tamthilia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. stakehigh

    Jux anaigiza kwenye tamthilia moja Nigeria

  2. L

    Kuna kikubwa cha kujifunza kwenye mtindo wa China wa kufunza historia kupitia mashuleni na kwenye filamu na tamthilia

    Filamu ya "Dead To Rights," inayohusu Mauaji ya Nanjing wakati wa Vita vya Pili vya Dunia, imeendelea kutawala katika mauzo ya filamu ya China ya majira ya joto, ikiingiza zaidi ya yuan bilioni 1.5 (kama dola za Kimarekani milioni 210) ndani ya siku 10 tu tangu ianze kuoneshwa Julai 25. Kwa...
  3. kalisheshe

    Siasa za Tanzania; Mchezo wa Viti, Nguvu na Hila Kama Tamthilia ya Game of Thrones

    Katika siasa za Tanzania, tumeona mwendelezo wa mapambano ya mamlaka yanayofanana na tamthiliya maarufu ya Game of Thrones. Ingawa hatuna mapanga na mizinga ya kale, tuna hila, mikakati ya kisiasa, mapambano ya madaraka, na mapatano ya siri yasiyoeleweka kwa wananchi wa kawaida. Kama ilivyo...
  4. Superbug

    Tamthilia ya Dunia ni nzuri mno sijawahi ona kwa Tanzania, naomba kuwajua wale wahusika

    Mimi sio mpenzi wa tamthilia ila hii ya Dunia ni kiboko naomba kuwafahamu wale wahusika Kwa undani. Maisha yao kazi zao wanapotoka makabila yao nk. 1. Manyanya 2. Mke wa manyanya 3. Mlevi mme wa sindi 4. Sindi mwenyewe 5. Wale wadada wanaomuita manyanya kaka nk
  5. Niache Nteseke

    Wenye Kuangalia Hii Tamthilia Naomba Kujua Jina la Huyu Mama Please

    Salaam/Shalom...! https://youtu.be/aURJp25qtdg?si=0--FAtawwgNmjrnd
  6. Cordy bnei shirk

    Soundtrack ya tamthilia ya evermore Azama two

    Wakati leo napata chai kwa wakwe zangu,kwenye luninga kukawa na tamthilia asubuhi hii kwenye Azam two. Katikati ya tamthilia ilipigwa nyimbo flani hivi kali sana ya kiswahili kama soundtrack ambapo mwanamke analalamika alivochoka anavofanyiwa na mpenzi wake sasa wakati anachukua virago vyake...
  7. Raia Fulani

    Jua kali tamthilia wamezingua sana

    Habari za Jumatatu Moja kwa moja kwenye mada ni kwamba nimekuwa nafuatilia tamthilia hii bila kufuata mtiririko. Ila siku za karibuni nimeifuatilia bila kupenda kwa kuwa nilikuwa nabembelezwa nitoe remote na kubadili chaneli. Hivyo wakati nasubiria tamthilia iishe, ilibidi kutazama ndipo...
  8. ndege JOHN

    Mbona tamthilia ya dunia haijadiliwi humu ndani

    Hii tamthilia inafanya vizuri kwa sasa Ina trend sana YouTube visa vyake ni usaliti,maisha ya ndoa,unafki w marafiki,ulevi,uwongo.. Kwa sasa tuko episode ya 70.karibun tujadili tunaoifuatilia.
  9. HenrysoN

    Tetesi: Jinsi ya Kuandika Tamthilia za Kiswahili kwa Maigizo ya Jukwaani na Redioni.

    Utangulizi Tamthilia ni sanaa ya maigizo ambayo huweza kuwasilishwa jukwaani, redioni, au hata kwenye televisheni. Hapa Tanzania, tamthilia zimekuwa sehemu muhimu ya burudani, elimu, na mafunzo ya kijamii. Ili kuandika tamthilia nzuri, ni muhimu kuelewa muundo wake, mbinu za uandishi, na jinsi...
  10. M

    Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora kabisa kuwahi kutengenezwa Tanzania

    Kwa wale wenye upeo wa kujua vizuri watakubaliana nami. Siri ya Mtungi ni miongoni mwa Tamthilia bora za Lugha ya Kiswahili kuwahi kutengenezwa Tanzania. Ni aibu kwanini hatuna Tamthilia za namna ile kedekede, kwani tunanyimwa uhondo haswa. Wahusika wote kwenye entertainment industry tunaomba...
  11. Area 56

    Tamthilia ya Kombolela Season 2 ni kali sana

    Wakuu… Mimi sio mpenzi sana wa haya matamthilia ya nyumbani. Ila hii Kombolela ni moto mwingine. Nimejikuta naifatilia na kuipa muda. Mtunzi apewe maua yake. Wahusika wameua sana hasa Kobisi Kikala na dada zake akina Siwa na Mwadawa!! Inasadifu maisha halisi ya uswahilini…
  12. O

    Tamthilia ipi unaweza kuangalia na familia yako?

    Kama isomekavyo Azam tv tamthilia ipi waweza angalia familia nzima 1. Nambari 10 2. Alicia 3. Evermore 4. Kombolela Tuanze na hizi kwanza
  13. Mwachiluwi

    Mtunzi wa tamthilia ya kombolela apewe maua yake

    Ni moja ya hadithi mzuri sana kwa uapande wangu maana ndani ya hii hadithi kuna vichekesho lakini pia inaonyesja jinsi gani watu tunavyo ishi Kwanza inatuonyesha watu walio shindwa kufanikiwa hawana shukurani hasa ndugu ata umtende jema gani bado haoni anaona wewe kumsaidia ni haki yake Pili...
  14. Financial Analyst

    Azam mkimalizana na matamthilia yenu ya Ottoman mtuwekee na za historia ya Roman, Byzantine, Macedonia ya Alexander, tofauti na hapo mna jambo lenu

    Sijui ni nini mnachotaka ku-demostrate kwa miaka hii yote ya kuwalisha watu masizoni ya ottoman. Ina maana burudani na historia inayopaswa kuonwa na watanzania ni ya jinsi gani sijui waserjouk walivyovamia kila kona na kuwabadirisha watu traditions zao. Najua mtaanza na stori za kutengeneza...
  15. Lexus SUV

    HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA ILETWE ?

    WAHENGA WAHENGA Habari zenu bana wahenga wa miaka ileeeeeeeeeeeeeeeeeeeee naona sasa hivi WATURUKI ..........2024 wana tamba ile mbayaaaaa............... je wahenga HIVI NI TAMTHILIA ZA NCHI GANI ZILIANZA KUVUMA HAPA TZ TOKA TV YA KWANZA kuanza kutumika ???
  16. L

    Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika wapokelewa kwa mikono miwili na mashabiki Tanzania

    Hivi karibuni, Msimu wa Kutangaza Tamthilia na Filamu za Beijing Afrika ulianza jijini Dar es Salaam, Tanzania. Tukio hilo lililoandaliwa na Ofisi ya Redio na Televisheni ya Mji wa Beijing, lilifungua ukurasa mpya wa mawasiliano ya kitamaduni kati ya China na Afrika, na kukuza uhusiano wa kina...
  17. KikulachoChako

    Mtazamo korofi: Mwanamume kufuatilia tamthilia naona kama haijakaa sawa hivi

    Habari za muda huu waungwana. Hili jambo limekuwa likitatizo sana fikra zangu kila nikiona mtoto wa kiume ameketi na kufuatilia tamthilia moja kwa moja na kila episode huwa namuwazia vibaya sana. Mimi naona kama vile hili jambo halipo ki-musculine hivi. Kwa mwanaume limekaa sana kidada na...
  18. Mkwawe

    Azam TV badilisheni Tamthilia zenye mlengo wa itikadi za kidini

    Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2 Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila shaka inaitwa Alpasalani nadhani, Sasa Kuna Binti alikuwa Yuko kwenye mtego na viongozi wa utawala...
  19. State Propaganda

    Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

    Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani. Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na...
Back
Top Bottom