tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. Unakataje miti milioni 4 ili kujenga la umeme (JNHPP)

    Leo nilipata wasaha wa kupitia a hansard za bunge hasa Taarifa ya athari za mazingira za ujenzi wa bwawa la umeme JNHPP. Mchango wa Mh. Nappe Nauye nimetokwa na machozi. Mradi wa JNHPP haukuangalia athari za mazingira leo unaona mvua zinasumbua, joto linaongezeka, ukame unanyemelea maeneo ya...
  2. Bunge lichunguze mkataba wa Tsh bilioni 65 ilioingia Tanesco na kampuni ya Wahindi kuna harufu ya wizi

    Kwa nini uongozi wote wa Tanesco ulifutwa kazi kuanzia Waziri Kalemani na Bodi yote na Mkurugenzi wake mkuu?! Kwanini wakuu wa Idara wote walihamishiwa utumishi ili wapangiwe kazi zingine?! Kwanini mara baada ya yote hayo kutendeka Tanesco kupitia safu mpya ya uongozi waliingia mkataba wa...
  3. Board ya Tanesco iliyojaa wafanyabiashara ina maoni gani?

    Januari aliteua board iliyojaa watu wenye sifa mfu na wizi na hata kuwahi kushitakiwa kwa kuiibia Tanesco. Mara tu, Paa! Yamekuja haya ya kusingizia ukame. Lakini, yametanguliwa na taarifa kwamba Tanesco inafanya matengezo ya mitambo. Haieleweki taarifa halisi ya tatizo la umeme ni nini? Je...
  4. TANESCO mmezidi na mgao wenu

    Aisee hii ni kero kwa kweli yaani kwa siku tunapata umeme kwa masaa machache tu. Kama ni mgao basi mmetisha sana, vifaa vinaungua na hakuna fidia yoyote inayotolewa :"><??":LL::::OKKKLLLLLLL:eek::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops:o_Oo_Oo_O:rolleyes::rolleyes:
  5. Rais Samia, tengua uteuzi wa Waziri Makamba na Bodi nzima ya TANESCO. Au na wewe una maslahi na kinachoendelea?

    Kauli yako, ya waziri mkuu na ya waziri January Makamba inaonyesha kuna udanganyifu mkubwa sana kwa mamlaka unaoendelea nchini. Kauli zenu ndio zinafanya Watanzania watilie shaka weledi wenu kama viongozi wakuu wa nchi. Teuzi ya January Makamba imebuma mapema mno, unasubiri mambo yaharibike...
  6. C

    Uongo na Ukweli Kuhusu TANESCO Kuzuiwa Kufanya Maintenance

    Kama ambavyo wadau mbalimbali wamekuwa wakisema mara kadhaa, Mkakati wa Taifa kuhusu uzalishaji wa umeme ulikuwa:- Yaani, malengo hadi kufikia June 2020, tulitakiwa tuwe tumezalisha 4,915 MW. Hiyo ni Performance Audit Report iliyotolewa na CAG March 2019. Hata hivyo, ripoti ya wizara inasema...
  7. Yametimia: TANESCO yakiri uhaba wa umeme. Kutoa 'Taarifa' watu wapange kazi zao

    Waswahili wanasema usiku wa deni haukawii, leo Tanesco wametoa statement ya kuonyesha uhaba wa uzalishaji umeme kutokana na kina cha maji kupungua. Hivyo watatoa ratiba ya umeme, watu wajipange Waziri alisema sababu ni maintenance, lakini kumbe sio. Kazi iendelee Eti watu waanze kupanga kazi zao
  8. Ni waziri anahujumiwa au TANESCO inahujumiwa?

    Hali si shwari, kuna kila dalili sasa tuendako ni kubaya, hii hali ya umeme dakika 5 on, masaa 8 - 12 off haikuzoeleka kwa miaka sita iliyopita, mbona hakuna kiongozi anajitokeza kulizungumzia hili jambo? Ni waziri wa umeme hapendwi na watendaji wake hivyo wameamua kumkwamisha au ni waziri wa...
  9. Makamba: Mradi wa JNHPP upo nyuma kwa siku 477 (yaani mwaka na zaidi ya siku 100)

    Hivi huyo Makamba anatugeuza Watanzania wote mazwazwa eti?! Yaani mambio yooote yale ya yule msukuma Kalemani kabla hajafutwa tulipokuwa tunamuona huko Rufiji huku kazi zikiendelea eti leo Makamba anatujuza mradi upo nyuma kwa siku zote zile?! Yaani ukali wote wa Hayati JPM hasa alivyokuwa...
  10. K

    TANESCO Morogoro kila siku umeme kukatika, kwanini?

    Kama tujuavyo, bila nishati ya umeme shughuli nyingi zinakwama. Umeme kukatika siku nzima ni hasara kubwa sana kwa Taifa. Leo Morogoro hakuna umeme tangu asubuhi hadi sasa. Namna hii uchumi wa mkoa na wa watu binafsi unaathirika sana. Inawezekana umeme haukatwi makusudi ila kama kuna hitilafu...
  11. TANESCO isifiche kuhusu mgao wa umeme

    TANESCO wawe wawazi kuwa kuna mgao wa umeme unaoendelea hapa nchini kwa hivi sasa. Pengine itakuwa ni jambo jema zaidi kama ingetoa ratiba ya mgao huu ili watu waweze kujipanga zaidi kutokana na athari zinazojitokeza. Tumeshuhudia busara kubwa iliyofanyika kupitia taarifa iliyotolewa na...
  12. TANESCO: Mikoa 11 kukosa umeme kwa masaa 12 tarehe 15 Novemba 2021

    Mikoa 11 ya Tanzania itakosa umeme kwa saa 12 Novemba 15 mwaka huu kutokana na matengenezo yanayofanywa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa. Umeme utakatika kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 12 jioni ili kupisha...
  13. January Makamba, Tanesco Hakuna nguzo wala meta kwa wateja wapya nchi nzima , habari hizi unazo?

    Kwa masikitiko makubwa sana Tanesco nchi nzima hakuna nguzo wala mita kwa wateja wapya. Tatizo ni nini? Cha kushangaza na kufurahisha mteja mpya akishapimiwa umeme kama line yake inahitaji nguzo mteja haruhusiwi kulipia wala hapewi control number. Kalemani alikuwa anapata wapi nguzo na...
  14. Waziri Makamba: Msitegemee wala kutarajia bwawa la mto Rufiji kujazwa maji mwezi Machi

    Aisee kwa Waziri huyo tumepigwa! Leo bungeni amedai Tanzania nzima eti hakuna winchi lenye uwezo wa kubeba milango yenye uzito wa tani 26 ili kuziba milango iliyokuwa inachepusha maji ili ujenzi wa bwawa uendelee. Kadai winchi hilo hadi litoke nje ya Nchi 😂. Hivi huyo jamaa anatuona hamnazo...
  15. K

    Tanesco, Indian firm ink $30 million efficiency deal

    Tanesco, Indian firm ink $30 million efficiency deal Dodoma. Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) yesterday signed a $30 million deal with Indian technology firm Tech Mahindra to improve efficiency in the power utility company that is undergoing transformation. The contract for Cooperate...
  16. S

    Ikitokea TANESCO wameunguza vitu kwa mchezo wa kukata na kurudisha naenda kulalamika wapi?

    Tulishasahau kero za tanesco jpm alitusaulisha huko aliko mwanga wa milele amwangazie Bwana.naomba wajuzi wa Mambo kama TANESCO Wana uwezo wakulipa vitu vinavyoharibika kutokana na kukata kwao dakika moja na kuurudisha dakika ya pili,Tangu Jana mchezo wao ulikuwa huo jioni ukatulia. Leo ni Mara...
  17. Waziri Makamba: Ujenzi wa tuta kwenye Bwawa la Mwalimu Nyerere umekamilika

    Waziri wa nishati mh January Makamba ametoa taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa bwawa la kufua umeme la mwl Nyerere bungeni kuwa pamoja na kwamba ujenzi wa tuta lenye urefu wa mita 190 umekamilika lakini bado hawataweza kuanza kujaza maji tarehe 15 /11 /2021 kama ilivyokuwa imeahidiwa kutokana na...
  18. TANESCO: Hakuna Mgao wa Umeme

    "Hakuna tatizo la mgao wa umeme, ili kuwe na mgao wa umeme ina maana umeme unaozalishwa unakuwa haukidhi mahitaji. Kwa sasa tunazalisha MW 1,600 na matumizi ya kiwango cha juu ya umeme kilichorekodiwa wiki iliyopita ni MW 1,273.42" Maharage Chande, Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO "Katika kuleta...
  19. TANESCO, huku kukata ovyo umeme kutaisha lini?

    Hivi kweli hata huyo Samia karuhusu huo ujinga wa Tanesco kukatakata umeme hovyo namna hii? Haya, wamekata tena na hakukuwa na taarifa yeyote masikini wa Mungu! Kumbuka tokea juzi walikata asubuhi na wakarejesha jana jioni ajabu wamekata tena muda huu. Pumbavu kabisa!
  20. TANESCO Director General explains frequent power cuts

    Tanesco Director General explains frequent power cuts FRIDAY NOVEMBER 05 2021 A Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) technician at work. Tanesco director general Maharage Chande has blamed frequent power cuts on maintenance of the power supply infrastructure. PHOTO | FILE Dar es Salaam...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…