tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Kange Tanga

    Nauza kiwanja changu chenye hati ,huduma muhimu zipo umeme/maji. Kipo Kasera Kange na ukubwa wa zaidi ya ft 650.Bei Tsh 9500000.00. Simu 0712652110
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: CCM yachangia madawati Shule ya Sekondari Mgwashi

    Katika kusherehekea miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga na Mjumbe wa Kamati Kuu, Rajabu Abdulrahaman, ametembelea katika Shule ya Sekondari Mgwashi iliyopo Korogwe Vijijini Kata ya Mngwashi na kutoa mchango wa shilingi milioni saba (7,000,000) kwa...
  3. Jkl

    JamiiForums Tanzania Hatimae nimefika Kijiji cha mpale korogwe tanga.

    Kijiji kipo juu milimani , miundombinu mibovu hasa barabara hamna maji ya bomba , ni kwenda mtoni , network ni YAS tu, Shughuli za kilimo cha chai ndo kipo huku ila kiwanda kimefungwa . Serikali ifanye uwekazaji huku hasa barabara. Nimetumia 20k kutoka korogwe mji hadi huku. Bora ningebaki...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti CCM Tanga: Tumeshuhudia uchaguzi wa CHADEMA wakitukanana, ni uthibitisho kuwa hawafai kupewa nafasi ya kuongoza nchi

    Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdulrahman Abdallah, amesema wanasiasa wa vyama vya upinzani hawana cha kuwaeleza wananchi juu ya kile walichokifanya, na kwamba wanafaa kupuuzwa. Badala yake, amewataka wananchi wamuunge mkono Rais Samia Suluhu Hassan. Rajabu...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tanga waikatae CCM?

    CCM ina tabia ya kupeleka miradi mikubwa pale ambako wanakataliwa au Kuna dalili ya kukataliwa. Tanga na wilaya zake ni chimbo la CCM kwa karne na karne, hawana hofu ya kukataliwa hivyo hawapeleki miradi ya maana Tanga. Tanga hakuna mradi hata mmoja wa umwagiliaji ingawa Kuna wakulima wengi...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Meneja wa TRA Tanga kuipongeza CCM Kumteua Rais Samia kugombea Urais 2025 inaruhusiwa katika Sheria za Utumishi wa Umma na ni rukhsa Kikatiba?

    Kwa wale Wote ambao leo Asubuhi tulitizama Jambo Tanzania na TBC1 nadhani tulimuona Meneja wa TRA Mkoa wa Tanga alipokuwa akimpongeza Rais Samia kwa Siku yake ya Kuzaliwa leo na baadae akaenda mbele na kusema kuwa anakipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa Kumpitisha Rais Samia kugombea Urais...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Halmashauri ya Jiji la Tanga imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2.6 kwa vikundi 315 ikiwa ni mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri

    Halmashauri ya Jiji la Tanga imetoa zaidi ya shilingi bilioni 2.6 kwa vikundi 315 ikiwa ni mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya Halmashauri ambayo ni mpango wa serikali wa kuinuia wananchi wake kiuchumi kwa kwa Vijana, Kinamama na watu wenye ulemavu. Kati ya vikundi 315, vikundi vya wanawake ni...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Jerry Silaa: Ujenzi kituo cha bunifu za TEHAMA(STARTUPS) Tanga mbioni kuanza

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa (Mb) amesema ujenzi wa kituo cha kuchochea bunifu za TEHAMA (Innovation Hub) kinachotarajiwa kujengwa mkoani Tanga, kitasaidia vijana wa mkoa huo kujikwamua kiuchumi. Waziri Silaa ameyasema hayo tarehe 23 Januari, 2025...
  9. Kichuguu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga Imenisononesha Sana

    ... Makosa yalianza baada ya preseason. Wachezaji waliishiwa pumzi ghafla wakwa wanashinda kwa kubahatisha bahatisha tu -kagoli kamoja kamoja, na wawalipoanza kufungwa ndipo michezo ya CAF ikaana wangali taaban na kuishia kupoteza michezo miwili ambayo ndiyo imewagharim. Makosa hayo ya mwanzo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Watu wa Tanga wanapenda mpira, kweli nimeamini

    Kuna vijana 3 walikuwa wanafanya kazi kwa mtu leo hii. Ikafika sa 8, tajiri akasema kuna kazi nyingine hapa mkimaliza hiyo kuna laki yenu moja. Wakasema kuna Wananchi wanacheza hatuwezi, mzee tunakuomba iwe kesho. Tajiri anataka kesho waanze kujengea septic tank, lazima kazi hii imalizike...
  11. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Bodaboda wamchangia Rais Samia Tsh Milioni 1 kwa ajili ya kuchukua fomu

    Wakuu, Sijajua tuko season au episode ya ngapi lakini ile tamthiliya yetu ya kuelekea uchaguzi mkuu inaendelea ===================== Wanachama wa Umoja wa Wamiliki wa Waendesha Pikipiki na Bajaji Wilaya ya Tanga (Uwapibata) wamechanga Sh1 milioni kwa ajili ya Rais Samia Suluhu Hassan...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Mwenye trekta za kukodisha maeneo ya Dodoma , Iringa, Lindi, Pwani, Dar na Tanga tuwasiliane

    Kama uko maeneo hayo na una trekta lenye angalau HP 100 tuwasoliane kwa whatsapp 0656388678. Asanteni na heri ya mwaka mpya 2025.
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Madereva 15 wafungiwa leseni za udereva Tanga

    Katika kudhibiti ajali za barabara Jeshi la polisi mkoa wa Tanga limewafungia leseni za udereva madereva 15 Kwa makosa mbalimbali ya usalama barabarani. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Tanga Almachius Mchunguzi wakati akiongea na waandishi wa habari ambapo alisema kuwa jumla ya...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamla

    Bandari ya Tanga imekusanya bilioni 96 ndani ya miezi mitano ambapo bilioni 38.53 zilikusanywa na Bandari ya Tanga na bilioni 57 zimekusanywa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoa wa Tanga. Wakati huohuo Bandari ya Tanga imefanikiwa kuhudumia meli 172 ikiwa ni zaidi ya lengo la kuhudumia...
  15. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa NHIF Tanga ni wajeuri na wanajisikia mno

    Sijajua wanajikuta wao ni kina nani.. Mtu unafuatilia bima zaidi ya miezi mitatu na majibu yao ni simple tu.. Tutafuatilia na ukifika ofisini wanakupa namba ya ofisi ambayo ni 0734163431 ili ufuatilie .. Lakini hiyo namba Haipokelewi milele na milele.. Waziri wa afya please hebu fuatilia hawa...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Namna hii huwezi wakuta Mara na viunga vyake. Wapo sana Tanga& Daslam wapenda Taarabu

    Kwa maana hii Dar mambo haya yamebarikiwa na wakazi wake maana hii sio kificho Tena. Bali mambo hadharani kama wanavyosema msondo ngoma. Lakini mkicheka na Nyani siku ya mavuno mtavuna mabua!
  17. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Watu 7 wapoteza maisha na 10 wajeruhiwa kufuatia ajali ya gari Wilaya ya Handeni. Msando atoa onyo kwa madereva wazembe!

    Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando, amethibitisha kutokea kwa ajali leo asubuhi, saa 12, katika eneo la Michungwani, Kata ya Segera, Wilaya ya Handeni. Ajali hiyo, iliyohusisha lori na Coaster, imesababisha vifo vya watu 7 na kujeruhi wengine 10. Akizungumza kuhusu tukio hilo, Mkuu wa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso atii agizo la Rais Samia, afika Kwamsisi Tanga

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amefika kijiji cha Kwamsisi kilichopo katika kata ya Kwamsisi, wilayani Handeni mkoani Tanga kujionea hali ya upatikanaji wa maji katika eneo hilo na changamoto iliyobainika kutokana na video iliyochapishwa katika ukurasa wa Instagram wa mtangazaji Mbarouk Khan...
  19. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Tanga yaingiza mapato ya Tsh bilioni 100, Katika kipindi Cha miezi 5.

    Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Profesa Makame Mbarawa, ameipongeza Bandari ya Tanga kwa kuandika historia kwa kuwezesha kukusanya takribani bilioni 100 ndani ya miezi mitano. Hayo ni matokeo ya uboreshaji wa miundombinu ya bandari hiyo uliofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe...
  20. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu wa ccm mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa afariki dunia leo tarehe 20 dec 2024

    Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga, Seleman Sankwa amefariki dunia leo Desemba 20, 2024 wakati akipatiwa matibabu katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete jijini Dar es Salaam. Kifo cha Sankwa kimethibitishwa na Rajab Abdulrhaman, mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga, ambaye pia ni...
Back
Top Bottom