wanajamvi wa JamiiForums, Kwa heshima na taadhima, naomba kuwasilisha rasmi pendekezo la safari ya kipekee ya adventure na utalii wa ndani (Domestic Tourism) inayolenga kutuvusha kutoka katika pilikapilika za maisha ya kila siku, kwenda kwenye maeneo yenye utulivu, mandhari ya kuvutia...
  6. JamiiForums Tanzania Kwenda VETA ni jau, lakini DEGREES ARE USELESS.

    Degree imekua nyepesi sana kuipata aseee!!! Toka lini kitu kinachopatikana kirahisi kiwe na thamani? Ushauri: Kabla ya kupoteza muda wako kwenda kusoma degree hebu jitafakari kwanza. Game imechenji, chawa wanapata kuliko wenye degree zao(sihamasishi uchawa) Tazama hiyo video hapo chini...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba hawakumwelewa Ahmed Ally alipowaambia kesho ni mechi ya mwisho Simba kucheza nyumbani na Kagera Sugar, alimaanisha hivi

    Washabiki wa soka nchini ni mtihani mkubwa sana, wana uelewa mdogo sana wa mambo, juzi Ahmed Ally amewaambia washabiki wajazane na familia zao kuwaaga wachezaji kwa sababu itakuwa mechi ya mwisho kwao kucheza nyumbani, wengi wametafsiri kauli hii kuwa Simba inamaliza mechi kesho.La hasha...
  8. JamiiForums Tanzania Mashoga Wanadai Haki, Lakini Je, Tunaelewa Tunachoshinikizwa Kukubali?

    “Mashoga Wanasema Wanataka Haki Zao, Lakini Kabla Hatujaanza Kujadili Hizo Haki, Tuwajadili Wao Kama Jumuiya” Nianze kwa kusema jambo moja, kwa sauti ya juu na kwa tahadhari ya tahadhari: Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Waafrika, Watanzania, watu wa tabaka la wanaojiona bado tuna...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Title: The TIS Act of 2024: Legalizing Abductions and Dismantling Accountability in Tanzania*By Dr. Wilbrod Slaa

    Title: The TIS Act of 2024: Legalizing Abductions and Dismantling Accountability in Tanzania By Dr. Wilbrod Slaa In recent years, Tanzania has witnessed an alarming increase in cases of abductions, disappearances, and arbitrary detentions. At the heart of this troubling trend lies the Tanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa,Morocco Dar es salaam

    #plotforsale Kiwanja kinauzwa Location moroco Sqm; 2,426 Price; $Million 1.5 negotiable Hati miliki ipo. Ni kizuri kwajili ya biashara Kiwanja cha2 kutoka lami 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  11. E

    JamiiForums Tanzania Hatima ya ukombozi wa Tanzania itaamuliwa na mfumo

    Ugonjwa mkubwa wa Tanzania upo katika mfumo wa uendeshaji wa hili taifa,ukiiponya mifumo umeliponya taifa. Tanzania haimuitaji Tundu Lissu,haimuitaji Zitto Wala Lungwe,haiwaitaji CHADEMA,CHAUMMA au CCM Ili iwe na maendeleo ya kijamii au kiuchumi bali inahitaji mifumo Bora ya uendeshaji wa...
  12. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden Unawaalika kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani

    Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Stockholm - Sweden Unawaalika kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani Mahali: Piazzablu, Hallonbergsplan 5-7, 174 52 Sunday Sundbyberg Tarehe: Julai 5, 2025 Muda: Saa 7:00 Mchana - Saa 1:00 Jioni Burudani: Saa 1:00 Jioni - Saa 4:00 Usiku
  13. K

    JamiiForums Tanzania UFUTA : Kwa Nini Serikali ya Tanzania Inapaswa Kusitisha Minada ya Mazao ya Kilimo

    Serikali ya Tanzania imekuwa ikitekeleza mfumo wa kuuza mazao ya wakulima kupitia minada ya kiserikali kwa lengo la kudhibiti bei na kuleta uwazi katika biashara ya mazao. Hata hivyo, mfumo huu una changamoto nyingi ambazo zinaathiri moja kwa moja kipato cha mkulima wa kawaida. Mfano halisi ni...
  14. JamiiForums Tanzania Amani aliyoipigania Nyerere imevurugwa, ila Nina Imani hizi zama zitapita na Tanzania yetu Itarudi Salama na Kusimama tena

    Wakuu kwema? Leo hii, moyo wa taifa letu unapitia majaribu. Kumekuwa na ongezeko la matukio ya utekaji, mateso na mauaji ya raia hasa wale wanaotoa maoni tofauti au kusimamia haki. Hali hii inaleta hofu, giza, na ukimya wa kulazimishwa. Matukio haya yameipaka doa nchi yetu ambayo kwa muda...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Mujibu wa Fitch Rating, Tanzania yaizidi Marekani kwa kasi ya Ukuaji wa Uchumi

    KAMPUNI ya kimataifa ya Fitch Rating inayojihusisha kufanya tathmini ya nchi kukopesheka katika masoko ya mitaji ya kimataifa, imeithibitisha Tanzania kuwa na uchumi thabiti wenye uwezo wa kukopesheka katika masoko ya mitaji kimataifa. Kupitia taarifa ya kampuni hiyo iliyochapisha hivi...
  16. JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyefikia hata robo ya viwango vya NYERERE

    Hawa ni Marais wa nchi tangu Tanzania ianzishwe 1. Julius Kambarage Nyerere 1965 - 1985 (miaka miaka 20) 2. Ali Hassan Mwinyi 1985 - 1995 (miaka 10) 3. Benjamini William Mkapa 1995-2005 ( miaka 10) 4. Jakaya Mrishi Kikwete 2005 - 2015 ( Miaka 10) 5. John Pombe Magufuli 2015 - 2021 (Miaka...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania: Kanisa Katoliki kufanya ‘sala maalum’ kuombea uwepo wa Haki na Amani katika nchini

    Huu ndo mwongozo maalum umetolewa leo
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Tanzania kuiunga mkono Iran kwenye vita

    kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na chapisho linalosambaa kwenye mtandao wa kijamii wa facebook ikionesha gazeti la kishindo likieleza kuwa jeshi la tanzania linajiandaa kupeleka majeshi yake nchini iran kwa jili hya kuipiga Israel.
  19. JamiiForums Tanzania Apartment for rent Tanzania

    #houseforrent NYUMBA INAPANGISHWA IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI-MBEZI BEACH ______________ KODI USD 800$ KWA MWEZI _________________ MALIPO YA MIEZI 6 ________ NZURI YA KISASA _____________ YA KIFAMILIA, _______ YENYE:- Vyumba Viwili vya kulala #Masta #Sebule #dinning #Jiko zuri lenye stoo...
  20. JamiiForums Tanzania Top 10 ya Makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania

    Mko poa? Nimebahatika kuishi na jamii nyingi za Kitanzania, na hii ndiyo orodha yangu ya top ten ya makabila yanayoongoza kwa kula chakula kingi hapa Tanzania: 1. Wasukuma 2. Wanyakyusa 3. Wasafwa 4. Wajita 5. Wahaya 6. Waha 7. Wajaluo 8. Wakurya 9. Wangoni 10. Wagogo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…