Julius Benard
New Member
- Oct 14, 2023
- 3
- 1
Najiuliza sana kuhusu hii. Je, muungano ukifa, vyama vya siada ambavyo vipo bara na visiwani vitabaki upande gani, au Sheria pia unasemaje kuhusu hilo suala, au inawezekana chama cha siasa kikabaki pande zote mbili kwa maana ya Tanganyika na hicho hicho chama Zanzibar kama CCM?
Naombeni maoni yenu wadau.
Pia soma > Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?
Naombeni maoni yenu wadau.
Pia soma > Muungano wa Tanganyika na Zanzibar na kero zake: Je, tuuvunje?