tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Property for sale Tanzania

    #forsale ENEO LENYE MAJENGO MAZURI YA HUDUMA ZA KIJAMII LINAUZWA ENEO LIPO TABATA CHANG'OMBE MWANZO LIMETUMIKA NA CHUO (x) BEI=BILLION 1,MAONGEZI YAPO KIDOGO KUNA 🔹Madarasa 9 makubwa 🔹Ofisi 🔹Na Mambo mengine mengi KWA SASA ENEO LINAWEZA KUTUMIKA KWA MATUMIZI MBALIMBALI KUTOKANA NA MNUNUZI...
  2. JamiiForums Tanzania Bidhaa zote kwenye mashindano ya sabasaba na nanenae lazima zitakuwa made in Tanzania na sio vinginevyo

    Itakuwa ni lazima kwa bidhaa zote kwenye mashindano ya sabasaba kuwa made in Tanzania, sio sawa hata kidogo kuchukua bidhaa China au India na kwenda kudisplay kwenye maonyesho ya sabasaba hilo sio Lengo Na pia kwenye maonyesho ya nane iwe ni tractor lazima liwe made in Tanzania na sio assembly...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kuzaliwa mwenye akili hapa Tanzania

    Watu wenye akili hapa Tanzania wanapata shida sana kuishi. Kwann nasema hivi? Wajinga ni wengi sana na kupelekea wenye akili kujikuta hawawezi kuendana na tabia na hulka za wajinga.. Hivyo wenye akili mara nyingi hushindwa:- 1. Kudumu kwenye ndoa. Fuatilieni wanaoshindwa ndoa pamoja na "kataa...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo 6 muhimu ya kukumbukwa ya Bunge la 12 la Tanzania

    Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linavunjwa rasmi leo Juni 27, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan, ambaye pia anatarajiwa kulitunuku hotuba ya mwisho. Moja ya mafanikio makubwa ya bunge hili ni kuulizwa kwa maswali zaidi ya 20,300, kupitishwa kwa miswada 58, maazimio 922 na mikataba...
  5. JamiiForums Tanzania NIC Tanzania lini mtatoza Bima za Nyumba/ Majengo nchi nzima

    Habari Shirika la Bima la Taifa (NIC) ! Naomba kuwauliza. Je, mnajua jamii na Taifa letu Tanzania wananchi waunguliwa nyumba zao, wanapata mafuriko nyumba zinaharibika, upepo na majanga ya asilia yanaathiri makazi ya watu na nyinyi mpo tu ?. Mmekufa ? Nawaomba ikiwapendeza; wekeni pendekezo la...
  6. JamiiForums Tanzania Nini kimetokea kwa Air Tanzania TC800, Dar - Kinshasa?

    Wakuu Hii ndege ya Airbus A200-300, Imeondoka Dar saa 10Asbh kuelekea Kinshasa lakini ndani ya Dakika 40 imerudi, Kuna shida gani? Je, inadharura? Jamiicheki tusaidieni tujue.
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania inavyoweza kupiga Hatua Kiuchumi na kielimu

    So far hapa tulipofika kuna watu wamepambana lakini haiondoi ukweli kuwa bado tupo nyuma. Huu ndio ukweli wa wazi Nimekuwa nikiwaza kwa namna gani tunaweza kupiga hatua mawazo yangu yakanituma kutazama vilabu viwili Simba na Yanga ambavyo vimepiga hatua walau nakutuweka kwenye ramani ya nchi za...
  8. JamiiForums Tanzania Policy Forum Breakfast Debate: Bomba la Mafuta la Uganda, EACOP, Ndio Mradi Mkubwa Kuliko yote Tanzania kwa Sana, Una Fursa Kibao! WaTZ Tuuchangamkie

    Wanabodi, Leo niko hapa Four Points by Sheraton, Dar es Salaam, kuwaletea live mjadala wa hili Bomba la mafuta la Uganda, ambao ukiondoa mradi wa LNG ambao bado haujaanza, huu ndio mradi mkubwa Tanzania wa uwekezaji kuliko miradi yote wenye fursa kibao kwa Watanzania...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna Wasabato maarufu hapa Tanzania kwenye sanaa, michezo, siasa, system, biashara, n.k

    Sijaanzisha post hii kwa lengo lolote la kidini, ni pure curiosity. Ni kawaida kwamba kundi lolote linapokuwa na idadi kubwa ya waumini au wafuasi, huanza pia kuzaa watu maarufu kwenye medani mbalimbali—iwe ni kwenye siasa, sanaa, michezo, biashara, au hata kwenye system. Lakini kwa upande wa...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania hakuna wanamapinduzi/wapinzani wa kweli bali wachumia tumbo ndiyo maana viongozi wao wote wana mivitambi

    Unaposema wewe nimwanamapinduzi basi uwe na uwezo wa kufanya hayo mapinduzi kwa vitendo na ionekane hivyo. Unaposema wewe ni mpinzani basi uwe na uwezo na kukosoa/kupinga kila baya wanalofanya viongozi walioko madarakani na si vinginevyo. Pia uwe tayari kushindia mihogo na maji kama...
  11. JamiiForums Tanzania Wakati Kenya wana Gen Z, Tanzania tuna Gen Ziro

    Japo wana mapungufu na mazabe yao, wakenya wanatushinda parefu. Nchi yao ni chini ya nusu ya Tanzania lakini wana uchumi mkubwa kuliko wetu japo si wao bali waingereza na magabacholi. Pili, wanajitambua wakati sisi. hatujitambui wala kutambua wengine. Tatu, Wakenya wanajua wanachotaka kama...
  12. JamiiForums Tanzania SIRI YA UPONYAJI (UGONJWA WOWOTE)

    Tumezoea Kuona watu wanaumwa Na kutegemea Dawa sana Na wengine wanaenda kwa waganga kumbe wanaongeza matatizo Kwa Nguvu za Mungu hakuna lisilowezekana -Imani Kuwa na Imani na unapo sali Na pia Omba toba usamehewe dhambi zako Math 9:22 Yesu akageuka, akamwona, akamwambia, Jipe moyo mkuu, binti...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Commerxial Bank ( TCB) wekeni system zenu vizuri

    1. Msg haziji kwa wakati zinapofanyika au kungiza transaction.............zinachelewa sana , one day sometimes compared to other banks 2. Salary, pension advances, nisogeze hazifanyiki kazi hadi leo 3. ATM ni moja kwenye miji mingi. shida tupu! SHIDAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA TUHAMIE WAPI?
  14. JamiiForums Tanzania Dhahabu yote inayochimbwa Tanzania itakuwa inashafishiwa hapa

    NIKIWA RAIS WA TANZANIA Hii itakua ni lazima na sio hiari dhahabu itakayotoka nje ya Tanzania ni ile tu ambayo ni final product na sio ambayo bado haijashafishwa Eti nchi kama uswiss ambayo haina hata mgodi mkoja wa dhahabu eti wana-reserve kubwa ya dhahabu hiki si kituko Na lazima ifanyike...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Daktari wa China akumbukwa nchini Tanzania kwa kujitoa muhanga kishujaa

    Daktari wa ganzi wa China, Zhang Junqiao, aliwahi kusema kwamba "Bila kujali utaifa au rangi, ninachothamini zaidi ni maisha," Asubuhi ya siku ya Ijumaa, zaidi ya watu 300 walikusanyika huku kukiwa na kimya kizito katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam, Tanzania, na...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kuwa na watu wengi Tanzania

  17. JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania kuna biashara ambazo hazijawahi kosa wateja hata siku moja?

    Hapa Tanzania kuna biashara ambazo hazijawahi kosa wateja hata siku moja? Biashara yenye wateja wengi ndiyo njia bora ya kuhakikisha una kipato cha uhakika na faida ya kudumu. Hii ni kwa sababu biashara hizi zinagusa moja kwa moja maisha ya kila siku ya watu. Kila mtu anahitaji kula, kuvaa...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri mkuu kwa kauli hii kuelekea taifa salama zaidi: Sasa ni muda tuwaamini viongozi wenye maarifa na weledi wa kiutendaji siyo umaarufu pekee

    Katika kusikiliza hotuba ya Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ujumbe wake umebeba uzito mkubwa unaweza kugusa hali halisi ya sasa na maono ya nchi yetu kwa miaka ijayo. Kauli hiyo, yenye kina cha uongozi na uchambuzi wa mwenendo wa taifa, inapaswa kutazamwa kama mwanga...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia ulikosea sana kukubali Kuingizwa 'Kichwa Kichwa' katika Siasa za UYANGA na USIMBA, na sasa Mpira wa Tanzania unaenda Kuchafuka mazima

    Na wala hukuanza leo kwani hata mwaka jana Mimi GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums niliwahi kuja na Uzi wa Kukusihi kuwa acha kabisa kukubali kuonyeshwa upande wa Kushabikia na huyo Mshauri wako Mnafiki na Fisadi wa Chalinze Bagamoyo kwani anakuharibia na hukutaka kunielewa kwakuwa ulidanganywa...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiona mpaka sasa unapewa hivi vitu ujue wewe ni masikini wakutupwa hapa Tanzania.

    Tisheti Kofia Baiskeli Pikipiki Vitambaa . Watu wanakupa Baiskeli huku wao wakisukuma V8 Kuweni makini zama hizi ni za kuendesha Baiskeli kweli.?...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…