tanganyika

Tanganyika was a sovereign state, comprising the mainland part of present-day Tanzania, that existed from 1961 until 1964. It first gained independence from the United Kingdom on 9 December 1961 as a state headed by Queen Elizabeth II before becoming a republic within the Commonwealth of Nations a year later. After signing the Articles of Union on 22 April 1964 and passing an Act of Union on 25 April, Tanganyika officially joined with the People's Republic of Zanzibar and Pemba to form the United Republic of Tanganyika and Zanzibar on Union Day, 26 April 1964. The new state changed its name to the United Republic of Tanzania within a year.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zanzibar ikodishe wachezaji wa Tanganyika ?

    Baada ya Zanzibar kufungwa 3 nunge na Uganda, ifike kipindi wawe wanachukua wachezaji wa Tngayika ili kuenzi mpira wetu na undugu wetu mzuri wa miaka kwa miaka!
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Tanganyika wameanza kusimama ili wahesabiwe

    Musukuma: Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi awadhibiti Mawaziri, Wabunge na Wawakilishi wake waache ubaguzi, mbona Wazanzibari wanatibiwa Tanganyika. Musukuma: Robo tatu ya Wachimba madini Geita ni Wazanzibari. Waitara: Mbunge kutoka Zanzibar aliyesema kuna Yuda afukuzwe bungeni na amtaje Yuda ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa Sheikh kwa mwanasheria mkuu wa serikali, atetea matibabu kwa Wazanzibari

    Sheikh anatoa nasaaha nzito akitaka kuwepo kwa uwazi kabisa kuhusu mambo ya Muungano ili kuondoa migogoro na migawanyiko kati ya wananchi wa Tanzania Bara (Tanganyika) na Zanzibar. Anatoa wito wa dhati kwa Wanasheria Wakuu wa pande zote mbili kuweka wazi na kueleza kwa kina ni mambo gani hasa...
  4. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar siku ukiwekwa wazi kuna viongozi watakuwa uchi na wengine kuwa mashujaa

    Kuna mambo hapa Afrika ndio pekee kufichwa sana au kupoteza ushaidi. Ndio maana Afrika ni ngumu kupata ushahidi wa makaratasi. Mfano October 29, 2025 inatosha kusema ushahidi unafutwa kwa nguvu kubwa. Suala la muungano lilikuwa la ubabe na lenye mambo ya ajabu. Kwanini Aboud Jumbe alipata...
  5. JamiiForums Tanzania Kuundwa kwa Serikali ya Tanganyika ni suluhisho la kudumu la kero nyingi za Muungano wetu

    Objection ya CCM dhidi ya uwepo wa Serikali ya Tanganyika ni baseless (or at least outdated). Hapa duniani ipo mifano kadhaa ya nchi ambazo zina muungano unaofuata mfumo wa shirikisho (federal system) na miungano yao haiteteleki. Kwa leo nitatoa mifano mitatu ifuatayo: ◾️Ujerumani: Hili ni...
  6. JamiiForums Tanzania Tuwe makini kuhusu wanaotoa mawazo ya Serikali ya Tanganyika, tutaletewa kiini macho kutuhadaa tu

    Kama taifa kuna mambo yanatudharirisha sana. Huu mjadala kunapotokea pande mbili zinabishana , lazima anayeufuatilia atajiuliza sana kuhusu utimamu wa akili wa upande mwingine hadi kuwa na mfumo wa aina hii na bado unakuta wanaona ni sawa na wengine wanatetea. Kuna haja ya kufanyika ustaarabu...
  7. JamiiForums Tanzania Jengo la Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika ni Alama ya Historia ya Kupigania Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/4Azi52gW5U8?si=Ir7sExLBDoRqPSd-
  8. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu Binafsi za Al Jamiatul Islammiya fi Tanganyika

    Chanzo hiki kinatoa kumbukumbu za kihistoria** kuhusu taasisi ya Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika iliyoanzishwa mwaka 1933 kwa lengo la kuendeleza elimu na maslahi ya Waislamu. Mwandishi anasimulia uzoefu wake wa utotoni akisisitiza umuhimu wa sherehe za maulidi zilizokuwa zikiwaleta watu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Utaifa wa Tanganyika umeanza kukua kwa kasi, kuna hatari ya kuzuka mgogoro wa Kijamii, Serikali 3 ni sasa

    Ninafuatilia maandamano ya Gen Z; 7/7, kuna vitu symbolic kabisa naviona. Baada ya Tarehe 7/7 tutarajie kuona mijadala ya kuwatenga Wazanzibari walioko Tanganyika, Tutarajie kuona chuki kubwa dhidi ya Wazanzibari na hata fujo dhidi ya Wazanzibari, na kama kutakuwa na maandamano ya kuchoma moto...
  10. JamiiForums Tanzania Full Time: Mashujaa FC 0-2 Yanga SC | Ligi Kuu ya NBC l Lake Tanganyika | 13.6.2026

    Ni siku nyingine tena ya Ligi Kuu ya NBC, ambapo lmkoani Kigoma kutapigwa mchezo wa kusisimua kati ya wenyeji Mashujaa FC na Yanga SC. Mchezo huo wa saa 10:15 jioni utachezwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika, huku Mashujaa FC wakiwakaribisha Wananchi katika muendelezo wa ligi hiyo. Nini...
  11. JamiiForums Tanzania Hiki ni kipindi sahihi chakudai Tanganyika kwa nguvu zote

    Wote tunashuhudia namna Wazanzibar kupitia wawakilishi wao wanavyoizungumza Tanganyika na watanganyika,Zanzibari ni nchi huru,basi tunaitaka Tanganyika huru na wakati ni sasa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inakuwaje Wanafunzi kutoka Zanzibar wanapata mikopo mara mbili? Wanachukua kutoka Zanzibar na Tanganyika

    Nimedokezwa na kijana mmoja ambaye yupo Chuo kikuu kimoja hapa nchini. Anadai kuwa vijana kutoka Zanzibar wamemdokeza kuwa wao wanapata mikopo mara mbili. Yaani kutoka bodi ya mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya Juu Zanzibar na Pia Tanganyika. Huu Muungano utawaumiza sana Watanganyika.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Je, kuna haja ya kusambaza taarifa za Wazanzibari wanaomiliki Ardhi na Biashara Tanganyika?

    Hivi karibuni Wazanzibari wamekuwa wakionyesha ubaguzi wa hali ya juu sana. je maandamano yajayo mali zao zitakuwa salama? Je huko mbele Wazanzibari watakuwa na amani kukaa na Watanganyika kama majirani
  14. JamiiForums Tanzania Tupige kura ya wazi kuhusu uwepo wa muungano wa Tanganyika na Zanzibar

    Watanzania tupige kura kuhusu huu muungano au maagano laZima muungano uwepo Kwa mahitaji ya wananchi Andika NDIYO kama unaupenda muungano Andika HAPANA kama huitaji Muungano
  15. M

    JamiiForums Tanzania Utamjua vipi kama huyu mzanzibar upande wa Tanganyika?

    1. Kuongea? 2. Kuvaa? 3. Rangi? Kwa upande wa Zanzibar kuna zanId ambayo mzanzibar anapewa na asiekuwa mzanzibar hapewi Au waislam ndio watakuwa walengwa?
  16. L

    JamiiForums Tanzania Nani anasimamia maslahi ya Tanganyika kwenye Serikali ya Muungano?

    Ni wazi kwamba Wazanzibari wanalinda sana maslahi yao kwenye Muungano.Muundo wa Muungano unawapa nafasi hii kwa sababu Muungano unaitambua Zanzibar lakini umeua uwepo wa Tanganyika. Kumekuwa na malalamika,kwa mafano Wazanzibari kuajiriwa kwenye idara na Wizara ambazo si za Muungano,mfano...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Sioni tatizo lolote kwa viongozi Wazanzibari kuwa wazalendo wa nchi yao, Viongozi wa Tanganyika wananunulika kirahisi kwa pesa na vyeo

    Sioni tatizo viongozi wa Zanzibar wanapoweka mbele maslahi ya Zanzibar na kushauri Watanganyika wapunguzwe huko. Mwisho wa siku, wao wanautetea na kuupigania upande wanaouamini kuwa ni wao. Kinachoniumiza ni hali ya Bara. Uzalendo ambao ulipaswa kuwa nguzo ya uongozi unaonekana kufifia siku...
  18. JamiiForums Tanzania Hayati Mwalimu Nyerere, baba wa Taifa la Tanganyika alifanya mambo mengi na makubwa lakini Muungano na Zanzibar ulikuwa uamuzi mbaya

    Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere baba wa Taifa la Tanganyika, alifanya mambo mengi na makubwa lakini Muungano wa T + Z ulikuwa uamuzi mbaya Madhara ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni makubwa sana hayafai kuelezea Naweza kuelezea kwa ufupi sana lakini taarifa nyingi zinapatikana kwa...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche amjibu Saada: Wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao wanyimwe matibabu?

    Mambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon. Anaandika John Heche Makamu Mkiti Chadema. ============== Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Naamini kwa dhati maudhi na chokochoko za sasa za Wa-Zanzibar ni kutaka kuwaudhi wa-Tanganyika ili muungano uvunjwe. Hatutauvunja Muungano ng'o!

    Hivi karibuni niliandika kwamba ile bidii ya Raisi Samia kuchukua mikopo ya nje kila siku ilikuwa ni mkakati maalumu uliowekwa ili fedha nyingi ziende Zanzibar kama mgawo wao wa hiyo mikopo. Fedha zilizoenda Zanzibar ni nyingi sana na zinafanya mambo makubwa sana kwa sasa kubadilisha miundo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…