Tanganyika was a colonial territory in East Africa which was administered by the United Kingdom in various guises from 1916 to 1961. It was initially administered under a military occupation regime. From 20 July 1922, it was formalised into a League of Nations mandate under British rule. From 1946, it was administered by the UK as a United Nations trust territory.
Before World War I, Tanganyika formed part of the German colony of German East Africa. It was gradually occupied by forces from the British Empire and Belgian Congo during the East Africa Campaign, although German resistance continued until 1918. After this, the League of Nations formalised the UK's control of the area, who renamed it "Tanganyika". The UK held Tanganyika as a League of Nations mandate until the end of World War II after which it was held as a United Nations trust territory. In 1961, Tanganyika gained its independence from the UK as Tanganyika. It became a republic a year later. Tanganyika now forms part of the modern-day sovereign state of Tanzania.
Hello
Hivi jeuri ya wazanzibar ni nini? Yaani mtanganyika siyo mzanzibar lakini mzanzibar ni mtanganyika hapo tulipigwa.
Mzanzibar anaweza.miliki aridhi bara.mtanganyika marufuku kumiliki aridhi zanzibar ooh noooo hu ujinga
Binafsi sioni umuhimu wa huu muungano.
Hauna faida kwa Tanganyika bali Zanzibar
Hakuna Mtanganyika ambaye anaweza gombea chochote kile Zanzibar
Hakuna Mtanganyika ambaye kaajiriwa na Serikali ya Zanzibar
Mtanganyika haruhusiwi miliki ardhi Zanzibar ila Mzanzibar anaruhusiwa miliki Tanganyika...
Hivi karibuni kumekuwa na hoja kutoka kwa watu mbalimbali kuhusu muungano , wakisema uvunjwe. mimi kwa maoni yangu nitawapinga. waje waseme ni kipengele gani kwenye muungano wanchoona hakifai kibadilishwe.
Wengi wamekua wakilalamikia
1 Hawataki mtu kutoka zanzibar aruhusiwe au awe Rais au...
Yani aliwaza nini yani? yani lengo lake lilikua lipi yani kwa upande wa kufaidika na muungano ( au ndio zile tetesi kua dar,pwani,Tanga,Mtwara,Lindi na Mombasa zilikua sehemu ya Zanzibar??)
Maana mpaka sasa sioni maana ya Muungano, yani Mzanzibar anaweza kua Raisi bara halafu Mtanganyika hawezi...
Watu wameshaanza kuingiwa na Wasiwasi. Wanahofia haya maandamano yanaweza kuathiri Muungano wa Tanzania.
Watanganyika wanaona kama matatizo haya yanayoendelea, ni kwasababu Waanza ndo wameshika Nchi. Je, Watanganyika wanawachukuliaje Wazanzibari? Haya maandamano yatazidisha umoja kweli...
Muungano uliotengeneza nchi ya Tanzania ni muungano unaochanganya sana, hauleweki na pia wenye changamoto nyingi sana kwa pande zote mbili. Muungano wetu unaweza kurekebishwa kwa kuiga mfumo wa muungano uliopo kati ya Denmark and Greenland, ambapo Greenland ni sehemu ya nchi ya Denmark ikiwa na...
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewaeleza wakazi wa Mkoa wa Kusini Unguja kuwa endapo watampa ridhaa ya kuongoza nchi, serikali yake itajenga Kituo cha Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa ajili ya kuenzi na kulinda...
Habari watanzania wenzangu,
Jioni ya leo ningependa tujadili suala hili la deni letu kwa heshima,unyenyekevu,busara na hekima tulizo jaaliwa na Mwenyezi Mungu (mwingi wa rehma mwenye kurehemu).
Kwanza napenda kuipongeza serikali yetu kwa kuliweka wazi kwetu sote.
USHAURI WANGU.
1. Uandaliwe...
Nane kati yao ni ccm na utajiri umetokana na kazi zao za kisiasa.. Hapa inahitajika sacrifice kubwa na maumivu mengi mabaya kuweza kuitoa ccm madarakani.. Maana wote hawa wana mtandao mmoja mkubwa na mitandao binafsi
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Steven Wasira, amesema kuwa sababu kuu iliyosababisha kuundwa kwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964 ilikuwa ni kuhakikisha usalama na kudumisha amani ya kudumu kati ya mataifa hayo mawili.
Akizungumza mbele ya mamia ya wakazi wa Wilaya ya Chemba...
Aprili 26, 2024: Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuriy a Watu wa Zanzibar ziliungana na kuunda Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo Bunge la Tanganyika na Baraza la Mapinduzi lilithibitisha Mkataba huo
Muundo wa Muungano
Muundo wa Muungano wa Tanzania kama ulivyoelezwa katika...
Bodi ya Wadhamini, Menejimenti na Watumishi wote wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) tunawatakia Watanzania wote maadhimisho mema ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
kumekuwa na sintofahamu nyingi katika masuala yanayohusu Muungano baina ya Zanzibari na Tanganyika huku tatizo kubwa likiwa ni Elimu kwani asilimia kubwa ya wananchi hatujui masuala yahusuyo Mungano baina ya nchi izi mbili suala linalopeleka Muungano baina ya nchi izi mbili kuonekana kuwa ni...
Tanzania ni nchi yenye historia ndefu na utajiri wa tamaduni mbalimbali, zinazochangia umoja wa taifa. Hata hivyo, kuna hoja inayozidi kujitokeza kuhusu ufanisi wa mfumo wa utawala wa sasa wa nchi, hasa kuhusu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Ni suala la wazi kuwa Muungano huu umeleta...
Hatma ya Tanzania iko juu ya watanganyika na wazanzibar, lakini athari za kisiasa inaweza kuwa doom day kwa Tanzania.
Lakini kanuni ya asili itaamua mustakabali wa Tanzania,itaacha kiashiria cha hatari juu ya watanganyika na wazanzibar,lakini kanuni ya asili sio matokeo ya kisiasa wala kiuchumi...
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni msingi wa umoja wetu, lakini nyuma ya pazia hili, kuna historia iliyofichwa na hisia ambazo mara nyingi hazizungumzwi. Migogoro ya Muungano huu imekuwa ikijitokeza mara kwa mara, na wengi hujiuliza, je, kweli tunaelewa mizizi ya matatizo haya?
Nikiwa...
Najiuliza sana kuhusu hii. Je, muungano ukifa, vyama vya siada ambavyo vipo bara na visiwani vitabaki upande gani, au Sheria pia unasemaje kuhusu hilo suala, au inawezekana chama cha siasa kikabaki pande zote mbili kwa maana ya Tanganyika na hicho hicho chama Zanzibar kama CCM?
Naombeni maoni...
Nimevumilia vya kutosha nikidhani kama kuna mtu anayekerwa na fumbuzi wa matatizo ya muungano yaliyotolea kwenye kikao cha pamoja kati ya Mh. Lowassa na Mh. Nahodha.
Kitu kinachonitisha ni kwamba yale mambo waliowaamulia wananchi yatapelekwa bungeni october kwa ajili ya "constitutional...
changamoto za muungano tanzania
kero za muungano
matatizo ya muungano wa tanzania
muungano wa tanganyikanazanzibartanganyikatanganyikanazanzibar
tanzania
zanzibar
Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na somo la Wamongol kuwatawala wachina na baadae wao kutawaliwa mpaka leo.
Pale ambapo jamii moja ya watu hufurahia kuwatawala jamii nyingine ya watu kikoloni katika eneo lao kwa tafsiri ya Muungano jamii tawaliwa pale itakapo twaa madaraka maumivu ya...
Heshima sana wanajamvi,
Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ambao uliasisiwa na watu wawili ambao sasa hawapo, tena bila ridhaa ya wananchi wa pande zote mbili sasa unapitia katika msuko suko mkubwa.
Ni wazi Mwl Nyerere na Sheikh Abeid Aman Karume waliziunganisha zao Tanganyika na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.