Serikali ya Zanzibar imepanga kuanza kunuuna mchanga kutoka Tanzania Bara kwajili ya miradi.
Kwa hio mapato haya yanarudi upya Zanzibar kujenga barabara, shule, hospitali, madaraja, n.k. kwajili ya maendeleo ya muungano?
Taarifa ndefu ipo hapa >>> Zanzibar kuanza kuagiza mchanga kutoka...
Serikali ya Zanzibar imetangaza mpango wa kuanza kununua mchanga kutoka Tanzania Bara kwa ajili ya kutumika katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo inayotekelezwa visiwani humo.
Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Maji, Nishati na Madini wa Zanzibar, Nadir Abdul Latif, alipokuwa...
Fatma Karume alisimamishwa kufanya kazi za uwakili kwa upande wa Tanzania bara tangu mwaka 2019 akipinga uteuzi wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali(AG) Dkt Adelarus Kilangi aliyeteuliwa na rais John Pombe Magufuli mnamo February Mosi 2018 kuwa hana vigezo.
Umemsikia Mwigulu?
kwanini tunasherehekea sikukuu ya uhuru wa Tanzania bara ilhali hakuna kusherehekea siku ya Mapinduzi ya Tanzania visiwani?
Kwanini title ya ‘siku ya uhuru wa Tanzania bara’ ila wao hawatumii title ya siku ya Mapinduzi ya Tanzania visiwani ila wanatumia Mapinduzi ya Zanzibar?
Ulimuswano Mwanaweswe!.
Moja kwa moja kwa mada.
Najua vijana na baadhi ya wananchi kwa ujumla wa Taifa hili Tanganyika kama siyo Tanzania.
Walio wengi wanatakani sana mabadiriko kisiasa, kijamii na kimaendeleo. Ila kuna fungu la walio wachache wanakaza.
Kufuatia hilo 29.11 ilikuwa siku yao...
Maana katika Press yake aliongea kitu ya kwamba angelikuwa na uwezo angewakusanya Vijana wote wa Tanzania Bara na kwenda kuwatupa nje ya nchi kama vile Iddi amin Dada alivyokuwa akiwatupa watu kwenye ziwa victoria.
Kiashiria kingine ni kwamba Tangu alivyotimiza lengo lake la kupunguza idadi ya...
Wakuu,
Baada ya M029, Mange Kimambi ameitisha tena maandamano mengine siku ya Uhuru yaani Disemba 9
Anasema nchi itakuwa na maandamano tu hii hadi haki ipatikane.
Nawaza tu: Kwa hiyo tutakatiwa tena internet nchi nzima? Nyumba zetu zitavamiwa na kupigwa risasi na polisi? Vijana wa Kitanzani...
Jawabu ni kuwa Zanzibar ilishapitia haya toka mwaka 2000 na wananchi wa tanzania bara walikaa kimya kana kwamba hakuna kikubwa kinachoenelea.
Mkapa mwenyewe kwenye kitabu chake "My life, my purpose" amekiri na kujuta juu ya uamuzi wa kutuma majeshi kutoka bara kwenda zanzibar kupiga na kuuwa...
Hawa wagombea urais wa ccm (Rais na makamu wake) ambao ndio wanapewa turufu kubwa ya kushinda sina imani na afya zao kabisa.
Kwa kuwaangalia tu kwa macho ya kawaida hawa watu afya zao ni dhaifu sana.
Sasa kama taifa tusije tukapata hasara ya kurudi kwenye uchaguzi muda mfupi ujao baada ya...
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Halima Bulembo ameshinda nafasi ya Ubunge Viti maalum Tanzania bara akipata kura 320 nyuma ya Ng’wasi Kamani mwenye kura 409 na Jesca Magufuli mwenye kura 409.
Zoezi la upigaji kura lilianza rasmi mnamo Agosti 1, 2025 na kufikia tamati alfajiri ya leo...
Wakuu, msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/2026 unakaribia kuanza huku joto la soka likizidi kupanda. Kila shabiki ana matumaini, kila timu inajiandaa, lakini swali ni moja, nani watatamba msimu huu, na nani atasindikiza wenzake hadi kushuka daraja?
Kwa usajili, tetesi na maandalizi ya...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za Kitanzania sawa na Dola za Marekani 44.
Lengo la bima hii ni kugharamia dharura za kitabibu, kupotea kwa...
Hebu tuweke kwanza mapenzi ya vyama pembeni,
Hayati Magufuli alikuwa kiongozi mzalendo aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni mwake na sisi sote ni mashahidi kwa hilo
Lakini baada kufa kuna Viongozi wamekuja hawana hata uchungu na Tanzania bara,wamejaa porojo wameuza rasilimali zetu alizozipigania...
John Mrema amejisahau kubadili Akaunti ya X, ametumia ya CHAUMMA kumtolea povu Zitto Kabwe.
Amesema Zitto Kabwe ameshindwa kukuza chama cha ACT, kwa Tanzania bara kipo kata 2 tu za Tunduru na mojawapo ipo Kigoma.
Haya yanajiri baada ya Zitto Kabwe kuwakaribisha wanachama wa vyama vingine...
Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
afrika
bara
hoja
kusikia
mikwara
mpinzani
mtanganyika
nyerere
polisi
rais
rais wa tanzania
rais wa zanzibar
siasa
siasa za afrika
tanzaniatanzaniabara
tatizo
usa
utamu
zanzibar
https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA
Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (MB).
Ufunguzi huo unafanyika kwenye Ukumbi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.